Search results

  1. M

    Dar: Polisi abaka mtoto wa Mika 6 anayesoma Shule ya awali!

    Huyo atakuwa sio police, kweli police afanye kitu kama hicho?
  2. M

    Wahariri wapuuza agizo la viongozi wa TEF

    Njaaa kitu kingine Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    Uhakiki wa watumishi hewa wakamilika, ahadi ya Magufuli ya miezi 2 yatimia

    Sawa kaka nashukuru kwa ushauri wako. Fursa ipi itakayo niwezesha kuajiri wengine?
  4. M

    Uhakiki wa watumishi hewa wakamilika, ahadi ya Magufuli ya miezi 2 yatimia

    Ndg watz wenzangu hivi ajira zitatoka lini? Maana naona kama Mwaka unaisha hivi.
  5. M

    Ucheleweshaji wa pesa za kujikimu kwa wanafunzi ni tatizo kubwa sasa

    Jaman tuwe wavumilivu. Serikali yetu inatujali saana. Ipo siku kila kitu kitakuwa sawa na tuta enjoy maisha.
  6. M

    Dr. Rajabu Rutengwe, Mkuu wa mkoa wa Morogoro aliyetemwa, amwangukia Rais

    Lakini kama yeye ana elimu hiyo ya Dr. Si aende akatafute kazi kutokana na elimu yake
  7. M

    UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Kwa kweli kama huyo makufuli ndio Atakuwa rais basi wabanchi tutakuwa hatarini sana
  8. M

    UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    CCM kuna nn jipya
  9. M

    UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Magufuli hawezi pata kura hata kidogo
  10. M

    UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Ukawaaa juu
  11. M

    Ajira mpya za Walimu 2014/2015

    Vuta subira ndugu zangu. Ajira zipo ila Mwaka huu umekaa vibaya matukio mengi.
  12. M

    Halima Mdee amsambaratisha Magufuli

    We Wa wapi. Kadi zinaoneka zipo nyingi harafu unasema moja. Acha ushabiki Wa kunguru kufatilia mizoga
  13. M

    Halima Mdee amsambaratisha Magufuli

    Yap kama chato itamuondoa magufuli pombe. Mambo yatakuwa balabala
  14. M

    Meneja wa Diamond (Babu Tale) awekwa kikaangoni na Vyombo vya Dola

    Inategemeana na unako toka. Kama ni porini nani atakuuliza we kenge Wa mtoni?]
  15. M

    Power tiller sasa kukatiwa driving license.

    Yap ni kweli kennedy ukiangalia hata hiyo gharama ya kupata lesseni mbona ipo juu sana? Kuna nini hapo?
  16. M

    Power tiller sasa kukatiwa driving license.

    Hili suala lipo kimasilahi. Maana hayo mafunzo ni ajabu. Miaka yote watu wameendesha hivyo hivyo mashambani kwa nn sasa?
  17. M

    Power tiller sasa kukatiwa driving license.

    Sawa Lakini. Hapo kwenye gharama ya kupata hiyo lessen.
  18. M

    Maisha bora kwa kila mtanzania ndio haya?

    Mimi ni mgeni napita!
Back
Top Bottom