Search results

  1. G

    Romantic

    mheshiwa, nami naomba niongezee hapo. Hivi kwa nini wewe umfurahishe yeye. Kwa nini ni vigumu mke wako kukuambia nakuhitaji sasa. Kwa uzoefu wangu mke wangu siku akinishika sehemu sehemu hata kwa mapenzi hata ningechoka vipi nakua active ile mbaya. Nadhani wote wawili kila mmoja...
  2. G

    Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

    Bila kuingia mitaani na kuilazimisha serikari haiwezekani kupata suluhu la magaidi wa uchumi hawa-MAFISADI kama wengi tunavyodhani si rahisi kiasi hicho kwa JK kuwachukulia hatua wanayostahili kwa maoni ya wengi wana JF maana aliwaamini na kutoa imani kwao ni ngumu maana pia ni rafiki zake kwa...
  3. G

    Penzi-kipato= mgogoro (?)

    Naomba tusiishie kwenye kipato tu kama chanzo cha migogoro hebu tuangalia some other sources of family conflicts and hopefully posible solutions.
  4. G

    Penzi-kipato= mgogoro (?)

    Asante sana watoa mada nimefurahi sana kusikia maoni haya. Pamoja na kipato utandawazi/mazungumzo stories vinachangia sana kwenye migogoro ya nyumbani. Watu wengi wake kwa waume wanapata uzoefu wa mapenzi aidha kwa kuona au kwa kutendewa kitu ambacho kinapelekea mabishano katika ndoa na kuanza...
  5. G

    Wahandisi wa Kitanzania Popote Mlipo

    Wahandisi wa kibongo msilaze damu, wageni wanachukua nafasi zenu kwa tofauti ndogo sana ya CAD knowledge, nafahamu kuna kakampuni fulani kapo hugo hugo House Kinondoni Dar, Kanaitwa Kasumo Hebu watembeleeni, I attended a training at their office and had time to look at other packages they are...
  6. G

    Pinda futa kauli yako kuhusu kuwashughulikia mafisadi

    Nina wasiwasi kwamba Kikwete aidha yuko peke yake au naye ni fisi mdogo na anonekana kama mbwa kumbe sivyo. Hawa watu wanatuchezea niwazi kwamba utafika wakati wabongo tukatae kuwa kama watoto kudanganywa kwa pipi ili tunyamaze kulia. Hivi kweli JK ana nia anayosema? napata wasiwasi...
  7. G

    The Radar Scandal: Investigation & Progress

    Africa hatuna viongozi tulimshangaa San Abacha kumbe ya hapa ni kiboko mara dufu. Wenye dini ombeni sana ili mengi yafunuke. Hivi ni kwa nini Chenge na wenzake tusiwafukuze ili waende wakaishi ambako pesa zao ziko maana si wenzetu hawa. Kosa ni la JK maana amechagua fisi kulinda kulinda na...
Back
Top Bottom