Search results

  1. GREAT VISIONAIRE

    Kiwanja kinauzwa milioni 5 Bugogwa, Mwanza, kimepimwa

    Kiwanja kipo,nyamwilolewa kata ya bugogwa. kina ukubwa wa 30*25 Kimepimwa. Bei Milioni 5 Mawasiliano:0765540059
  2. GREAT VISIONAIRE

    Dark days 17/03/20...

    Tumeanza pata nabii kwa sisi wakristu viongozi kufululiza kuanzia mwakani , kundi litakaloanzisha vuguvugu linatokea hukooooo mwaka 2023-2024 ,viongozi idadi kubwa watakata kamba. N:b haihusiani na mada hii ambayo ni hadithi ya kusadikika. Mimi napita zangu kuwakumbusha tumuombe Mungu kila...
  3. GREAT VISIONAIRE

    Dark days 17/03/20...

    Naona ceo kaamua kuja kivingine baada ya trip, wamarekani wameonesha nia ya kuendeleza bandari ya bwaga moyo
  4. GREAT VISIONAIRE

    Natengeneza 30,000/= kwa Siku, niache kazi Serikalini?

    Mpaka dakk hii usiache kazi wanaongoza 130,4 hawafungamani na upande wowote wao bora liende ,4 acha Ushauri wangu Fuata moyo wako na amani yako ilipo.
  5. GREAT VISIONAIRE

    Silaha nzito zimetengenezwa kwa ajili ya nani! Wakati mkijua mnaishi dunia moja

    Mwanadamu anagundua vitu vya kumrahisishia kazi zake na za kummaliza mwanadamu mwenzake. Kama ni msomaji mzuri wa biblia hii teknolojia ya kutengeneza majambia na kupigana vita, alifundishwa kaini baada ya kufukuzwa na kwenda kuishi na fallen angels. Kwa hiyo mpaka sasa wanaogundua hivyo vitu...
  6. GREAT VISIONAIRE

    News alert; mabilionea wa jf chitchat

    Maisha yenu hayo, tata hii ni moto mura
  7. GREAT VISIONAIRE

    Mtaji 25ml (after rent), biashara gani ya faida ya 135k /siku au zaidi

    135*30=4mill faida kwa mwezi, kwa mwaka faida 48mill, mtaji umeurudisha. Biashara zingekuwa rahisi hivyo kila mtu angekua tajiri. Infact utakufa mapema sababu wewe ni trader.andaa dozi za presha
  8. GREAT VISIONAIRE

    Kwanini Sweden (Sida) hawakutupa pesa FY2020|21 na badala yake wametupa FY2021|22 mwaka mmoja baadaye?

    Unajisifia kwa kupewa misaada? Nielekeze nyumbani kwako nikuletee gunia la mchele na maharage kwa mkopo nafuu wa miaka 2 ufurahi na familia yako
  9. GREAT VISIONAIRE

    Ceres Juice inasumu ya patulin, TBS mpo wapi?

    Acha kupotosha watu! Jua maana ya recall kwanza. Hata kampuni za magari huwa zinarecall magari mf toyota, gm washawahi kurecall magari yaliyokuwa na shida na breki takribani million 1. Hapo wamerecall hiyo batch yenye shida na wao kama kiwanda wana process ya kutrack kujua zilipo na wanapotoa...
  10. GREAT VISIONAIRE

    Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

    Tuje kwenye kesi ya mzee https://www.jamiiforums.com/threads/jacqueline-ntuyabaliwe-mengi-k-lynn-aomba-marejeo-ya-kesi-yake-ya-mirathi-dhidi-ya-watoto-wa-mengi.1911489/ Angalia impression ya binti anapomuangalia mzee, anatabasamu na anawaka japo taarifa inayotolewa ni - ve dhidi yake.
  11. GREAT VISIONAIRE

    Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

    Kwa nini katika hiyo picha amepunga mkono na katika picha amezungukwa na rangi nyeupe. Ni kama vile wameicrop picha na kuiweka. Kwa mtu wa kawaida anaweza sema ni cropped but is not coincidence.
  12. GREAT VISIONAIRE

    Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

    Ni ngumu kwa mtu mwingine anaweza kuona ni picha ya kawaida na wengine wanaweza kupinga lakini huwa nikiangalia picha huwa naona tafsiri ya mtu katika picha.
  13. GREAT VISIONAIRE

    Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

    Ya pili Juzi kulikuwa na pambano kali la uzito wa juu wa ngumi za kulipwa duniani. Lakini baada ya kuangalia picha za matangazo yao nilipata shaka. Bondia mmoja ameonyeshwa katika picha akiwa na hasira maybe ya pambano lakini mpinzani wake ni kama anaangalia pembeni kwa aibu fulani tofauti na...
  14. GREAT VISIONAIRE

    Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

    Tafadhali naomba nisihukumiwe kwa hizi picha maana ni kwa tafsiri yangu na inaweza isiwe sahihi kwa mtu mwingine. Nilivyoiona hii picha wakati wa kampeni niliwaza sana, Kwa nini picha inaonyesha anaangalia sehemu tofauti kama kuna mtu anamwita na wala hatuangalii sisi tunaoenda kumpigia kura...
  15. GREAT VISIONAIRE

    Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

    Mshana, hii zana naitumia sana sasa nilikua sijajua kumbe ni mambo ya ndani. Naweza kukuonyesha mifano mingi
  16. GREAT VISIONAIRE

    Vituo vya mafuta katikati ya mji na makazi ya watu Dar: Bomu linalosubiri maafa makubwa

    Kinachoangaliwa hapo ni kubadilisha matumizi. Ushawahi kuona mabango kuhusu mabadiliko ya matumizi toka makazi kwenda sheli ama hotel. Nikiwa ni mmoja wa wadau wa sekta hii nasikitika sana kwa tunayoyafanya.
  17. GREAT VISIONAIRE

    Vituo vya mafuta katikati ya mji na makazi ya watu Dar: Bomu linalosubiri maafa makubwa

    Kuna sheria wanamalizia kuiandaa kwa ajili ya vituo vidogo vya vijijini ambapo ni mobile
  18. GREAT VISIONAIRE

    Vituo vya mafuta katikati ya mji na makazi ya watu Dar: Bomu linalosubiri maafa makubwa

    Ndio hiyo hapo d. Unatafuta mtaalamu aliyesajiliwa unamlipa kama milioni 3. Kisha anakuandalia document uzipeleke huko napo ukalipie
  19. GREAT VISIONAIRE

    Vituo vya mafuta katikati ya mji na makazi ya watu Dar: Bomu linalosubiri maafa makubwa

    Kuna mpango wowote wa teknolojia ya uchawi kuwekwa hadharani? Pili temeke njia ya kwenda buza kuna duka moja nimeona wanauza pembe, tunguli, ungo, mikia ya wanyama nk ni kama parts za vifaa vya wachawi ushawahi liona ama kulisikia maama ni kama idea mpya hii
Back
Top Bottom