Search results

  1. A

    Rostam Aishtaki Mwanahalisi

    Anatapa taba tu huyo, Mimi nashangaa sana , hawa MAFISADI na pesa zote hizo walizochukua haziwatoshi? Hivi wanawafanya wa TZ ni watu mbumbumbu sana , eti anashtaki ndio nini? ama tuone kama hajaiba. Yeye ni fisadi tu afanye afanyavyo hawezi kutudanganya.
  2. A

    Kijana akamatwa na kichwa cha mtoto akifyonza damu:::

    Mhhh Huku tunakoelekea sasa sijui kama tunaeleka the right direction.
  3. A

    Jinsi Karamagi alivyokaangwa Bungeni (Picha)

    Kaka Mwanakijiji Mimi kwangu hao watu wote ni hao hao tuuu Waliotoka TUNDUNI na waliobaki wate ni ndege, nilazima watafutiwe MANATI. Hao wote ni mafisadi tu na SHOKA lao linakuja.
  4. A

    Abdulrahman Kinana: Who is he?

    Wanomuelewa mh KINANA wanasema kwa kweli ile ndio machine iliyobaki kwenye CCM. Yeye ndio master mind wa mipango mengi ndani ya Chama na ndio maana Ujumbe wake ndani ya CC na NEC ni wa bila kupata upinzani. Kwenye Serikali Hii ya Mafisadi yeye ni mshauri wa Mipango mingi hususani ile ya...
  5. A

    Monitoring thread: John Pombe Magufuli katika Awamu ya Nne

    Kwa walioko TZ Hivi yule dada wa UDSM sheria, mwenye RAV4 aliekuwa anakaa MABIBO hostel ameshaolewa na MAGUFULI ? , kwa maana alikwa anajishau kuwa anazimaliza pesa za BARABARA zetu kipindi kile Mh. yuko Miundombinu.
  6. A

    Dear Jakaya Mrisho Kiwete

    JK anajua kila kinachoendelea hapa nchini kwani JF inafanya kazi kubwa sana kumhabarisha, kwa hilo tusiwe na wasi wasi. Sasa kujua na kuamua kutekeleza ni suala jengine. Pamoja na kwamba yeye si mtu ambae anapenda kusoma kama ilivyoelezwa na Lipumba lakini muda wa kuptia hapa anao kama si...
  7. A

    Lowassa Kumrithi Chenge & Baraza la Mawaziri Kupanguliwa Tena?

    Waungwana. Watu wote tunaelewa kuwa JF inasomwa na JK na hata wasaidizi wake wa karibu na huwa wanapata mambo mengi tu kupitia humu. Sifikirii kama JK anaweza kufanya ubuuzi kama huo kwa muda huu unless awe HAWEZI KUSOMA ALAMA ZA NYAKATI. Upuuzi kama huu unaweza kufanywa na mtu ambae...
  8. A

    Zitto in US for international visitor

    Congratulation BRo. Zitto Keep it up, and I think that guys from US embasy selected you for your competency and not otherwise.
  9. A

    Rashid Othman: Umeshindwa Jiuzulu!

    Mhe, Kinvaba Inaelewa kuwa Hakuna Taasisi hata moja nyeti hapa Tanzania ambayo vijana wa RO hawajaingizwa, Hii nina maana BOT< TRA< Bandari, Tanesco, wizara zote kubwa zikiwemo za nishati nk. Sasa hebu tueleze hao vijana huko wanafanya kazi gani na wamepelekwa kwa niaba ya nani? Sisi...
  10. A

    Rashid Othman: Umeshindwa Jiuzulu!

    Kaka Mwanakijiji , Kwanza nakupa Hongera, Huu ndio ujasiri tunaoutaka humu ndani ya JF. Na nilazima awachie ngazi ama auelezee umma Manufaa gani Umma unapata kwa kuwepo kwake hapo, Kama anashindwa hata kupata dondoo tu ya mambo hasa katika wakati wa Utandawazi. Iweje Usalama wa MIAKA...
  11. A

    Ahsante Sana.........juma Reli

    Kwa uwelewa wangu wapo wa Zanzibar wengi tu ambao wamebobea katika kila fani unayo ijua wewe. Mimi binafsi naamini kuwa Wazanzibar ni miongoni mwa watu waliosoma sana na ni jamii inayoelewa vile vile. Lakini tatizo limeshaelezwa kuwa ni lazima watu waangalie huyo msomi anatoka upande gani ...
  12. A

    Ahsante Sana.........juma Reli

    Engeneer Mohamed unaposema akuombe radhi , akuombe kama nani, kama engeener ama kama Mlinzi na mpika chai? Inaonekana wazi kuwa Wazanzibar hawapendi kuambiwa ukweli. Bro Call spade , spade and not otherwise.
Back
Top Bottom