Search results

  1. Viva89

    VODACOM Tanzania wanaiba pesa kwenye line za simu

    N Nenda TCRA, fungua shauri udai mil. 20 ya usumbufu chaap
  2. Viva89

    Tuliosoma nje ya nchi tunanyanyapaliwa sana

    N ni wivu tuu, bongo ukitoka familia bora lazima uteswe, unfortunate ila ndio hivyo
  3. Viva89

    Aliyekuwa askofu Konde aondolewa wakfu. Fimbo, msalaba na pete yake vyaondolewa wakfu pia. Sasa atabakia kuwa muumini wa kawaida

    Personally huu mgogoro umenisikitisha sana, kilichohitajika ni hekima ya Mungu ambayo mwaikali na wenzake waliikosa.. yeye ambaye tuliamini ni mpakwa mafuta baada ya matatizo yote tulidhania ange kaa na kusali na kuachia kwa amani kanisa libaki na umoja na Mungu amtetee wabaya waonekane, cha...
  4. Viva89

    Waziri Bashe azikaanga kampuni za TBL, Serengeti. Agomea kukutana nao

    sasa katika makubaliano si ndio watasema ubora wanaoutaka na kuwafundisha kulima jinsi watakavyo wao, inawezekana sanaaaa
  5. Viva89

    #COVID19 Alichonihadithia jamaa yangu anayesoma China kuhusu chanjo ya COVID-19, kimenistua

    na ni sawa tu kwa kweli, huku pia hatulazimishwi kuchanja na ukiingia lazima upime
  6. Viva89

    Aibu: RFA wamejiunga na DW redio ambayo inatangaza kwa lugha ya ajabu

    hizo ni redio washirika zake, yeye ana mitambo na anatafuta content na DW wanatafuta pa kuweka content zao, ni biashara hapo, hafanyi bure kuna kitu RFA inapata, so wanaoelewa sijui ndio kituruki etc nao wanapata habari zao. Muda huo wewe sio target audience, rudi tena kusikiliza baadae
  7. Viva89

    Hii ndoto sasa imekuwa too much

    kama ni Mkristo na ukiona ndoto inajirudia rudia jua ni ujumbe huo na unatakiwa kuushughulikia kwa maombi tu. Kama huuelewi ujumbe/ndoto omba Roho Mtakatifu akusaidie kuutafsiri. Mara nyingi ukiona unaota uko shule jua ni jaribu linakuja au unapitia kwa muda huo, omba Mungu either akuondolee...
  8. Viva89

    Suala la kila Rais anayeingia madarakani kuchagua aina ya watu wake limeanza awamu ya Hayati Magufuli

    ni jambo la kawaida, na halijaanza jana wala juzi... kila Mkuu anayeingia lazima afanye reshuffle
  9. Viva89

    #COVID19 Alichonihadithia jamaa yangu anayesoma China kuhusu chanjo ya COVID-19, kimenistua

    kwani Tz tumelazimishwa kuchanja? mbona ni hiari tu? ila ukiwa unaenda nchi zao ndio lazima uchanje, muulize huyo aliyepo china, tunaingia huko?
  10. Viva89

    Ugumu wa Maisha wasababisha Sherehe za Mwaka mpya kudoda

    Hali zetu haziwezi fanana, nilipo watu walisheherekea
  11. Viva89

    Ugumu wa Maisha wasababisha Sherehe za Mwaka mpya kudoda

    Mh, labda unakoishi, sie kwetu mambo bam bam, tena binafsi nasema asante Mungu kwa miaka kadhaa hali ilikuwa tete zaidi
  12. Viva89

    Unaweza date current ex wa rafiki yako?

    Current huwa inamaanisha kwa muda huo, kwa neno lingine "latest", sasa nikisema current ex inamaanisha mtu wa mwisho ulieachana nae kabla ya kuanza mahusiano mapya, sio wa miaka 2/5 iliyopita
  13. Viva89

    Unaweza date current ex wa rafiki yako?

    Jamani jamani, kuna mdada kaachana na boyfriend wake, hata mwezi haujapita rafiki wa yule jamaa akaanza kumtongoza, pamba moto hatari, demu akamuambia siwezi toka na Wewe kwa sababu wewe na ex wangu marafiki, mtu haelewi. Kiukweli mi nadhani amblock kwa sababu namuona sio mtu mzuri. Mnaonaje...
  14. Viva89

    Kilwa Masoko, Lindi: Zaidi ya Tani moja ya Dawa za Kulevya yakamatwa

    dah...cant wait kusikia kesi yao...enhe, wapi DPP
  15. Viva89

    Nahitaji kuku wa kienyeji Dar es Salaam kwa ajili ya ufugaji

    hata ukihitaji mmoja natoa, ni kwamba ninao 10 ninaotaka uza kwa sasa
  16. Viva89

    Nahitaji kuku wa kienyeji Dar es Salaam kwa ajili ya ufugaji

    nina majogoo 10 ya kienyeji nauza elfu 25 mmoja, nipo Dar es salaam
  17. Viva89

    Nilichojifunza ndani ya mwaka mmoja bila ajira

    Mungu ni mkubwa mnoooo..usikate tamaa, omba sana na fanya kazi kwa bidii, utatoboa tuu! ASANTE KWA USHAURI
  18. Viva89

    Wenye magari binafsi watoe lift kwa watoto wa shule vituoni ili mbarikiwe

    tukiruhusu watoto kuchukua lifti za watu wasiowajua watapotea kwa kasi ya juu sana
  19. Viva89

    Hivi kwanini tusiwe na mfumo wa kitambulisho kimoja cha taifa chenye kila kitu?

    mi nitajibu baadae nipo namcheki Kabudi huku SADC kwanza
Back
Top Bottom