Search results

  1. W

    Tanzia: Rais mstaafu Kikwete afiwa na dada yake

    Rip ni muda muafaka wa kutafakari kama kuna sababu ya kwenda kuugulia India ni vyema tukaboresha za kwetu tutawasaidia watz walio wengi tuachane na ubinafsi wa kukimbilia india
  2. W

    Unajua E.Lowassa sio Mmasai, ni Mmeru aliyeasi kabila, Arumeru mkataeni ila hela kuleni

    sawa nimekuelewa ila tutamchagua hivyohivyo
  3. W

    Baada ya Kingunge na Mwapachu, tuwajue TeamLowasa walioko CCM...

    sio busara kuwataja inzi wetu waliojichimbia wacha waendelee kutujuza yooote yanayojiri ila tarehe 19.23 watajua ukweli wa mambo pepooooooos
  4. W

    Yaliyojiri Uwanja wa Bwawani Karatu: Mkutano wa kampeni CCM - Oktoba 5, 2015

    hivi walikuwa watu 3800 tu namba shufwa kwanini sio 3801 mbona hao watu ni kama wa kuchora sio karatu ninayoifahamu hapa tunaelekea kanaani hatutarudi tena misri
  5. W

    Elections 2015 Uchambuzi wa ahadi za mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dr. John Pombe Magufuli

    Hapa ni kimorali mbundimbundi kiroba asubuhi na mapemaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
  6. W

    Najiuliza maswali kuhusu Waziri Mkuu atakayetokana na UKAWA

    hahahahahahaha time will tell
  7. W

    Bundi katua Nyumba ya Jirani, Katibu wa Wilaya (CHADEMA) Lindi ajiunga na CCM

    hako ni kadagaa kadogo sana wakati ninyi mnakavurahia hako kadagaa mjiandae na kilio week end hii PROF MWAND...a atakapotangaza rasmi kuungana na wanamageuzi viva CHADEMA VIVA UKAWA
  8. W

    CHADEMA msijidanganye, Dr. Slaa hayuko peke yake

    wANAJAVI NAOMBA KUULIZA MPAKA DR SLAA ANAZUNGUMZA BEI YA SLAA HAIKUWA IMEPATIKANA KWA WANAOJUA BEI YA DR SLAA NI BEI GANI NAOMBA ATUJUZE
  9. W

    Masikini Zitto Kabwe, umesahaulika kabisa

    chaliiii kifo cha mendeeee ndembwendembwe....
  10. W

    CUF: Taarifa kwa waandishi wa Habari juu ya Kujiuzulu Mwenyekiti Prof. Lipumba

    Hongereni sana wana cuf nawasihi muendelee na mshikamano huo mliouonyesha nimekuwa nikifarijika sana na kauli za viongozi na wanachama juu ya kujiuzulu kwa prof LI-PUMBA hii imeniconvice kutokuterereka kwa CUF kwanza hongereni na pia huyu mzee ni kikwazo katika mabadiliko na ni mroho wa madaraka...
  11. W

    Lipumba aondoka nchini baada ya kujiuzulu

    Hongereni sana wana cuf nawasihi muendelee na mshikamano huo mliouonyesha nimekuwa nikifarijika sana na kauli za viongozi na wanachama juu ya kujiuzulu kwa prof LI-PUMBA hii imeniconvice kutokuterereka kwa CUF kwanza hongereni na pia huyu mzee ni kikwazo katika mabadiliko na ni mroho wa madaraka...
  12. W

    Ikulu sio wodi ya wagonjwa, Lusinde amnanga Dk. Slaa

    watanzania tuwe waangalifu na watu tunaowapa ubunge huyu Lusinde hata kuwa baba wa familia hakustahili maana hana chochote kichwani ni mweupe zaidi ya karatasi poleni watu wa mtera miaka mitano imepita hamna mbunge sasa ndo wakati wa kuchagua mbunge wenu.
  13. W

    Orodha ya viongozi na wanachama wa CHADEMA Waliomfuata Zitto ACT Tanzania

    hakuna dhambi kubwa kama ya usaliti nadhani huu ndio muda muafaka wa kuenjoy dhambi ya usaliti
  14. W

    Waziri Mkuu Amesema Leo Bungeni kuwa ni Sahihi Watoto wa Shule kutumiwa na CCM kwenye shughuli za Ki

    huyo mkuu wa mkoa mpelekeni moshi au arusha akatoe amri huko aone atakachofanyiwa
  15. W

    Ni lini Mzee wetu Kikwete ataongea na vijana?

    Hawezi Kuongea na vijana na hana la kuwaambia yy aongee na wazee tu vijana tutaongea na kijana mwenzetu 2015 october
  16. W

    Bilionea Prof. Anna Tibaijuka, unafanya nini kwenye ofisi ya umma mpaka sasa?

    kweli hawa maprofesa wanatumia elimu yao kulitumbukiza taifa shimoni! haihitajiki elimu ya uprofesa kujua hii fedha ilikuwa ya umma ama la? je waziri huyu si anatunzwa nakodi za umma si angeruhusuhata kodi jamani werema nae kwamajigambo unakosoauumbaji wa mungu unamuita mwenzio tumbili nenda...
  17. W

    Hotuba ya Rais Prof Jakaya Kikwete, Ukumbini Uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere

    rais jasiri na anaejitambua hawezi kutumia kodiza wananchi na muda wa watanzania kuelezea ujinga kama huu tutambue kuwa oceanroad na muhimbili wanakufa kwa kukosa huduma hakuna dawa yeye anatumia rasilimali fedha na muda kuelezea sms alizozipata wakati akiwa hospitali
  18. W

    Ndoto ya Mhe Membe Hii Hapa

    ndoto ni ndoto tu hakuna anaekatazwa kuota kwani ukilala lazima utaota na siku akiamka atafahamu kumbe alikuwa anaota tunataka watu wanaothubutu na sio watu wenye ndoto
  19. W

    Kwa watakao piga Kura ya hapana tu

    hapana
  20. W

    Samuel Sitta aunda Kamati ya maridhiano ya kuwasikiliza waliopiga kura za HAPANA

    Napata shida sana kumuelewa huyu mzee sitta maana ya kura ni msimamo wako juu ya swala fulani sasa ni kwanini aunde kamati ya kuwashawishi huu ni uhuni na huyu mzee anazeeka vibaya zingepigwa kura za siri kusingekuwa na hii room ya kushawishi na ndio maana walikuwa wanaminya hii democrasia ya...
Back
Top Bottom