Search results

  1. L

    Kwa wanawake walio kwenye ndoa na mahusiano please ufafanuzi!

    sihangaiki na mwanamke anaetembea na mumewangu, nitadili na mumewangu tu kwanini katoka nje ya ndoa then nitaangalia sababu atakayoitoa ndio nitaamua kusamehe au kubwaga manyanga potelea mbali!
  2. L

    Why people argue/ask for sex?

    hiyo lugha gani mwenzetu? kiswakinge loh! tumia lugha ipasavyo kama kiswahili au kiingereza unachanganya mno hata haueleweki, mimi binafsi sijakupata kabisaaaaa!
  3. L

    Ipe maneno picha yangu ya zamani

    mimi huwa najisikia huzuni sana nikiona picha za watoto ktk style kama hizi dah! M/MUNGU amjaalie afya kijana huyu.
  4. L

    Mume huyu anapenda kazi kuliko mimi

    ha ha ha haaaaaa! M-mbabe ulikuwa hujui mkeo ni rafiki yangu sana tuu kila ufanyalo ananiambia.
  5. L

    Ndoa zina mambo jamani

    mmh! hamna kitu cha maana
  6. L

    Everything covered V/S Nothing covered except the eyes

    haya sasa wanashangaana, kila mmoja anamuona mwenzie sio
  7. L

    Sasa hawa jamaa wanafanya nini?

    hawana kazi ya kufanya ndio kilichobaki wafanyeje?
  8. L

    Conflicts katika mahusiano huimarisha mapenzi

    Ramos umenikumbusha mbalii! miezi sita iliyopita tuligombana na shemejio hadi kutaka kuondoka hapo home lakini baada ya kusuluhishana wenyewe ndio penzi likawa kama limeanza upyaaaa! tukaanza trip za mbali mara serengeti mara zanzibar duh we acha tu! sasa hizo sms tunazotumiana kutwa nzima...
  9. L

    Nimelipa kisasi kudadadeki (part 2)

    sasa ulitaka usifiwe kwa kulipa kisasi kwa mke wa police ambae hahusiki na chochote kwenye hiyo issue yako?
  10. L

    Mahusiano na Wakwe/Mawifi Nini kifanyike?

    mkwe hasa mama na mawifi hata uwabebe bado hawabebeki wanawivu ni balaa! MAMA MKWE ni kama mchanga kwenye mchele unajitahidi kuupembua wee lakini ukikosea tu ukabaki ukitafuna unaumiza meno ni balaa. MAWIFI nao ni kama chuya katika mchele unajitahidi kupembua lakini ikibaki inasumbua kwenye kula...
  11. L

    kuna madhara gani kuishi mbali na mume?

    he he he heeee! yaani ndio kawapa nafasi sasa ameogopa kusemwasemwa matokeo yake kaamua kuwaachia mume thubutuu mimi sifanyi ujinga huo hata kidogo.
  12. L

    Mume huyu anapenda kazi kuliko mimi

    aibu ya nini? kwani unanifahamu hadi nione aibu?
  13. L

    wanawake ni zaidi ya....

    mtoto ni mtoto tu jamani kwanza shukuru mungu kakupa huyo kuna wengine mimba wanazitafuta hawapati. Halafu wanaume wanaopenda watoto wakiume si watoe mbegu yy basi! mnachoka sana ndio maana mnaishia kutoa mbegu xx zinazopelekea mtoto wa kike. mama hahusiki ktk jinsia ya mtoto ni baba tu ndie sababu.
  14. L

    Usithubutu kukutwa....

    maisha haya jamani acheni tu!! watoto wanasubiria home baba kaenda kusaga mahindi kijiji cha tatu loo!
  15. L

    Mshikaki ulioshiba.....

    uko wapi sasa?
  16. L

    Nichumu, nichumu... Mwaaoh!

    haya mwache amchum! mwaa
  17. L

    Kumbe Skin Tight Maarufu!

    skin tight mbona ni vazi tu ila linavaliwaje ndio tatizo, hapo naona mamaa kaivaa ndani ya dira good.
  18. L

    I love This Picture

    alivyonuna basi loo!! anatamani aseme jamani.
  19. L

    Pesa ya serikali ya mapinduzi zanzibar kabla ya muungano wa tanganyika na zanzibar..

    hela nzuri hiyo du! jamani na waachiwe kanchi kao bwana! muungano! muungano! wanini?
Back
Top Bottom