Search results

  1. M

    Tanzania Tycoons List...

    Sijuai unazungumzia kiwango gani cha mafanikio lakini kwa msaada mfupi kama shida ni kujifunza jinsi gani wemefanikwa na "ups an down" zao itisheni kikao cha pamoja nao au fanyanao mahojiano ya one on one then ilete hapa tutapata picha ni jinsi gani wamefanikiwa. Ahsante mzee
  2. M

    Mnyika, Balille, Rostam Aziz na kisa cha sms!

    Titizo sio nani mlengwa wa hayo matusi tatizo ni matumizi yake hapa JF
  3. M

    Tanzania Tycoons List...

    Kuna njia nyingene nzuri tu za kujifunza kwa watu walifanikiwa lakini sio hii unyofanya wewe hapa, kwanza hatutasikia chochote kutoka kwao ....please tafuta njia nyingine
  4. M

    Mnyika, Balille, Rostam Aziz na kisa cha sms!

    [/SIZE][/COLOR][/B] Naomba ma Mods muiangalie hii lugha
  5. M

    JF Karibuni Tanzania Professionals Network

    .............Be aware of a naked man who offers his shirt....just curious
  6. M

    It is my Birthday

    Happy birthday Bubu , and wish you more to come
  7. M

    Kwanini Chadema haiwalipi hawa?

    unachoshindwa kujua ni kwamba JF sio chama cha siasa chenye malengo ya kuongoza nchi siku moja kama chadema, Hii ni forums ambayo watu wachache wamejitolea kwa moyo mmoja na hata wewe hujakatazwa kufanya hivyo, lakini Chadema ni chama cha siasa na kina katiba na dhumini la kuongoza nchi yetu...
  8. M

    Mugabe ana kichaa!!

    jamani mbona hii logo ya Nyani Ngabu imewagusa sana kulikoni?
  9. M

    CHADEMA kweli ni shwari au ni kauli za kisiasa tu ?

    Nilikuwa najua Chedama itakufa lakini sikutegemea this soon!.....aibu
  10. M

    CHADEMA kweli ni shwari au ni kauli za kisiasa tu ?

    Chinga hatuhitaji tena usibitisho....mwenye masikio na asikie
  11. M

    CHADEMA kweli ni shwari au ni kauli za kisiasa tu ?

    Ni heri tumeweza kuwajua Chadema kabla ya 2010
  12. M

    CHADEMA kweli ni shwari au ni kauli za kisiasa tu ?

    Mkuu kitila, sizani kama unajaua vizuri historia ya siasa ,cheo cha M/mwenyekiti wa chama ni kikubwa mno,na kitendo walichofanya CHADEMA kitawasumbua mno belive me or not kwa cheo alichokua nacho Wangwe siamini kama alikataa options nyingene kama za kujiuzuru na kama ni kweli alikataa basi...
  13. M

    Wabunge Wamtaka Mbunge Wao Akae Kimya!!!

    Hiki kichwa cha habari vipi?
  14. M

    Ni marufuku kufungua mtandao wa JF ukiwa katika ofisi za Serikali

    It was some kind of verbal warning it somehow got specifit to JF due to its addiction
  15. M

    Et tu Brute? Wajueni Ma-Yuda Iskariote wenu!

    Rev, nadhani ungefanya kama alivyofanya August ,kwanini usituambie ni namna gani na ni kwa vipi wametusaliti? kuna baadhi yao hapo juu kwenye listi yako matendo yao tunayajua ye wale tusiowajua huoni kuwa tutakuwa tunahukumu bila kusoma shitaka? Ni maoni yangu tu
  16. M

    Ni marufuku kufungua mtandao wa JF ukiwa katika ofisi za Serikali

    Mimi nafanya kazi serikalini hata hayo magazeti yanamuda wake, na hata hiyo internet sio kila mtu ana access nayo jamani nyinyi wenzangu mnaishi nchi gani?
  17. M

    Ni marufuku kufungua mtandao wa JF ukiwa katika ofisi za Serikali

    Sizani kama hilo ni kosa hakuna muajiri popote pale duniani atakae kuruhusu ujivinjari mtandaoni muda wako wa kazi sio JF wala MTV , that is no no period! Kwa hilo sizani kama serikali ina makosa, jamani tuweni makini kabla ya kutoa lawama
Back
Top Bottom