Search results

  1. Songuo

    Barua ya wazi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    BARUA YA WAZI KWA MH. RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO TANZANIA Mheshimiwa Rais; Naomba kwanza nikupongeze na nikupe pole kwa kazi kubwa na nzuri unayoifanya ya kuliongoza taifa letu kwa moyo wa wa ujasiri na upendo mkubwa. Kwa ujumla kazi yako ni njema sana. Sisi watanzania tunajisikia furaha sana...
  2. Songuo

    Je, Traffic police wana haki kukamata gari kwa kuchelewa kulipa fine?

    Je, Traffic police wana haki kukamata gari kwa kuchelewa kulipa fine iliyotokana na kosa la barabarani? Je, hiyo ni kazi ya traffic poice au ya TRA? Naomba na reference tafadhali ikiwezekana!
  3. Songuo

    Mpango wa TCRA, watu wahame mitandao ya simu na namba zao ni upuuzi...

    Nyinyi mnanichanganya, wengine wanapenda wengine hawapendi.. Sasa tushaamua itakuwa hivyo. Kama unapenda tumia, la hupendi acha kabisa kutumia simu. Bhaaaas!
  4. Songuo

    ukikutana na rais kikwete ombi lako moja ni lipi?

    Nitamwambia mafisadi wote wa EPA wafilisiwe labda na adhabu nyingine juu. Haitoshi tu kurudisha fedha walizoiba kinyemela..
  5. Songuo

    Waislam wapanga kukusanyika kesho mnazi mmoja

    Serikali inapaswa kuwa serious zaidi, wawe agressive zaidi kukomesha huu upuuzi unaoendelea.. Hawa jamaa naona wanajifanyia mambo as if hii nchi haina sheria au sheria zimeweka kwa ajili ya watu fulani tu. Na waislam wanapaswa kuwa na subira, watumie busara katika kufanya mambo yao..waache...
  6. Songuo

    Hapa ndio ninapotofautiana na Kibonde

    Akili za huyo jamaa ni sawa na jina lake Anadhani kwa vile amejaliwa sauti na maneno mengi, na akili pia anayo kumbe empty brain.. Anadhani kwa vile marekani imeendelea, basi hakuna tena changamoto. Thatz a very poor conceptualization.. Haelewi kama marekani ndio wenye changamoto nyingi na...
  7. Songuo

    Jibu la "sijui" katika kipima joto itv

    Baadhi ya "closed ended questions" ni vigumu sana kujibu..
  8. Songuo

    Jibu la "sijui" katika kipima joto itv

    Hahahaaaa! Una manenoo....
Back
Top Bottom