Search results

  1. S

    Tanzania National Identities

    The way ilivyokuwa published, nilijiwa na mambo mawili kichwani; 1: Rais anakwenda kureveal mambo makubwa bungeni kurudisha imani kwa watanzania kwamba hajasahau wajibu wake wa kuilinda na kuitetea katiba ya Jamuhuri ya muungano(if any and he believes in it) wa Tanzania. Mambo hayo yakiwa ni...
  2. S

    Maandamano ya Amani - 23/08/2008

    Natamani ningekuwa Dar ili na mimi nikaandamane. sijawahi kuandamana na siku zote huwa sioni sababuu ya kuandamana au kupinga kwani huwa sioni kama hivyo vitu vinanigusa au kunidhuru moja kwa moja. Ila safari hii I have the urge to be a front runner lakini sintakuwa Dar hiyo siku ya maandamano...
  3. S

    Who is Salim Ahmed Salim?

    Only kama hatakuwa mgombea wa ccm!!!!
  4. S

    Who is Salim Ahmed Salim?

    Kwa mtazamo wangu, kushindwa kwake hakuhusiani na kushindwa kuwa-empress wananchi kwani wananchi hawapitishi mgombea wa chama. Wachafu wale walio atakuwa kikwazo kwenye biashara zao so wakamweka kando. Kama huijui ccm unaweza kufikiri ni watu wazuri la hasha wale mabwana wametawaliwa na...
  5. S

    Who is Salim Ahmed Salim?

    Nyie watu mimi mbona mnanisikitisha? bado mnaitaka ccm? Salim ni mtu safi, ila ccm ni wachafu na hawataki kuwaanika wachafu ili waoshwe so hatujui nani ni mchafu zaidi na nani ni msafi sana. watamchafua huyu bwana!!! haijalishi rais ni msafi kiasi gani hawa mabwana hawaaminiki tena. Mimi...
  6. S

    Vigogo kitanzini

    huko ni kupoteza muda, kama mtu ulimwamini akaamua kukusaliti unatakiwa umweke mbali zaidi na wewe la sivyo atakufanyia usaliti mbaya zaidi ambao hutaweza ku-recover. Kikwete alimwamini Chenge na alipounda baraza lingine ( pamoja na kulalamikiwa sana na wananchi) alimpa second chance, look what...
  7. S

    Haitoshi! - Chenge jiuzulu na Ubunge!

    Huyo Makamba ndio usimtaje kabisa, nadhani inabidi akariri maneno "no comments" kuliko majibu aliyowapa waandishi wa habari kwamba ccm inashughulikia mambo mengine sio Chenge(ufisadi) na uwaziri ulikuwa kazi yake(Chenge) na watoto wake? Huyo alikuwa mkuu wa mkoa na ni katibu mkuu wa ccm. kama...
  8. S

    Haitoshi! - Chenge jiuzulu na Ubunge!

    naungana na wewe, hebu sema tufanye mkakati gani? Ujumbe unatakiwa uwafikie walengwa na je unawafikia au tutumie njia gani kuhakikisha unafika. Watu wengine huwa wanatumia petition sisi tunatumia nini?
  9. S

    Chenge ajiuzulu!

    KHERI WEWE UNASABABU ZA KUMWAMINI MIMI SINA HATA MOJA. KWANI ALIVYOKABIDHIWA OFISI ALIKABIDHIWA NA MAWAZIRI AU MAKATIBU? SI ALIWACHAGUA MWENYEWE/ kwanini aliwarudia wachafu? ILE NCHI INA WATU ZAIDI YA 37M, YEYE KWA KUTAKA KUMALIZA KAZI HARAKA AKACHUKUA WENZAKE ANAOJUANA NAO. NAJUA KUNA WATU...
  10. S

    Chenge ajiuzulu!

    CHENGE NA WALE WOTE WALIOJIUZULU SIKU ZILIZOTANGULIA WALIPATA NYAZIFA ZAO KUPITIA UBUNGE, JE HAWAONI KAMA ITAKUWA NA MAANA ZAIDI WAKIRUDISHA NA MAJIMBO YAO? AU KASHFA ZAO ZINA MIPAKA? KAMA HAWAWEZI KUJIUZULU WENYEWE CHAMA CHA MAPINDUZI KINA FIKRA GANI KUHUSU HILO? INABIDI MWENYEKITI WAO...
  11. S

    Chenge ajiuzulu!

    so aliona a-make scene b4 hajaondoka? bad idea!!!!!!!!!
  12. S

    Chenge ajiuzulu!

    ndio maana nikaomba maelezokutoka kwa wale wanaomfahamu. Hivi vyeo vya kujuana mwisho shughuli yako nyeti unampa "kihiyo"
  13. S

    Chenge ajiuzulu!

    I salute you, he is questionable, na ninamuombea ( si kwa Mungu, that will be asking too much) wananchi wasione hilo.
  14. S

    Chenge ajiuzulu!

    nakubaliana na wewe na hiyo tabia yake itamcost one of these days. Kama ushindi wa kwanza ulikuwa wa kishindo basi akiweza kupata mwingine utakuwa a little bit tough.
  15. S

    Chenge ajiuzulu!

    you can`t convice me!!! kama alikuwa anawajua kwanini aliwapa nafasi za uongozi kwenye serikali yake? Let say hakuwa anajua nani anafanya nini, je wakati alipoamua kuwa-consider kwenye baraza lake hakuona umuhimu wa kutumia watu wa usalama wa taifa wamsaidie kuwajua? au kazi ya watu wa usalama...
  16. S

    Chenge ajiuzulu!

    Ni kweli kuna watu wengine hatumjui huyu Dr.Mauwa Daftari, Je unaweza kutuelimisha zaidi kuhusu mtu huyu. najua muda ni mali ila kwa kitu kama hiki sidhani kama utakuwa unaupoteza bali utakuwa unautumia ipaswavyo. Kwanza nataka kujua kama ni Dr. wa watu au ni title? Unaweza kutufahamiasha ana...
Back
Top Bottom