Nadhani Wameongezewa bajeti zaidi ili wa endeleze ile kazi yao ya kuwaua watu makusudi, kama washitakiwa hawa wanavyo elezwa!
Washitakiwa katika kesi hiyo wanadaiwa kuwa Januari 14 mwaka juzi, katika msitu wa Pande Luisi, Mbezi, Dar es Salaam walimuua kwa makusudi Bw. Ephraim Chigumbi, Bw...
Hebu tujikumbushe kidogo na hii habari,
Habari Leo; Jumamosi,May 24, 2008 @00:02
Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalumu Dar es Salaam, Alfred Tibaigana anayetarajia kustaafu Julai mwaka huu amesema huenda akagombea ubunge katika Jimbo la Muleba Kusini mwaka 2010.
Mbunge wa sasa wa Muleba...
Asante sana Mheshimiwa!
Hilo VX kama ni la serikali si'litakuwa limesajiliwa namba za serikali ama lina namba za ikulu?
Swala la ufisadi tusilifanye sasa kumnyima mtu haki zake za msingi, kitu kama shamba, tena liko bagamoyo tena la urithi ajabu nini hapo?
kwa mfano Sasa hivi akiugua...
Ukweli Zombe hajafa, labda kama ni Breaking News!
Zombe anaendelea na kesi yake....
"Katika kesi hiyo itakayosikilizwa na Jaji Kiongozi Salum Massati kwa siku 13 mfululizo, upande wa mashitaka unategemea kuita mashahidi zaidi ya 50 na kuwasilisha vielelezo kadhaa vya kuthibitisha makosa dhidi...
Kama ni kweli anazingumzia ana pesa Bank isiyofikia hata 10Mil, ni kiwango kidogo sana hicho wala hapaswi kulaumiwa kwa lolote.
Mambo mengine kama shamba, nyumba,kutembelea VX ni kitu cha kawaida, linaweza kuwa gari la nyumbani huyu ni mtoto wa rais ana masilahi yake serikalini kupitia baba...
Yaani ukinitajia jina la Zombe najisikia kichefua - chefua! tena ingekuwa kunauwezakano hukumu ya kesi yake ingesomwa hata leo hii, ale miaka yake
Na hilo lililokuwa likubwa lao (Mahita) hili jamaa lilikuwa na vijana wa kazi waliokuwa wakiendesha shughuli za uporaji wa madini na pesa, wahindi...
"Bw. Nasari alisema kuwa uanzishwaji wa mradi huo hapa nchini una uwezo wa
kuliingizia taifa dola milioni 300 kwa mwaka na kwamba wanahitaji dola
milioni 450 kwa ajili ya kutekeleza mradi huo".
Sasa huyu Bwana anaposema mradi utahitaji dola Milioni 450 kwa ajili yakutekeleza mradi, sasa...
Naungana na Majibu ya ndugu Ezekiel Maige kwenye kujibu yake ya msingi juu ya tuhuma ya vifo vya Guides & porters wanaopanda mlima kilimanjaro.
Nikweli kabisa idadi ya vifo vya Guides & portes 20 kwa mwaka ni uzushi! Sina rekodi ambayo inanionyesha kuwa kuna guide ambaye alishakufa akiwa...
gaijin;
Mgeni anayekuja kupanda mlima kilimanjaro na akahitaji huduma maalum anatakiwa kuwa na BIMA yake mwenyewe, ambapo mashirika kama AAR, Flying Doctor hualifiwa mara moja na hutuma ndege kuja kumchukua, lakini kwa wale wanaokuja kupanda na kutegemea rescue ya KINAPA wakipata matatizo...
NEMC awaits Soda Ash EIA report
Masembe Tambwe
Daily News: Wednesday, May 21, 2008 @00.02
Developers of the proposed Lake Natron Soda Ash facility are reviewing an Environmental Impact Assessment (EIA) report to address public concerns of the project, the National Environment Management...
Mkuu Kibunango
Asante kwa maelezo,
Basi hizi source za serikali nazo zinapotosha ama hajiandaliwi kitaalamu
hebu check hii
Zakia H. Meghji
Ministry of Natural Resources & Tourism Minister 1994 2005
http://www.parliament.go.tz/bunge/mp_Cv3.asp?PTerm=2005-2010&fpkey=3
Dr...
Mkuu Kibunango
Hebu jaribu kucheki vizuri rekodi zako, sijui zangu ndiyo zitakuwa na makosa ama zako ndiyo zitakuwa na makosa maana hapa hatugombani ila tunawekana sawa katika kupata ukweli.
Rekodi yangu inaonyesha Bi. Zakia Hamdani Meghji amekuwa waziri kwa kipindi hiki:
1994 -2005...
Mkuu
Hapa sijui kama watu wanalielewa hili som kwani limetokea kipindi kirefu kidogo!
Ni kweli kipindi kile kampuni ya uwindaji ya Kiarabu ilipopewa kibali cha kuendesha shughuli za uwindaji Loliondo Bi. Zhakia alikuwa waziri wa maliasili na Utalii.
Kampuni hiyo ilipatiwa kibali cha...
Hili ni pengo kwa wana JF, lakini mapenzi ya Mungu yatimizwe! Mme mfiwa ambaye ni mwana JF, tukopamoja nawe katika kipindi hiki kigumu cha maombolezo. Mungu akutie nguvu!
Heshima yako Bubu,
Katika swala la Makampuni yanayoendeshwa na wawekezaji kutoka Magharibi pamoja na Kusini mwa Africa, yamekuwa wakijipatia faida kubwa zaidi ya makampuni ya kizalendo.
Hawa jamaa wa kizungu wanapofungua kampuni basi pia hufungua na camp / flying camps/ mobile camps zao...
Asante sana Fundi Mchundo!
Nadhani kielelezo hicho ni dalili ya kumkoma nyani
Kumbe mradi wa Magadi Soda Company ulianzishwa wakati wa ukoloni; nadhani kama ingekuwa kipindi hiki hakuna Mkenya ambaye angeukubali!
Asomaye na afahamu!
Mheshimiwa GT
Siamini na wala sina uhakika kama kunafitina yoyote inayofanywa na watu wa Mazingira; kama unaushahidi ni vyema ukauweka ukumbini ilinasi tujionee, lakini vinginevyo utakuwa unaasili ya kibaguzi!
Kwa Mfano kwenye hili la Lake Natron, "Mr.Lota Melamari, the CEO of the Wildlife...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.