Search results

  1. C

    BAVICHA: Tupo nyuma ya Dr Slaa hadi mwisho

    .....vijana, msiseme mtakuwa nyuma yake...vibaya...! utata huo.. semeni mtakuwa bega kwa bega na katibu...
  2. C

    Majibu ya Zitto juu ya shutma za kuhujumu CHADEMA

    ...hapa wanachadema lazima tukubali katika umoja wetu kuwa kuna mahali tulikuwa tuki "abuse the hospitality of democracy" katika chama..wapuuzi wanaojifedhehesha kisiasa ktk jf leo hii, kimsingi hawakuridhishwa na walikatishwa tamaa na matukio yaliyotokea wakati wa uchaguzi wa bavita.. hata...
  3. C

    CHADEMA, huu ni wakati wa kufanya maamuzi magumu...

    ....hakuna dhambi mbaya kama unafiki...ndio maana ktk taasisi za kiusalama, unafiki unatafsiriwa kama uasi, ambao adhabu yake ni moja tuuu...hapa tunachokiona kikiibuliwa ktk skandali nzima ni unafiki wa vijana wengi ktk cdm...basi..kama kulikuwa kuna mawasiliano ya kujadili masuala ya chama...
  4. C

    Inaniuma sana

    ....kwamba kuna binadam wasio na hatia wamepoteza maisha wiki iliyopita katika eneo la mashariki ya kati kutokana na "matumizi ya silaha" ni jambo la kusikitisha na kuhuzunisha...na kwamba baadhi ya masheikh na maimamu wetu wa kiislam wamekuwa wawazi mno katika kushutumu( sheikh mkuu wa bakwata...
  5. C

    Kwanini Kikwete haungi harakati za Wapalestina kama Nyerere?

    ....mambo ya waarabu waachie waarabu wenyewe...period
  6. C

    Waziri Muhongo ni muongo?

    ...kwetu sisi wa mtaani ambao tukitazama "necha" ya kinachojadiliwa huamini pia ushahidi wa kimazingira (tofauti kabisa na kina "joni kisomo" wa bungeni, na wa "humu jf" halikadhalika) hatuajaamini kama profesa kaongopa...ushirikiano wa kutafuna "za umma"...huwafanya hata mahasimu wa itikadi za...
  7. C

    Tanzania sio masikini Watanzania ndio tu masikini

    .....kaka ndani ya "mama afrika" iliyobarikiwa na aliejuu hakuna umasikini...lkn kuna kukosa nidhamu na madhara yake...itazame rwanda...hawana dhahabu wala mafuta...lkn wana nidhamu...! Na wanasonga mbele kwa kasi ya kushangaza (kama si kuonea gere)...geuka kisha itazame nigeria au sudan...au...
  8. C

    Tamko la jumuiya ya maimam zanzibar kuhusu vurugu za siasa visiwani!

    ...hao ndio maimamu wetu wa zama hizi ktk tanzania....kwamba serikali ilishatoa taarifa kuwa fareed (sheikh?) alijiteka mwenyewe(hapanshaka kutia nakshi uanaharakati wake)...kwao si taarifa ila tu taarifa kwao itakuwa ni ile ya tume huru itakayoundwa na serikali hiyo hiyo...subhana llah...!
  9. C

    Maisha Binafsi ya rais wa Irani: Wanasiasa wa Tanzania tujifunze

    Ikulu MoU ni nyingi mno na zimesainiwa na watu wengi. Chaajabu ile MoU ya Ujerman ya kusidia maendeleo ya jamii chini ya KKKT ndo pekee inatajwa.Usione visima vinavyochimbwa na Mashirika ya dni ya kiislam yanakua yamekubalili kwa kusaini Memmorandum of understanding.Pale ikulu sio kweli kwamba...
  10. C

    Maisha Binafsi ya rais wa Irani: Wanasiasa wa Tanzania tujifunze

    ....gaddafi alianza kwa "kurarua" mamlaka iliyokuepo madarakani wakati huo...na akiendelea kurarua kula aina ya upinzani dhidi yake ktk style ya usiri ambao ulimwengu haukuujua...ahmednejad ameingia madarakani "kidemokrasia" na anaondoka baada ya kumaliza muhula wake wa pili...chambilecho...
  11. C

    Hongera Dr. Mwakyembe, hongera TRC

    ...isije kuwa walipokea milungula toka kwa wamiliki wa daladala, walete fitina "mbuzi", maanaake habari ya usafiri wa treni ilikuwa kama ngurumo ya simba marara kwa wamiliki wa daladala..!!
  12. C

    Ghaddaffi alimsaidia Idd Amin kuvamia Tanzania...

