Search results

  1. bullet proof

    Hatimae "M" wengine waanza kujitokeza

    Hivi CHADEMA imewahi kuwa na rais?
  2. bullet proof

    Kunani uteuzi wa Tundu Lisu kuwa mwanasheria wa CHADEMA?

    Tundu Lisu kiukweli anadhalilisha taaluma ya sheria. Anatumiwa na wenye taasis (Mbowe na Slaa) kama zuzu tu. Tamaa ya pesa ndo inamuongoza Lisu. Mungu ibariki chadema, ila kamati kuu mmefanya makosa makubwa sana.
  3. bullet proof

    Kunani uteuzi wa Tundu Lisu kuwa mwanasheria wa CHADEMA?

    Moja ya maamuzi ya kikao cha kamati kuu ya chadema, pamoja na kuwafuta uongozi ZZK, Dk Kitila na Mwigamba, ni uteuzi wa Tundu Lisu kuwa mwanasheria wa chama, nafasi iliyokuwa ikishikiliwa na Mabere Marando! Kuna tetesi kuwa Tundu lisu ameteuliwa rasmi ili kumshughulikia Zitto na hii imetokana...
  4. bullet proof

    Viongozi acheni salam hizi; ni ubaguzi na unafiki

    Mara nyingi viongozi wanapokuwa jukwaani kuongea na umma huanza kwa salaam. Ili waweze kuwasalimu watu wote, hupenda kusema ASALAM ALAYKUM na BWANA YESU ASIFIWE! Salam hizi hutolewa kwa pamoja. Napenda kushauri namna hii ya kusalimu umma ikome mara moja. Tafuteni salaam moja tu...
  5. bullet proof

    Huu unafiki wa CHADEMA na wanaharakati uchwara utaisha lini?

    Serikali imeyafungia kwa muda magazeti ya Mwananchi na Mtanzania kwa kuandika habari za uchochezi. Binafsi napongeza sana hatua hii kwani vyombo vya habari nchi vimezidi kuandika habari za uchochezi na zisizokuwa na ushahidi. Mapama mwaka huu serikali ilivifunga vituo 2 vya redio; RADIO...
  6. bullet proof

    Kwa siasa hizi tunatengeneza CCM nyingine

    Ni dhahiri kabisa kuwa CCM kilikuwa chama makini sana hasa wakati wa uongozi wa Mwalimu Nyerere. CCM kilikuwa chama kinachohubiri kwa vitendo juu ya maadili ya viongozi wa umma na viongozi walikuwa wanawatumikia wananchi, wakulima na wafanyakazi, kweli kweli kwa kutumia siasa yake ya ujamaa na...
  7. bullet proof

    Idara ya Uhamiaji inafanya zani gani?

    Zoezi linaloendelea nchini, la kuwakamata na kuwafukuza nchi wahamiaji haramu, limenifanya nifikiri juu ya ufanisi na hata uhalali wa idara hii nchini. Taarifa zinaonyesha idadi kubwa ya wahamiaji haramu waliokamatwa katika msako unaondelea. Hili limenifanya ni hoji uhalali wa kuendelea kuwa na...
  8. bullet proof

    Live Star TV: John Mnyika na Job Ndugai

    Leo Mh Ndugai nimemuelewa vizuri sanaaaaaaa! CHADEMA wanakurupuka sana na kulazimisha hoja zao LAZIMA zikubalike. MNYIKA anaongea kama mtu wa mitaani
  9. bullet proof

    Kwa hili la Mh Pinda, LHRC mmechemsha, mmekurupuka!

    Acha kukariri kaka/dada! Hivi unadhani vivungu, bunduki nk za polisi ni za kupakia rangi? Mbona hawa wanaharakati uchwara hawajashtaki polisi kumiliki silaha? Tatizo lenu wenye akili ndogo hamuelewi tofauti ya kupiga na kupiga unreasonably!
  10. bullet proof

    Kwa hili la Mh Pinda, LHRC mmechemsha, mmekurupuka!

