Search results

  1. B

    IPP Media yaisusia Simba Sports Club

    kampuni za IPP zinaendeshwa kwa visasi, yaani thinking yao ni kama watoto wadogo. hata kama ni kweli some few Simba people walileta mzozo na crew ya Itv is it fair kuwanyima habari wanaSimba waliojaa nchi nzima?? sijawahi kuwaona watu wanafiki kama IPP Media, to hell with them....
  2. B

    Matumizi ya bangi

    kuna kitu nimegundua kwamba matumizi ya bangi yameongezeka sana hapa nchini, tofauti na zamani ambapo vijana ndio walikua watumiaji wakubwa wa kilevi hicho sasa hata watu wazima wenye kazi za heshima wanatumia kilevi hicho. Japo vijana wengi hasa wanaojihusisha na bongo flava ndio wanaoweza kuwa...
  3. B

    Are Atheists the New Gays?

    Mungu baba akusamehe kwa kuwa hujui utendalo. Hakika ungekua na akili timamu huwezi kumzungumzia Mwana wa Mungu kwa jinsi hiyo. Uwe na adabu kidogo basi unapochangia issue zinazogusa imani za watu
  4. B

    NEC endorses Museveni for 4th term

    kama kawa general Museveni is there to stay, sasa anaangazia macho kuwa rais wa EAC Federation
  5. B

    NEC endorses Museveni for 4th term

    THE National Executive Council (NEC) of the ruling NRM party yesterday endorsed President Yoweri Museveni as its 2011 presidential candidate and resolved to canvass support for the party’s continued stay in power. At the end of the three-day meeting at State House Entebbe, NEC, the party’s...
  6. B

    naomba mwongozo

    asaalam aleykhum al jamia, nimekua nafikiria kusomea mass communication na ningependa kusoma out of Tz, sanasana US, kwa wenye taarifa semister huanza lini huko na process ziko vipi za kuapply? nikipata na link ya vyuo nadhani itakua poa, nimeambiwa state universities are a bit affordable...
  7. B

    what is happening to Tz media

    it has been like a tradition worldwide that the media houses support each other especially during bad times. But to my utter dismay after the suspension of local investigative paper Kulikoni i have not seen any of such solidarity. where is the media heading to? the government would be in good...
  8. B

    Baruani Mhuza naye huyoo, kwa Lowassa

    i like this, most media houses in Tz pay peanuts, ikitokea mtu kapata greener pastures sioni tatizo, kwani kufanya kazi kwa lowassa ni dhambi, shame on you. kuna wanaofanya kazi kwa Mengi ambaye anajifanya ni mpambanaji wa ufisadi but they go for months without salary, mwacheni jamaa ale shavu
  9. B

    Kenya calls for pact on tourism

    dont shake a hand that would stab your back. My brothers Tanzanians never trust Kenyans hata japo kuna this EAC thing, these guys are just greedy. walizoea kusema Mt Kilimanjaro iko kwao nao TZ imeamka inafanya international promotion ndo wanataka pact, to hell with the pact. I adore Balala as a...
  10. B

    MC afariki akifanya mapenzi na mke wa mtu

    RIP lema, si busara kumcheka mwenzio anapopata matatizo coz hujui ya kwako ni lini na yatakuja kivipi?
  11. B

    Sera ya Kilimo kwanza nini msingi wake?

    Kilimo kwanza ni idea ya best yake mkuu wa kaya, dunstan mrutu, the executive secretary of tanzania national business council (tnbc). aliibuni na akaipropose katika local investors roundtable ndipo watu wa serikali wakaiadopt, haina kubwa jipya ukilinganisha na mipango kama hiyo iliyokwisha...
  12. B

    Warioba amshangaa Kikwete kusema mpasuko ndani ya CCM ni kidogo

    someone told me anachosema makala ni views za mkuu wa kaya. kwa hiyo katika hili ni wazi hakukurupuka bali amemjibia mzee, what pertubs me however ni kwamba huyu dogo atajimaliza kwa kuendeleza siasa za makundi. tayari anajiona ni 'matawi ya juu' kwa nafasi yake kichama na ni mdau mzuri wa...
  13. B

    Sofia Simba naye ajitangaza kupambana na mafisadi

    mpaka sasa ana bifu na akina zarina madabida na janeth kahama kwa ajili ya uchaguzi wa uwt ilipitia, she would make a good taarab vocalist na sio waziri mwenye dhamana kubwa kama ya utawala bora
  14. B

    Sofia Simba naye ajitangaza kupambana na mafisadi

    huyu mama hana sifa za uongozi hata kidogo
  15. B

    Jambo

    feel at home!
  16. B

    Sidanganyiki marufuku?

    kama ni kweli basi ni dhahiri wanafilisika kisiasa
  17. B

    Loliondo, OBC, Dowans: The disturbing connection and secrets

    UAE carves out its own 'territory' in Tanzania ALVAR MWAKYUSA Dar es Salaam 'HAVE a pleasant stay in the UAE (United Arab Emirates)', says an automatic text message on your mobile phone once you enter a certain part of Tanzanian territory in Arusha Region, which locals say has now been...
  18. B

    Channel Ten (Tz): Ushauri wa BURE

    huyo jamaa anaitwa dativas mango, aka gomba gomba, ni mtangazaji mzuri wa siku nyingi na ndo production manager wa magic fm, amekaa muda mrefu africa media group na nadhani amezoea kazi
  19. B

    Bongo Star Search 2009: Burudani kweli!?

    msameheni jamani labda ndo yale majani ya bob,in short kipindi kizima hakina mantiki, wakati ulimwengu ukibuni vitu vipya vya kuigwa sisi bado tunaandaa matamasha ya kuiga nyimbo za wenzetu!?
  20. B

    Waraka wa Shigongo kwa Ze Original Komedi

    Sioni kosa la Shigongo hapa, akiwa kama entrepreneur si vibaya kutoa nasaha kwa vijana wanaoonekana kujisahau. Tuache kumshambulia Shigongo personally and instead tuangalie hoja yake. Vijana wangapi wanaibuka then baada ya muda wanakuwa ombaomba? Manji ndo anawaharibu na wao kwa ujinga wao...
Back
Top Bottom