Search results

  1. M

    Mkapa above the law?: Allegations

    Mimi nafikiri kesi hii ya Mkapa inaprove Nyerere alikuwa anatumia advantage ya Watanganyika wa kipindi kile kumuogopa na kutokuwa exposed na issues muhimu kupitisha matakwa yake ambayo kwa kweli undani wake umejificha sana,hatujui alikuwa anakosea ama ni makusudi. Nimekutana na Waganda kadhaa...
  2. M

    Looking for a computer

    we maxence upo wapi?mbona wanataka kukubambikia kiasi hicho,halafu hiyo laptop wanataka kufanyia shughuli gani maana naona HDD 160GB,WEKA MAHITAJI YAKO ,THEN NTAKUPAPA BEI YAKE,IKIWEZEKANA TUTAWASILIANA
  3. M

    Mkapa above the law?: Allegations

    NINGEPENDA KUWAKUMBUSHA WAKULU HAO KUWA THE BASIC SOCIAL UNIT/ENTITY NI MOYO,MEANING PSYCHOLOGICAL MOYO AND ANATOMICAL ONE,HIVI BASICALLY BINADAMU WOTE WENYE PSYCHOLOGICAL STATUS SAWA WANAFANA BILA KUJALI VYEO,MALI,KUJULIKANA N.K INGAWA HIVYO VYOTE HUWA VINACHANGIA HEALTH PSYCHOLOGY IWAPO...
  4. M

    HELSB: Mkopo wetu wa stationary umeliwa na nani?

    Hodi JF,habari JF members Mimi ni mmoja wa wanafunzi nchini China under Chinese Scholarship Council(CSC) 2006/2007,mwaka jana tuliandika barua kuomba loan ya stationary na tuliambatanisha na form za mkopo na kuzituma kwa Mama Kibaya wizarani thru DHL. Tukaanza kuhisi mizengwe,tukimpigia...
Back
Top Bottom