Search results

  1. M

    Werema, Muhongo: Tunasubiri neno la Rais tuachie ngazi

    Subira yavuta heri!nakuomba Rais wangu subiri kidogo kuna baadhi ya mambo yatabainika nani wapo nyuma ya kushinikiza kuondolewa Muhongo na Werema,hasa nikiangalia mawe aliyokuwa akipigwa muhongo mhh hadi hata akina yakhe tukaanza kujiuliza kulikoni lakini!maana lazima kupima umamuzi gani utakuwa...
  2. M

    Ni kweli Prof Muhongo anahujumiwa?

    Jamani Kadri ya siku zinavyokwenda mbivu na mbichi zinazidi kubainika,hata hili la watu kusema kwa sauti kubwa na mate kuwakauka kwamba huyu waziri Muhongo ajiuzuru huenda tutajua msingi wake,maana nikipima uzito wa lawama na jinsi anavyotuhumiwa nahisi kama kuna shinikizo maana kelele dhidi...
  3. M

    Mbio za Urais 2015: Mbatia aungana na 'Team Lowassa' chini ya Uratibu wa Apson Mwang'onda

    Aise aise hiv maneno ya kusema Huyu fisadi Huyu saf tunayatoa wap kwani ufipa gan alionao lowassa tofauti na wenzake AMA yeye ndo ashambuliwe binfsi!to me namuona lowassa Kama wengine tu wanaodhan ni watu saf.lakin pamoja na kuimbwa kupitia Wimbo ufisadi yeye ndo hard worker mnyonge mnyongen...
  4. M

    Kaimu Balozi wa Libya nchini Tanzania ajipiga risasi na kufariki

    Anaitwa nani huyo balozi mdogo
  5. M

    Muhidin Gurumo (aliyekuwa Msondo Ngoma) afariki dunia!

    Amefia wapi naomba uhakika maana Kama kusingiziwa mzee watu kumeanza kitambo
  6. M

    Serikali ipige marufuku makanisa ya kilokole

    Mungu akurehemu hujui uyasemayo ila nia yako ndo inasomeka bayana acha Mungu aitwe Mungu achana na kiburi cha uzima shindana na wanadamu Mungu ni sawa na mbuyu haukumbatiwi ila unazungukwa tu mpende Yesu
  7. M

    Kwanini msafara wa Rais huwa una speed kubwa?

    mgweno@akiuliza siyo akihuliza,pia maswali utakayoulizwa siyo hulizwa,napita tu niliona Makosa ya kisarufi tu kwako nawe byeee
  8. M

    Tafsiri ya nyimbo za mrisho mpoto

    Ile ni fasihi kama si mwanafasihi ni hakika hutapata kitu hata uwe na kamusi
  9. M

    Watangazaji na Vyombo Vya Habari Mnamuona Salim Kikeke Wa BBC Swahili

    Aise kweli kabisa kikeke safi lakin nadhan pia producer wake anae panga yote hayo ndo Mkali zaidi hongera zao
  10. M

    Wabunge wagomea posho ya laki 3, wasema ni ndogo

    Jamani hivi hawa wawakilishi wetu huko dodoma kweli watajadili katiba kweli ama wameenda kufanya Chei Chei shangazi huko?hii ni mzaha mie naona, wenzangu hebu tulijadili hili kwa mapana,hivi ni kweli 300,000/= haitoshi kweli?
  11. M

    Ushauri: Zitto aanzishe Chama chake kingine...

    Jaman yote tuseme ukweli kwa ilipofikia CDM si kweli kwamba ati akifika zzk kirakufa hapana kubwa labda kutetereka na kisha kusonga mbele kwani alikuwa na lipi Kikubwa katika ustawi wa chama zaidi ya kuhangaikia ustawi wake binafsi chama daima huwa si mtu
  12. M

    Unafiki huu wa wanaharakati (CHADEMA), kiboko

    Nape kasema kama mtazama mechi hivyo mtafuten refarii asimamishe mchezo kidogo CDM twahitaj siasa zenye mwelekeo jaman hii 2014
  13. M

    Unafiki huu wa wanaharakati (CHADEMA), kiboko

    Kwa hali ilivyo sasa CDM twapaswa kujadili namna ya kupata ufumbuzi na si kuwabeza watazamaji ambao wanaehangilia mpira unaochezwa na CDM Kikubwa labda ni kusitisha mechi.
  14. M

    Edward Lowassa atangaza rasmi mbio zake za urais 2015...

    Kama huna background ya utendaji kazi wa EL kwani ni zaidi hata ya baadhi wanaongoza sasa twataka mtu yeyote mchapa kaz jaman
  15. M

    Ombi Maalum Kwa JK!

    Sioni tatizo AMA Kosa kwa JK maana ya TL nayo du!
  16. M

    Mrembo maarufu akamatwa na unga (developing...)

    Oky tusubiri ukipata uhakika hapa si mahala pa kupiga ramli
  17. M

    Pika bom ya star TV ni zaidi ya comedy zote hapa Tanzania

    Bila hata kujua ni aina gan ya Kwao mie nawakubali mnoo ni wabunifu na wanakwenda na wakati big up sana
  18. M

    Hujuma Dhidi ya Zitto Kabwe hii hapa,Mungu anazidi kuwaumbua wanafiki

    Aise kumbe ni kaniki ile ile ila Mashona ndo kama tofauti tumechoshwa
  19. M

    Hivi Hawa Waume Za Watu Wake Zao Vipi Jamani????

    :A S-confused1::A S-confused1:
Back
Top Bottom