Search results

  1. Mbonica VJ

    Leo ndio inatajwa ile kesi ya Kafulila aliyoshtakiwa na IPTL, PAP na Harbinder Singh

    Ingekuwa vizuri sana kama pia wahusika wangetajwa hapa ili na sisi tuwajue
  2. Mbonica VJ

    Lawrence Masha kumvaa Wenje kwa mara nyingine

    Huko Rorya sindio nimesikia mpiga Ngumi maarufu Nchini Maugo atagombea ....... haha hha hahaha yenyewe kuzaliwa tu tanzania ni miongoni mwa maajabu ya Dunia..
  3. Mbonica VJ

    Uso kwa uso na Lowassa: Jamani Lowassa ni bonge la Kiongozi

    Yeah, ni KIONGOZI Mzuri but very UNETHICAL... SIJUI KAMA NCHI YETU ILIVYO SASA tunahitaji UNETHICAL Leaders ambao watalalia upande mmoja --- kunufaisha Wachache... Hauwezi kusema UNETHICAL LEADER can change... Na nchi yetu kwa sasa inahitaji CLEAN leader ili aweze kugawa hizo MALI tulizonazo...
  4. Mbonica VJ

    Lowassa adaiwa kuifadhili ACT-Tanzania; yeye, ACT wakanusha

    @ haki sawa hii taarifa ndivyo ilivyotoka hakuna kilicho ongezwa hapo mkuu
  5. Mbonica VJ

    Lowassa adaiwa kuifadhili ACT-Tanzania; yeye, ACT wakanusha

    Lowassa akerwa na uzushi wa gazeti Katika gazeti la Tanzania Daima toleo na.3536 la tarehe 30 Julai, kuna habari inayosema Lowassa aibukia ACT na kumuhusisha na Mbunge wa Kigoma Kaskazini(CHADEMA) Zitto Kabwe katika kile gazeti hilo kilichodai mikakati ya siri dhidi ya Chadema. Habari hizo ni...
  6. Mbonica VJ

    Ukweli Kuhusu Edward Lowassa na Urais 2015

    Mwenye ushaidi juu ya Ufisadi wa Lowassa aje nao hapa
  7. Mbonica VJ

    Prof. Mwandosya kugombea Urais 2015

    Lowassa mzima ana nguvu kabisa nimemuona jana kwenye kikao cha wabunge wa Mkoa wa Arusha
  8. Mbonica VJ

    Ukweli Kuhusu Edward Lowassa na Urais 2015

    Lowassa sio mwizi wamiliki wa Richmond wanajulikana na pia kampuni ya Richmond,ndo ile ya Dowans na sasa ni Symbion ambayo ilizinduliwa obama Kwa mbwembwe nyingi sana je Ufisadi wa Lowassa upo wapi hapo
  9. Mbonica VJ

    Prof. Mwandosya kugombea Urais 2015

    Kuna aina nyingi za Uraisi upo uraisi wa CHANETA, MASHAROBALO, TFF n.k
  10. Mbonica VJ

    Ukweli Kuhusu Edward Lowassa na Urais 2015

    Naipenda Nchi yangu Tanzania, Namwamini Edward Lowassa 2015 kwa haya tu inatosha mimi kumpatia kura yangu na familia yangu pia 1. Mwasisi na msimamizi wa Ujenzi shule za Kata zilijegwa jumla ya shule 2000 ndani ya miezi 6 tu ni kasoma leo watoto wa masikini na walala hoi wapo University...
  11. Mbonica VJ

    Ukweli Kuhusu Edward Lowassa na Urais 2015

    Naipenda Nchi yangu Tanzania, Namwamini Edward Lowassa 2015 kwa haya tu inatosha mimi kumpatia kura yangu pamoja na familia yangu yote 1. Mwasisi na msimamizi wa Ujenzi shule za Kata zilijegwa jumla ya shule 2000 ndani ya miezi 6 tu ni kasoma leo watoto wa masikini wapo University . 2...
  12. Mbonica VJ

    Lowassa jembe lake lenye makali yakutisha

    Ni karibu miezi 32 sasa, Edward Lowassa amekuwa agenda kuu ndani ya CCM na wanaccm wenyewe, si mwenyekiti wala mjumbe wote mioyo yao ni Lowasa tu, wengi wakitaka ajipambanue nakuwa nyota huru ya chama na wachache walio juu ya chama wakitaka kumpoteza kisiasa gwiji huyu wa siasa za ukwasi na...
  13. Mbonica VJ

    Revealed: Chimbuko la utajiri wa Lowassa hili hapa. Je, anafaa kuwa rais?

    Huyu jamaani nitaira kweli Jibu ni, alivyokuwa waziri anaye simamia kitengo cha maafa. alitumia madaraka yake hayo vibaya kujibebea misaada ya aina mbalimbali kutoka kwenye mashirika, taasisi na wasamalia wema waliotoa misaada yao kwa waanga wa majanga yale ya mvua za elnino. Cheap talk, ni...
  14. Mbonica VJ

    Mambo ya Chalinze: Mh Rais amejiandikisha kituo kipi cha kupigia kura

    :A S-alert1::A S-alert1: Baba mzazi wa mbunge mteule wa jimbo la chalinze na Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mzee Jakaya Kikwete ameingia kwenye kashfa kubwa ya kughushi shahada ya mpiga kura, mzee Kikwete mwaka 2010 alipigia kura jijini dar es salaam na juzi jumapili amepigia kura...
  15. Mbonica VJ

    Wasomi mbona mmemwachia Issa Shivji peke yake kuliokoa taifa?

    :A S 465:WASOMI MBONA MMEMWACHIA ISSA SHIVJI PEKE YAKE KULIOKOA TAIFA?:A S 465: Ni dhariri kwamba Wasomi wanatambua wazi kuwa Serikali mbili ndiyo muundo pekee wa serikali unaoweza kudumisha umoja, mshikamano na undugu wetu uliojengwa juu ya Muungano uliodumu kwa zaidi ya miaka 50 lakini...
  16. Mbonica VJ

    Wapiga kura Monduli wanalia,wanashangaa harambee kwa mamilioni za mbunge wao

    kamwambie aliyekutuma mwambie hukutukuta kawadanganye mabwege wenzako ….. LOWASSA IS ONLY ONE FOR DIGITAL GENERATION ,CCM bila LOWASSA 2015 ni majanga matupu,
  17. Mbonica VJ

    Nyaraka muhimu kwa Maombi ya Kazi; Barua, CV /Resume na Rejea

    weka email, nikutumie sample nzuri ya email
  18. Mbonica VJ

    Jembe Lowassa awashukuru wananchi wa Makuyuni kwa kumchapa Dogo Joshua Nassari

    wakati mheshimiwa waziri mkuu mstaafu na mbunge wa jimbo la monduli edward Ngonyai lowassa akiendelea na ziara zake jimboni kwake monduli leo , amemwagia sifa za kutosha raisi jakaya mrisho kikwete kwa kukamilisha ilani ya ccm kikamilifu katika jimbo hilo,wakati huo huo akiwa katika kata ya...
  19. Mbonica VJ

    Nadharia tatu zitakazo mtoa Lowassa kwenye mbio za urais-2015

    wewe una matatizo yakutosha sidhani kama wewe unafikiri uchambuzi wako ni wako uko sawa kwasasa Tanzania tunahitaji kiongozi mwenye maamuzi magumu ambaye anaweza kusimamia maamuzi yake na sio hawa wanacheka cheka kama makenge walioshiba………...
Back
Top Bottom