Unaweza kupima kwa kuangalia jinsi gani kiongozi ameweza kushirikiana na team yake kufikia malengo. Kama wameshindwa the key players kwenye management hawana uwezo
Habari wadau
Ninawazo la kuanzisha web application itakayokua inahusika na uwajibikaji wa serikani ikijumuisha baadhi ya mambo yafuatayo:-
1. Uwezo wa viongozi walioteuliwa. Kuanzia rais mpaka viongozi atakao wateua
2. Kutimizwa kwa ahadi walizofanya wakati wa kampeni
3. Uwazi na uwajibikaji...
M45
Ingekua rahisi kujua ni sh utampa kama ungekua mmekubaliana interest rate ila kwa vile bado tuendele
Kwa sababu wewe ndo unaifanyia biashara hiyo pesa, unaweza ukafanya makadirio unategemea kupata sh ngapi ukishafanya biz kisha :-
1. Mkiwa mnakubaliana interest rate wewe utashikilia...
Mimi naamini waafrika sisi sio masikini ila wengi wana ugonjwa unaitwa inferiority complex. Wanashindwa kujiamini. Kwa sababu ukiangalia wapo waafrika na wanafanya vizuri. Wana skills. Mfano Kenya wametop China juzi, Dunia inaongozwa na mtu mwenye genetics kutoka Afrika, Dangote, Mengi nk.
Sasa...
Ladykiokote mawazo yangu ni yafuatayo:-
Ki ukweli ni kwamba kuchukua mkopo bila kuwa na plan ni tatizo ila kwa vile ishatokea tuiweke pembeni
Cha msingi ni ajaribu kutulia kwanza na hiyo pesa japokuwa ukiwa na pesa matatizo na vishawishi vinaongezeka
Kama anataka kufanya biashara:
Kama...
Ndugu,kichwa ndio mtu unataka kufanikiwa kupunguza uzito kuna product inaitwa CLEAN 9,hii product ukiitumia unaweza punguza kilo 4 mpaka tisa kwa siku tisa na wakati ukiwa unaitumia unashauriwa kufanya mazoezi mepesi kama kuruka kamba,kupanda ngazi na kukimbia....for more information u can...
Japan ni nchi iliyokua sana na imara kiuchumi na kidemocrasia.Sio vibaya kutusaidia lakin nafikiri hatujajianda kusaidiwa... Huo ujumbe ni sawa na kusema Tanzania ni koloni la kijapani kwanzia sasa.Acheni tripu zenu za kila siku......
Ndugu, MziziMkavu hesabu ya wapi hiyo ya kuleta jibu moja? Hakuna mabano ya kufanya +sign ianze kabla ya /sign. Hapo lazima tuanze na kugawanya kama ni hesabu ya kawaida tuliyofundishwa. Labda kama ingekua (6-1)*0+2/2. Hapo jibu ndo moja.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.