Search results

  1. H

    HIV inanitesa

    Nashukuru sana kaka Kweli jamii inapaswa kukumbusha juu ya janga hili. Yatupasa kuunga nguvu ya pamoja ili kunusuru vizazi vetu.
  2. H

    HIV inanitesa

    Hiyoo dawa naifahamu nahuyoo mtengenezaji namjua nilisha kwenda kwake ila sikupata mafanikio.
  3. H

    HIV inanitesa

    Asante sana Thanda kwa Mchango wako. Nakuomba uni Pm Mana mie siwezi ku PM sijapost zaidi ya 5 hivyo siwezi kuku Pm. Ni PM ntakupa Private Mail yangu.
  4. H

    HIV inanitesa

    Ni Pm tafadhali mie siwezi kuku Pm adi nifikishe Post 5.nahitaji mwongozo.
  5. H

    HIV inanitesa

    Hizo NGO's nazijua sana ila hakuna lolote huko ni za watu wachache wajanja wajanja wa mji i tu na mambo yao.navyokwambia toka 2008-2012 nilishapita kote huko kwenye NGO's nikakula ni longo longo tu.
  6. H

    HIV inanitesa

    Habari zenu wana jamvi. Naombeni maoni yenu /michango yenu. Mie ni Mdada wa miaka 30 nima MBA ya UDSM na nimebahatika nimeajiriwa hapa DSM mitaa ya post mpya.Pia nina ishi na Virus visababishavo ukimwi (HIV) Naisha maisha ya kawaida kabisa nimejenga na nina kiusafiri cha kunifikisha popote...
Back
Top Bottom