mpaka leo tarehe 09.10.2023 kwenye nafasi 800 walizo tangaza, bado nafasi 277 za watu kuitwa kazini. kila lakheri mliofika oral, ila kama sio leo basi zamu yako ni kesho, kikubwa mtabaki kwenye data base.
Nimetafakari sana juu ya misada inayotolewa kila uchao na Marekani kwenda Ukraine, na jambo Moja limenijia kichwani, VITA YA SYRIA, tunakumbuka wakati utawala wa Assad ulivyokaribia kuporomoka Baada ya kupata mashambulizi mazito Toka Kwa ISIS(ISLAMIC STATE OF IRAQ AND SYRIA), kundi la kigaidi...
ZA NDAAAAAANI KABISA! Kuna interview nyingine inakuja. Vijana mliofanya oral siku Ile mlizingua wengi. Na ratio ya serikali ni 3 candidates for 1 position. So kaeni mkao wa kula kwa wale mliopata 49.8 mpaka 45. Ngwe ya pili
Ulifanya oral?
Kama mnaenda oral moja kwa moja basi pitia products za benki kama; aina ya mikopo(mikopo midodo midogo ya mtu binafsi(micro credit loans), mikopo mikubwa(business loans), bidhaa ya bima(insurance business ambayo ni moja ya targets za sales excutive), fund transfer(western union, Tiss, TT...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.