    ....sijawahi kumshabikia marehemu gadaffi hata mara moja..lkn kwa ambao waliokuwa wakimshabikia gadaffi, hawakufanya kosa, na hoja kuwa alimsaidia fashist haina mshiko kwa sababu mwaka 1980 wakati wa mkutano mkuu wa viongozi wa oau ambao haukufanyika kutokana na idadi ya wajumbe kuweza...
  13. C

    Rais Shein akagua gwaride rasmi siku ya EID

    ...ni rais wa zanzibar mwenye asili ya pemba..! aaah! baada ya waunguja kuwa ikulu kwa kipindi kirefu, alhamdullillah...ni zamu yetu sasa... na ubunifu si haba...!! namna mpya ya kusheherekea ied .! kila zama na kitabu chake yakhe...mwenye wivu.......!!!!
  14. C

    Zanzibar says reaches deal with Tanzania on oil, gas revenues

    ....teh teh teh...umenikumbusha kipande kimoja cha baba moi wakati akiwa bado "uraisini" alipokuwa "akiwaponda" wapinzani...alisema.."...wamezubaa (wapinzani) kama kuku ambaye keshafunguliwa kamba za miguu lkn hajitambui..mpaka umpige teke ndio ktk harakati zake za kukwepa (yeye kuku) anajua...
  15. C

    Umoja wa mataifa UN, US na EU ndio wavunjifu wa amani duniani

    ...kaka Ami...alhamdullillah..nimeangalia iraq( na ulimwengu wote wa kiarabu), nimeangalia pakistan,somalia, na sudan (kwa jicho la kiafrika, ukitilia maanani kuwa suda ni sehemu ya afrka)..nilichokiona ni unafiki mkubwa wa watu wa nchi husika...hususan somalia...!waliungana kumuondoa general...
  16. C

    OIC: Mbwa mwitu aliyevaa ngozi ya kondoo

    ....kamanda..hakika unajua mengi kuhusu OIC ...hususan malengo yake...lkn kwa uelewa uliouonesha sidhani kwamba hujui kuwa kimsingi..OIC ni muungano wa nchi zenye waislam, na si muungano wa nchi za kiislam...na ktk malengo yake itikadi za "sheikh robo & co" hazina nafasi...ukombozi...
  17. C

    Vurugu za UAMSHO Zanzibar: Polisi auawa kikatili...

    ...vp kuhusu ma ami wa kipemba nao? manake hata wao ni waoga huenda hata kutuzidi sisi wabongo...si unakumbuka wengine walikuwa radhi wakafie somalia..na wamerudi juzi tuu!!! upuuzi wenu wa 1995..au...?
  18. C

    CCM: Waliofanya fujo Zanzibar ni wapinzani (CUF) na ndio waliochoma ofisi za CCM na kufanya vurugu

    ....Awali ya yote mi ni mzanzibar...! na naam nitafata ushauri wako sheikh wangu "taenda pimwa akili".... lkn nakuandalia hema pindi ukifika bara kama mkimbizi upate pa kujisitri...au...utakimbilia ulaya? manake arabuni hawakubali mambo ya wakimbizi...na wakikukubali basi "chakla chao mamwinyi"
  19. C

    Polisi wanafanya fujo,Sheikh Ponda na Sheikh Farid ni harmless religious fanatics

    ....kamanda...kuna uhalifu umefanyika...mali zimeharibiwa...polisi lazima wafanye kazi yao...lkn mahakama ndio itakayohukumu....take note...kuna dalili kuwa kulifanyika uchochezi wahalifu wakapata nafasi kujiingiza kwenye maandamano (ambayo labda yalikuwa halali, na yenye tija kwa waandamaji...
Back
Top Bottom