    Wote wamekurupuka, wanavizia 2015. Siku hizi ukitaka kuungwa mkono basi pinga au kosoa serikali, CCM au kiongozi wa serikali hapo utaonekana wa maaana hata kama ni unaongea upuuzi!
  11. bullet proof

    Kwa hili la Mh Pinda, LHRC mmechemsha, mmekurupuka!

    Tuacheni kufikiria kirahisi rahisi na kwa kuendeshwa na hisia, hili ni suala la kisheria. Polisi wanapomkamata mhalifu (with or without warranty), kama mtuhumiwa haresist hakuna nguvu inayotumika Kama mtuhumiwa ataresist, police hutumia nguvu kulingana na nguvu ya resistance Kuna wakati...
  12. bullet proof

    Kwa hili la Mh Pinda, LHRC mmechemsha, mmekurupuka!

    Ibara gani ya katiba iliyokiukwa? Acha ushabiki wa kipuuzi
  13. bullet proof

    Kwa hili la Mh Pinda, LHRC mmechemsha, mmekurupuka!

    Nimesikia kuwa LHRC na baadhi ya wanasheria wamefungua kesi dhidi ya Mh Waziri mkuu kwa kauli aliyoitoa bungeni ya kuruhusu polisi kupiga wakaidi wa sheria za nchi. Kiukweli LHRC nilikuwa na imani nao sana lkn kwa hili niseme tu kwamba mnajidhalilisha wenyewe na taaluma zenu kama wanasheria...
  14. bullet proof

    Rais Kikwete ndani ya Ngara: karibu sana ila vipi kuhusu KABANGA NICKEL?

    Tar 26/7 rais Kikwete anatembelea wilaya ya Ngara ikiwa ni sehemu ya ziara yake katika mkoa wa Kagera. Kwa mujibu wa taarifa za tume ya taifa ya uchaguzi, Ngara ni jimbo lilioongoza kwa kupiga kura nyingi za urais kwa JK na CCM yake. Hata hivyo, pamoja na mambo mengine, waoanchi wa Ngara...
  15. bullet proof

    Hawa wajasiriamali (CHADEMA) usipokuwa makini unaweza ukawaamini!

    CHADEMA ni chama kikuu cha upinzani na viongozi wake wanajitahidi kusana kuzunguka nchi nzima kufanya harakati mbalimbali za kisiasa kama chama cha upinzani kwa maana ya kujaribu kukosoa na kukejeli hatua mbalimbali zinazochukuliwa na serikali kupitia chama tawala cha mapinduzi (CCM). Harakati...
  16. bullet proof

    Kwa heri mie nimeamua kujinyonga-Wakili Nyaronyo Mwita Kicheere

    Wenye wivu ndo hujinyonga! Teh teh! Kajinyonge kaka
  17. bullet proof

    CCM: Tutaendelea kuhimiza amani, ndiyo mtaji wetu

    Wakati ambapo ni dhahiri CHADEMA kimedhamiria kuharibu amani na utulivu, ambavyotumekuwa tukijivunia tangu historia ya nchi hii na kupigiwa mfano kwa nchi jirani, chama cha mapinduzi (CCM) kimesema daima kitahubiri amani na mshikamano wa watanzania. "Kulazimisha kuingia madarakani kwa...
  18. bullet proof

    CCM: Tutaendelea kuhimiza amani, ndiyo mtaji wetu

    Wakati ambapo ni dhahiri CHADEMA kimedhamiria kuharibu amani na utulivu, ambavyotumekuwa tukijivunia tangu historia ya nchi hii na kupigiwa mfano kwa nchi jirani, chama cha mapinduzi (CCM) kimesema daima kitahubiri amani na mshikamano wa watanzania. "Kulazimisha kuingia madarakani kwa...
  19. bullet proof

    Wananchi wampiga Mtama polisi na kumnyanganya SMG na risasi 30!!

    Washughulikiwe Wawe mfano kwa wengine!
Back
Top Bottom