Search results

  1. R

    Tahadhari kutoka Utumishi kuhusu Utapeli wa Ajira na Mikopo

    I am looking for young professionals who can join me in the marketing of my business consultancy services.
  2. R

    wanafunzi kuweni makini na HLSSF

    NGOs hazisajiliwi BRELA.Nadhani kama mtu unadhani elimu/upeo/ufahamu wako bado ni mdogo;kuwa mpole;jishushe na uulize kwa upole ili wale wenye ufahamu na mambo ya msingi juu ya nchi yetu pamoja na sheria kwa ujumla wakueleweshe.Mimi naona watu wengine hii jamii forum wanaitumia kujiaibisha...
  3. R

    wanafunzi kuweni makini na HLSSF

    Kuhusu swala la thamani ya mkopo ni kama ifuatavyo: HLSSF haitozi riba katika mkopo wa masomo itakayompa mwanfunzi.HLSSF inatambua concept inayoitwa value of money especially for the future period.Kwa wale waliosoma masomo ya ECONOMICS NA FINANCE AU ACCOUNTING nadhani watanielewa kwa sana...
  4. R

    Ukweli na Uongo wa HLSSF utajulikana hiku hii

    HLSSF ni NGO iliyoanzishwa kwa kujitolea.Sisi tuliguswa na matatizo mbalimbali yanayowapata wanafunzi kutokana na uhaba wa pesa ya kulipia gharama za kusoma pamoja na mahitaji mengine.Mbali na swala la kuwataafutia ufadhili wanafunzi wa elimu ya juu;tunazo objectives nyingine ambazo tumeruhusiwa...
  5. R

    wanafunzi kuweni makini na HLSSF

    Habari zenu vijana wa tanzania pamoja na wazazi wa watoto wetu wanaotarajiwa kuingia elimu ya juu. Natumia fursa hii kuwataarifu wote walioguswa kwa namna moja au nyingine na huduma ya NGO iitwayo HIGHER LEARNING STUDENTS SUPPORTING FUND(HLSSF). Kwanza kabisa nawapongeza wote waliotoa maoni yao...
Back
Top Bottom