Search results

  1. Chiwa

    Wanafunzi wanauliwa na walimu kwa vipigo na wengine wanachora ramani za kutorokea USA; tazama huyu hapa anauliwa tena!

    ni kweli tuna roho mbay kumpiga mtu tano kisha kutengeneza mabango mji mzima sio tukio dogo
  2. Chiwa

    Afungwa jela kwa kosa la kumlawiti mkewe kama adhabu anapokosea

    sidhani wafiraji wamekuwa wengi mno wanandoa wengi wakipeleka hizi kesi mahakamani itakuwa aibu kupita unavyoweza fikiria.
  3. Chiwa

    Afungwa jela kwa kosa la kumlawiti mkewe kama adhabu anapokosea

    Ni tendo la aibu na sikawaida ya desturi zetu hivyo yuko sawa kutoonekana mahakamani vinginevyo shauri lingesikilizwa kwa faragha kumstili aliyeumizwa.
  4. Chiwa

    Sina furaha na ajira yangu, natamani kuacha. Je, nitaachaje?

    ushauri wa moja kwa moja unakuwa mgumu kwakuwa hujatuambia unakusudia kufanya nini baada ya kuacha kazi ili twende kiuhalisia.
  5. Chiwa

    Upi utaratibu mzuri wa kufuata ili kulinda haki ya mtoto anayetuhumiwa kushibisha mimba mwanafunzi?

    kwa lugha rahisi tu ni kwamba serikali haikemei viashiria vinavyochochea mihemko ya ngono tamaduni zetu zimebadilika sana nyimbo na thamthilia nyingi zinahamasisha ngono na vyombo vipo sasa tutarajie nini kwao.
  6. Chiwa

    Kumbe kuna salamu maalumu ukikutana na mtu usiku mzito? Usiku wa leo mbio ndiyo zimeniokoa

    haha hhaaa.. nipo changamoto za uzee inabidi nipunguze utundu nikue sasa
  7. Chiwa

    Biblia wanayotumia Wakotoliki na wanayotumia Walututeri pamoja na madhehebu mengine ni tofauti?

    bibilia zote ni za wakatoliki ila wengine wamepunguza vitabu japo walutheri wengi wanatumia tena bibilia zenye vitabu vyote wao ni wanunuzi wa bibilia za kikatoliki. Wakatoliki wanamatoleo matatu yanayotumika sana kwa sasa:- toleo la Iringa -hii inanunuliwa sana na walokole pamoja na walutheri...
  8. Chiwa

    Dar: Waliomteka Mwanamke kwa siku 4 waachiwa baada ya kulipa Tsh. 300,000

    pole sana. sasa ndo kwa fidia ya 2,500,000 kweli?
  9. Chiwa

    Kama kipato chako ni chini ya milioni Tano kwa mwezi wewe ni Maskini

    fedha si kigezo pekee cha utajiri wako watu wanafedha lakini ni maskini.
  10. Chiwa

    Msaada: Miaka hii 43 nampataje mwenza ambaye hana mtoto

    A Kiingia binti below 25 hana mtoto na akamvumilia huyu mtu basi atakuwa naundungu na queenElizabeth vinginevyo jamaa anahela za kutosha.
  11. Chiwa

    Nimemlipia binti mahari lakini bado ananizungusha

    NIMESOMA YOTE ILA UJUMBE HAUJAFIKA VIZURI
  12. Chiwa

    Msaada: Miaka hii 43 nampataje mwenza ambaye hana mtoto

    swali nzuri sana ila unaweza usieleweke lakini mara nyingi kijana anahitaji kuoa kati ya miaka 27-32 ili anapofikisha miaka 35 ameanza kukomaa katika kupambana na changamoto familia.
  13. Chiwa

    Msaada: Miaka hii 43 nampataje mwenza ambaye hana mtoto

    mhn! ukivuka miaka 40 ni kazi kwelikweli ni bora ubahatishe haohao single mama vinginevyo hivi vitoto unahitaji kuwa kama rais wa Russia. ukibisha jiandae kusoma masomo ya kujitolea bila cheti (postgraduate in clinical officer specialized in sugar,pressure na vidonda vya tumbo) kwa kuwa hakuna...
  14. Chiwa

    Saa ya Rais Samia yadaiwa kuwa na thamani ya Tsh. Milioni 111,601,22/=

    we! angekuwa bibi yangu usingenikuta huku bata wangepata shida sana! natafuta nini huku kuchakutwa kumsimanga na kumpa sifa asizostahili karibia mtamlaumu kwa joto na kumpongeza kwa mvua zinazonyesha?
  15. Chiwa

    Naamini kuna watu wameweza ku-unlock secret codes za maisha na wanaishi kawaida na sisi kama watu wa kawaida

    kwa siku ya leo huu unaweza kuwa uzi bora zaidi unaoweza kujibu maswali mengi kuliko nyingine zote japo wachangiaji wanakuwa wachache japo michango yao ni ya maana sana mahali hapa
  16. Chiwa

    Saa ya Rais Samia yadaiwa kuwa na thamani ya Tsh. Milioni 111,601,22/=

    walioanzisha wimbo wanajua beti zake tabu waitikiaji hawajui kinachofuata wao kuitikia tu na wala hawako makini cha mwimbishaji beti zake kapanga nini.
  17. Chiwa

    Saa ya Rais Samia yadaiwa kuwa na thamani ya Tsh. Milioni 111,601,22/=

    hebu m Hebu mwacheni bibi wa watu apumzike sukari, umeme na dola vinamtosha mkienda sana mtauliza anavaa ushingi wa shngapi. wanasiasa wasituchanganye. kuna watu wana saa za mil7 ambazo hazilingani na maisha yao lakini siku zinakwenda.
  18. Chiwa

    Saa ya Rais Samia yadaiwa kuwa na thamani ya Tsh. Milioni 111,601,22/=

    aisee kwa hili bora niwe kiazi naweza faa kwa chips au kiungo cha mboga nyumbani bado mahitaji yangu yaweza kuwa makubwa. acha hasira na matokeo yake unawaza kimaskini kwa kila kitu kumbuka huyu ni mke wa mfanyabiashara na rais wa nchi hiyo hela ni kitu gani kwake? unajua akienda nje analipwa...
Back
Top Bottom