Search results

  1. D

    Maxmalipo inapenda kuutaarifu umma kwamba, imeongeza huduma mbalimbali

    Habari Piga/whatsapp: 0757244424 au email: sales@maxcomafrica.co.tz
  2. D

    Maxmalipo inapenda kuutaarifu umma kwamba, imeongeza huduma mbalimbali

    Page 1 of 2 11 Septemba 2018 TAARIFA KWA UMMA Kampuni ya Maxcom Africa PLC – Maxmalipo inapenda kuutaarifu umma kwamba, imeongeza huduma mbalimbali kupitia kwa mawakala wake wote wa Maxmalipo. Mawakala wa Maxmalipo kote nchini wanaweza kulipisha huduma nyingi zaidi kutokana Maxmalipo...
  3. D

    Kampuni ya Maxcom Africa PLC, wamezidi kuboresha huduma zao

    Page 1 of 2 11 Septemba 2018 TAARIFA KWA UMMA Kampuni ya Maxcom Africa PLC – Maxmalipo inapenda kuutaarifu umma kwamba, imeongeza huduma mbalimbali kupitia kwa mawakala wake wote wa Maxmalipo. Mawakala wa Maxmalipo kote nchini wanaweza kulipisha huduma nyingi zaidi kutokana Maxmalipo...
  4. D

    Kampuni ya Maxcom Africa PLC, wamezidi kuboresha huduma zao

    LUKU ipo. Hizi zilizoandikwa ni huduma Mpya zilizoongezeka
  5. D

    Kampuni ya Maxcom Africa PLC, wamezidi kuboresha huduma zao

    Kampuni ya Maxcom Africa PLC, wamezidi kuboresha huduma zao. LEO wametangaza Huduma zao Mpya ambazo zinaweza kupatikana kwa Mawakala wa Maxmalipo Popote. Huduma hizi zimeambatana na huduma zilizopo kwenye mfumo wa serikali wa malipk Kielektroniki yaani GEPG. - Malipo ya bili za Maji mikoa...
  6. D

    Kampuni ya kimataifa ya teknolojia ya malipo, imetangaza rasmi ushirikiano wa kimkakati kati yao na Maxcom Afrika

    Kampuni ya kimataifa ya teknolojia ya malipo, imetangaza rasmi ushirikiano wa kimkakati kati yao na Maxcom Afrika ambayo itawawezesha wauzaji zaidi ya 30,000 kupokea malipo ya Visa kwa kutumia simu ya mkononi pamoja na mawakala 20,000 ambao watawezeshwa kupokea amana na kutoa malipo na...
  7. D

    Maxcom Africa PLC(MaxMalipo) na Precision Air wasaini mkataba wa malipo kielektroniki

    BREAKING NEWS!!! Kampuni ya Maxcom Africa PLC- Maxmalipo na shirika la ndege la Precision Air Leo wametiliana saini makubaliano ya kuwezesha malipo ya Tiketi za ndege kielektroniki. Katika Makubaliano hayo wateja wa shirika la Ndege la Precision Air wataweza kulipia Tiketi za safari ya ndege...
  8. D

    Nafasi za kazi utangazaji wa redio

    Tunatafuta Watangazaji 3 Dj 1. Sifa: Uwe umesomea Utangazaji au Una kipaji cha kutangaza. Wenye uzoefu na wanaojiamini watume CV au Barua za Maombi kwenye email. Pia uwe Tayari kufanya Kazi Mkoani. Ni redio ya kibiashara (Commercial Radio) info@mainstreammedia.co.tz Mwisho ni Tar 25 Jan...
  9. D

    Nafasi Za Kazi Utangazaji wa Redio

    Radio Mpya inaanzishwa Mkoani Manyara na Tunatafta Watangazaji wa redio, wenye uzoefu zaidi ya Mwaka Mmoja Mwombaji awe tayari kufanya kazi kwenye Redio iliyoko Mkoani. Mwongozaji Awe na cheti chochote kutoka kwenye chuo cha habari kinachotambulika. Atume CV kwenda...
  10. D

    Manyara FM

    Wana Jamvi, kuna Radio Iko manyara inaitwa Manyara FM, nimeisikia Juzi nikiwa Babati ila sikujua mawasiliano yao. Je kuna Mtu ana mawasiliano yao? Naomba hapa au private. It is for business purpose.
  11. D

    Maxcom Africa iangaliwe kwa jicho la karibu

    Nenda Brela kapate Majibu. Daima hata wewe ukifanikiwa kimaisha lazima utasemekana ulikua mtoto wa nje kwa baba yako. Hao wanaoisema Maxicom ni wenye hila na Mafanikio nda
  12. D

    Maxcom Africa iangaliwe kwa jicho la karibu

    Wewe ni Mnafki ni Usiwapotoshe wana wa Jamii forum. Acha unafki. Umetumikamkuwakanganya watanzania. Tanja kampuni 5 tanzania zilizopo kwenye ISO. Unakosea sana umepoteza uzalendo. $'ataka nchi hii wafanyabiashara wawe ni wageni au?????
  13. D

    Maxcom Africa iangaliwe kwa jicho la karibu

    Usiigombanishe Awamu ya Tano na wafanyabiashara. Mh. Rais hajaja kukandamiza wananchi wala wawekezaji,Serikali ya Awamu hii sio kama unavyowaza. Umeanzisha thread iliyojaa upinzani kibiashara. @Jamiiforum Inatakiwa kukuchunguza usije ukawa umetumwa /
  14. D

    Maxcom Africa iangaliwe kwa jicho la karibu

    Una maelezo marefu na Mazuri, ila Nnadhan Hii research yako haina mizania. Mimi ni Mdau wa ICt na nimekua naifuatilia vyema Kampuni hii. UZi wako unatakiwa uuboreshe. 1. Je Umejiridhishaje kwamba servers sio salama? 2. Je umewahi kukutana na wadau kujua haya? Sisi tuliopitia Ujasiriamali...
  15. D

    Website Buree!! offer!! offer!!

    Karibu eddy
  16. D

    Website Buree!! offer!! offer!!

  17. D

    TRA/PCCB chunguzeni wizi mkubwa Max Malipo leo hii

    Jamii forum should be Used as a Plain platform and room of unbiased discussion. Msije na Hija zenu za kibiashara, Kiushindani kutaka wana Jamii tuwasaidie.. Mdau anzisha Uzi mwingine
  18. D

    TRA/PCCB chunguzeni wizi mkubwa Max Malipo leo hii

    Tobaa, Wewe ndio maana nimesema hata Gari nawaiswasi huna... Deni haliandaliwi na Maafisa wa TRA Kaka, Unatakiwa kutuma tu SMS yenye namba fulani au kuprintiwa deni lako Pale unapoenda TRA na TRA zote wanakuambua njia za kulipia. Usivute Hisia za wanajamvi kwa Hoja Nyepesi nyepesi.. Kama Gari...
Back
Top Bottom