Hakika,
Unapojiuliza kwanini mimi,
Pia ujiulize kama si wewe angepaswa kuugua nani?!
Hakika Mwenyezi Mungu ametujaaloa dhiki na faraja, yote ni mapito ya maisha, tumshukuru kwa yote.
...anachagua mbegu bora kwa kadri ya matakwa ya fikra zake.
Endelea kuongea nae baada ya mavuno,
Nini itakuwa hatma ya mahusiano yenu?
Angalizo;
Mwenyezi Mungu alipoweka fungano la ndoa, ilikuwa pia ni kwa ajili ya haki ya baba, mama na mtoto.
Usijetumika tu kama sperm donor kisha baadae...
Pole sana,
Huenda umri, uzito, majukumu, au afya inamsumbua.
Mtafutie safari nje ya mji, mkoa, mwende mkapumzike wewe na mkeo angalau kwa wiki moja, mfufue mapenzi yenu kama yalivyokuwa, utaona mabadiliko.
Kuambiwa "amechoka sana!" ni neno lenye maana pana, wewe ni mumewe, tumia hekima na...
Pole sana.
Sababu ipi, au sababu zipo zilikupelekea kuoa? Na je, matarajio yako yalikuwa nini baada ya ndoa?
Kwa mtazamo wangu, hali unayoipitia ni ya kawaida sana.
Kabla ya ndoa, kila mmoja wenu ali fake. Hata wewe ulifake kwake kama unamvumilia mapungufu yake. Hata kama huku fake, huenda...
Pole sana kaka,
Endelea kumpa faraja mkeo, jitahidi uwe karibu nae muda mwingi.
Mkumbushe vitu, mambo mbali mbali, na nyakati za furaha mlizo share pamoja.
Hakika itawapa faraja kwamba kuna nyakati Mwenyezi Mungu aliwapa furaha pia.
Hali ya mgonjwa inakuwa na masononeko iwapo nawewe muuguzaji...
Hakuna mzazi, au mwanadamu yeyote ambaye anatamani kesho yake iwe na ugumu.
Kuna sababu nyingi mzazi au wazazi wanashindwa kujiwekea akiba ya uzeeni, ikiwemo gharama za malezi na za kusomesha watoto wao.
Sidhani kama ni haki kumlaumu mzazi kwamba alikuwa mzembe kutojiwekea akib.
Mzazi...
On spot [emoji736]
Watu wanakuwa na fikra mbaya sawa na wale ambao binti akishaozeshwa anapoteza;
haki za kutumia jina la ukoo.(surname)
haki za kumrithi mzazi wake.
haki za maamuzi ya kifamilia.
haki za kurudi nyumbani.
haki za kuzikwa na familia yake.
etc etc
...sahihi kabisa. Sio dhambi kabisa kukiri kuwa alimpenda, na kujihakikishia harudiani na ex- ni mojawapo ya kipimo muhimu sana unachoweza jiwekea maishani.
Ni maamuzi tu ya maisha,
Kwa amani ya roho na afya ya akili.
....Urgh!
Uliachana nae sababu watu “wote” humu walikushauri? Ulikosea.
Ungeachana nae kwa matakwa yako wewe mwenyewe.
No wonder una wasiwasi ukija na ID ile, watu wa humu watakuchamba. Usiishi kwa kuwafurahisha watu. Ishi kwa furaha yako mwenyewe.
Mimi nakushauri usiifute namba yake, ...na...
Zamani,
Hii jamii ya siku hizi mume utaonyeshwa sympathy ya kinafiki tu siku ya kikao, behind your back utasikia wanakung’ong’a “kama ana tatizo la nguvu ya kiume lazima asaidiwe!”
...bado tunarudi kulekule kwenye self incrimination.
Kwa mchepuko yeye anapigaje?
Mwenyezi Mungu akitaka kukuumbua, majibu ya mume yanaweza rudi +ve, ya mke yakarudi -ve.
Atumie kinga,
Asimnyime unyumba mkewe.
[emoji3][emoji3][emoji3]
...hakuna formula maalum,
Maana kila mtu na mtu wake.
Mfano;
kama mwamba alivyofanya hapo, karudi nyumbani bila taarifa...ndio akili yenyewe hiyo.
Huyo mke hata akitaka chepuka tena itambidi atumie mbinu mpya.
...kwa hayo masikitiko ndio maana nikamshauri ni bora asamehe na ajifunze kuishi nae kwa akili.
Angekuwa “msafi,” ningesema ana haki ya kuamua otherwise. Lakini, mwenyewe amekiri siku hiyo alikuwa na mpango na mchepuko wake ambao hata mkewe anamjua.
Msamaha wa kweli toka pande zote ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.