Search results

  1. M

    Sio siri Marin Hassan Marin wa TBC 1 unaboa sana..

    Nakubaliana pia kuwa jamaa ni mzuri, issue pia ni kuwa kipindi ni kifupi na hivyo hawezi kuacha mtu atiririke atakavyo, ni kudodosa kila mahala pa msingi! Ana uelewa mkubwa katika nyanja tofauti jambo linalompa nafasi kuweza kuuliza mabo mengi.
  2. M

    CCM wawatikisa CHADEMA Houston wajikuta wapo wawili tu mkutanoni

    Teh! So give us the details. Tuambieni kilichoongelewa na hayo makubwa mliyoyaona yanayowatia matumaini kiasi hicho. Yawezekana kuna maajabu yanakuja with regard to the CCM new generation. SIjali chama, najali mikakati inayotekelezeka. Dola Vs Shilingi mmeona ilipo!?
  3. M

    Wind Blown

    It is interesting I guess! 1. EPA ==> - The scandal - The arrests - The sueing - Repayments - How to spend the returned Money - The companies whose owners are unknown to date...
Back
Top Bottom