Search results

  1. Chiefmweusi

    Nauza vitu vyangu vya ndani

    Tuone picha ya jiko mkuuu
  2. Chiefmweusi

    Jina la Benki hii lipi?

    Inaitwa CRDB Bank PLC baada ya kustrasform kutoka kwenye mikono ya serikari na kuwa Private company sasa CRDB imebaki Kama jina la company na usilefushe wewe sema CRDB Bank PLC
  3. Chiefmweusi

    Mange achoma moto kadi ya CCM live

    Hv bado alikua na kadi ya ccm..
  4. Chiefmweusi

    Mbunge wa Arumeru mashariki Joshua Nassari aifagilia serikali ya awamu ya tano

    Vipi hakwenda kumpokea PM airport..??
  5. Chiefmweusi

    Ukweli unaonyesha CCM haiwezi kabisa kushinda uchaguzi mwaka 2020

    Kwa upinzani huuhuuu CCM watashinda
  6. Chiefmweusi

    Yaliyojiri Kutoka Ikulu: Mahojiano ya Rais John Magufuli na Wahariri wa Vyombo vya Habari

    Huku uwezi linganisha na huko kwenu monduli au ukwen kwako hai
  7. Chiefmweusi

    Yaliyojiri Kutoka Ikulu: Mahojiano ya Rais John Magufuli na Wahariri wa Vyombo vya Habari

    Vp serikali iki filisika kwa kufanyabiashara na fedha zake yenyewe je hii ni sawa
  8. Chiefmweusi

    Yaliyojiri Kutoka Ikulu: Mahojiano ya Rais John Magufuli na Wahariri wa Vyombo vya Habari

    Hata wakati Wa kupiga kura hua unajua mshindi sa cjui hua unaenda kupiga ili iweje..
  9. Chiefmweusi

    Sakata la Wabunge wa CCM kuhongwa: Mbowe aongea na wanahabari

    Ushahidi huo anao siku zote ila anapo utunza na hisi hua ni mbali sana hata mwenyewe hua anasahau
  10. Chiefmweusi

    Sakata la Wabunge wa CCM kuhongwa: Mbowe aongea na wanahabari

    Mwenye ushaidi na aende mahakamani
  11. Chiefmweusi

    Off GridElectric Company tunatafuta wakala wa mauzo

    Hawaelewek wanaweza kukuajir Leo kesho wakesema wanapunguza wafanyakaz
  12. Chiefmweusi

    Off GridElectric Company tunatafuta wakala wa mauzo

    Kwa mlio wafanyanyia vijana na mabinti zetu sitaman tena kuna vijana wanahangaika na hii kampuni uupuzi mtupu
  13. Chiefmweusi

    NMB northern zone wamejibu

    Leta hiyo mail tuone
  14. Chiefmweusi

    Peoples bank of Zanzibar wameita au bado?

    Habari za ndani zinaonesha majina yatatoka punde tu baada ya mishemishe za uchaguzi kuisha so vuta subira mdogo wangu
  15. Chiefmweusi

    Nafasi za kazi FNB Bank

    First National Bank Tanzania (FNB) JOB OPPORTUNITY 1. External Sales 2. Frontline Coordinator 3. Coordinator Teller 4. Home Loan Consultant 5. Branch Administration Manager 6. External Sales Team Leader 7. Teller 8. Customer Sales and Service Representative 9. Premier Banking -CSSR 10...
  16. Chiefmweusi

    Hisa za CRDB kushuka!!

    duuh hatare
  17. Chiefmweusi

    CHADEMA wazalendo wakubali kushindwa

    viva viva makamanda wa kweli tupo pamoja
  18. Chiefmweusi

    Msaada: Ushauri kuhusu ajira zisizoendana na taaluma

    Mkuu naomba nikushilikishe hili..namimi nilikua na tatizo kama la jamaa yako japo fild yangu mimi ni Banking and Finance nilitamani sana kufanya mitihani ya CPB pale TIOB kama professional yangu mara nikapata hiyo kaz na nikapangiwa Mara lakn sababu ckua na hela ilibid niende tu..na mshahara...
  19. Chiefmweusi

    Mkutano wa CHADEMA wa kuchangia kampeni za Uchaguzi - Sept 21, 2015

    bado zipo na ndo zinatakatishwa kwa stail flan hv yakilofa
Back
Top Bottom