Search results

  1. L

    Magufuli aendelea kutumbua Majipu: Mkurugenzi Hospitali ya Ocean Road Asimamishwa

    tulisha sema magufuli hawezi kuwa kiongozi hana vision anadhani kuvictimise watendaji wa afya kutamsaidia alimfukuza mkurugenzi wa Muhimbili mbona mashine haijatengamaa hadi leo na wagonjwa bado wana lala chini upuuzi tu
  2. L

    Magufuli aendelea kutumbua Majipu: Mkurugenzi Hospitali ya Ocean Road Asimamishwa

    watu wapuuzi kama nyie ni wakuwadharau sana hamna hata akili moja yaani wewe unafurahia serikali kukwepa jukumu lake la kujaza dawa mahospitalini na kudandia kukaba watendaji serikli ya ccm iliyopita hata hii iliyopo imeshindwa kukidhi hata asilimia 2o ya bajeti ya afya halafu munafukuza watu...
  3. L

    Magufuli aendelea kutumbua Majipu: Mkurugenzi Hospitali ya Ocean Road Asimamishwa

    Hizo sababu zilizotolewa za kumuondoa Mkurugenzi wa ocean road kama ni kukosekana dawa si ni yeye mwalimu anatakiwa azijaze kwenye hospitali za umma au
  4. L

    Magufuli aendelea kutumbua Majipu: Mkurugenzi Hospitali ya Ocean Road Asimamishwa

    Yule ni mwanasheria ila nacheka sana wanavyokurupuka ha ha wana hasira na wafanyakazi wa umma watatjiju wao wanasiasa wanakenuwa tu huku wakiwa wamejaa makosa kibao fukuza fungia watu nje haitasaidia kuboresha huduma za afya
  5. L

    Watumishi wa umma hawaruhusiwi kumiliki biashara, mali na vitega uchumi kupitia taaluma zao?

    Hivi ummy anawe uwezo wa kumsimamisha mkurugenzi wa ocean road ile si ni tassisi inayojitegemea si ina maana ni presidential posts wanawachezea madaktari wauguzi na wafamasia na watu wa maabara wanaofanya kazi kubwa kwa mishahara kiduchu wanawadharau kwa sababu ni wanasiasa tusubili tuone
  6. L

    Watumishi wa umma hawaruhusiwi kumiliki biashara, mali na vitega uchumi kupitia taaluma zao?

    Nakumbuka ni Raisi Mkapa aliyeruhusu watu waanzishe biashara zao hizo baada ya kuona serikali haiwezi kuwalipa lakini msimamizi lazima asiwe mfanyakazi wa serikali ndipo baadhi ya madaktari wakaondoka kwa mfano Tumaini hospital ni hospitali ya madaktari wazalendo ambao wamekataa kukimbia nchi...
  7. L

    Magufuli aendelea kutumbua Majipu: Mkurugenzi Hospitali ya Ocean Road Asimamishwa

    Huu ni uwenda wazimu at its best yaani dawa kwenye hospitali za serikalini hazipo je serikali inatoa pesa za kutosha au geresh na kuutafuta sifa tutuangalie mwaka jana serikali ililipa MSD
  8. L

    Waziri gani wa kumwambia Magufuli No, hapa unakosea Mkuu

    Magufuli ni mlipuko tu maamuzi yake yanajipinga kwa mbali
  9. L

    CHADEMA bila Dr. Slaa haina dira wala hamasa (CHADEMA without Slaa lacks vision and enthusiasm)

    Mwacheni DR ababy sit Josephine mambo ya siasa atayaweza wapi amepakatia Delilah
  10. L

    Kinondoni: Mhandisi Natty atua Dar es Salaam, ana lundo la nyaraka

    definitely atakuwa labda makonda na lukuvi
  11. L

    Sakata uuzwaji Coco Beach lageuka, Kubenea aonesha mikataba

    Serikali haina audacity ya kushitaki baadhi na wengine kuacha mpaka sasa mtu wa kusimamishwa kazi alikuwa Magufuli mwenyewe tukianzia na meli aliyoinfungua kwa mbwembwe na mpaka sasa haifanyi kazi mbona kanyamaza majipu kayaona kwa Natty kwa sababu anajua atawaumbua anamnyamazisha ki namna sasa
  12. L

    Sakata uuzwaji Coco Beach lageuka, Kubenea aonesha mikataba

    Makosa makubwa Magufuli anafanya ili mradi Makonda Lukuvi hajawasimamisha wakati mambo hayo unayoita ya ufisadi yanafanyika walikuwepo ni maamuzi ya kipuuzi na upendelea justice should be termed justice sio mapapa manyangumi yanaangaliwa tuu Magufuli kainigia ikulu kwa pesa za mafisadi wokubwa...
  13. L

    Sakata uuzwaji Coco Beach lageuka, Kubenea aonesha mikataba

    kwani hilo ni jipya tume ngapi na kamati ngapi zimeshaweka ripoti mezani sasa aache kutarget vidagaa aanze na mapapa Magufuli anarecycle yaliyosema na wabunge a upinzani achukue hansard afanyie kazi sio kutafuta sifa tuu
  14. L

    Mbunge wangu Kubenea achana na siasa za (antagonize) za kina Mnyika, utakuja kimbia Ubungo

    na serikali inayokusanya kodi ifanyeje ikalale chato
  15. L

    Mbunge wangu Kubenea achana na siasa za (antagonize) za kina Mnyika, utakuja kimbia Ubungo

    Tatizo ya team mitandao ya manguruwe ya ccm ndiyo hiyo Kubenea kawabana ukutani mutaanzisha thread na thread kwa kila sampuli ya IDs mulizonazo na hiyo ndio safiii kwa mbunge wa ubungo anapandishwa chati na team mtandao ccm
  16. L

    Sakata uuzwaji Coco Beach lageuka, Kubenea aonesha mikataba

    mutalisoma jiji kazi ndio imeanza, wahujumu uchumi wote wataanikwa including yule anayemnyanysasa Natty wakati yeye mwenyewe anamakosa ya kuuza nyumba na kupoteza bilioni 360
  17. L

    Sakata uuzwaji Coco Beach lageuka, Kubenea aonesha mikataba

    Kwa sababu Magufuli anamsikiliza Makonda msukuma mwenzake kwa hiyo amefanyia maamuzi majungu na wananchi hawawezi kukubali huwezi taja makosa ya mtu kama unafanya uchunguzi na unachunguza mmoja kati ya viongozi husika magufuli mkabila mbona makonda msukuma mwenzake yupo ofisini anadunda
Back
Top Bottom