Search results

  1. SENGANITU

    How do you consider people with disabilities?

    :cheer2:Many people fear the concept about disability more than disability itself. Other people have justified themselves to have distanced themselves from disability. Talking about practical disability one must meet the two opposing junctions. They are about being hero or coward. When people...
  2. SENGANITU

    Mzazi tambua namna ya kupunguza Athari Za Ulemavu Aina ya "Club Foot" kwa mwanao

    Club Foot ni nini? Hii ni aina ya ulemavu utokanao na matatizo ya mifupa ambapo kunakuwa na mkao usio wa kawaida wa unyayo wa mguu (unusual position of the foot). Dalili za kuwa na club Foot 1. Unyayo waweza kuwa mdogo kuliko ilivyo kawaida 2. Unyayo unaweza kuinamia chini (kutembelea vidole)...
  3. SENGANITU

    Ulazima wa Kufahamu Kuhusu Ulemavu

    Nashukuru kwa masahihisho yako mkuu. Ukitumia neno la kiingereza ni blind au visually impaired person
  4. SENGANITU

    Ulazima wa Kufahamu Kuhusu Ulemavu

    Miongoni mwa habari ambazo si wengi tunapenda kusikia ni kuhusu ulemavu na athali zake. Lakini leo napenda ujifunze kitu; kila jambo ulionapo linasisitizwa sana watu wajue athari na namna ya kukabiliana nalo "ujue kuna watu mahali fulani walipata athali fulani kwa sababu ya kukosa aina fulani ya...
  5. SENGANITU

    People with disabilities in tanzania need this president for inclusive nation in 2015

    SIX UNFOLD QUALITIES OF THE PRESIDENT TO COME President is the person who is trusted and given the authorities mutually by all people with different abilities and personalities; he/she is thus belongs to all people. This president may have much impact (negatively or positively) to the lives of...
  6. SENGANITU

    Kufanya mapenzi kwa wanandoa kwa wiki mara 3 kunapunguza kupata shambulio la Moyo!

    Hapa ametaja faida tupu, kwa sehemu kubwa zinawahusu wenye mafuta mengi mwilini. Kwa watu wenye upungufu wa mafuta mwilini ni hatari. Tendo la ndoa ni moja ya vigezo vinavyochangia kupunguza life span ya mtu mwanaume. Ukifuatilia kwa makini utaona kuwa wanaume wenye ndoa hutangulia kufa...
  7. SENGANITU

    Legal status of people with disabilities in tanzania

    In Tanzania, there have been a long time efforts to make sure that all people, with and without disabilities are valued the same at all life affairs. Different documents are enacted to recognize people with disabilities legally. These documents seek to reduce the effects of disabilities...
  8. SENGANITU

    Hali ya Usalama Wilayani Mvomero ni tete

    Hali ya usalama wilaya ya mvomero imekuwa ni mbaya kutokana na vurugu iliyoanzishwa na wakulima wakidai haki yao ya ardhi waliyonyang'anywa na wafugaji. Wakulima wanadai waliiambia serikali juu ya tatizo hili lakini hawakulitilia maanani. Kuanzia tarehe 13/10/2013 hadi 14/10/2013 wakulima...
  9. SENGANITU

    Miaka 14 baada kifo cha baba wa taifa la tanzania, hayati mwalimu julius kambarage nyerere

    Wakati Watanzania wakifanya kumbukumbu ya miaka 14 tangu baba wa taifa , hayati J.K. Nyerere afariki dunia hapo mnamo tarehe 14/10/1999; watu wenye ulemavu na wapenda haki za binadamu wameendelea kumkumbuka. Aliwatetea sana watu wenye ulemavu, alirejesha heshima ya binadamu na alijenga taifa...
  10. SENGANITU

    Deaf-Blind People In The New Inclusive Nation

    Normally people ask, what does inclusive nation mean? What is its physical location? How will it look like? Still others ask, will it be possible for this nation (Tanzania) to adopt the inclusive principles? First of all, I would like to express my sincere thanks to all those who, in one way...
  11. SENGANITU

    Dr. Wilbroad Slaa na Taifa Jumuishi; Elimu Ikiwa Ndiyo Kiini Cha Uhai wa Watu na Taifa Lao

    Umesema vyema mkuu, kila source inaonyesha elimu ndiyo uhai, ndiyo maisha yenyewe.
  12. SENGANITU

    Dr. Wilbroad Slaa na Taifa Jumuishi; Elimu Ikiwa Ndiyo Kiini Cha Uhai wa Watu na Taifa Lao

    Mkuu asante kwa kumkumbusha, kwani hajui asemalo. Ameangalia kichwa cha habari tu ndipo akaandika hayo. Naelekea kukubaliana na watu wa dini wanaodai kuwa shetani hufanya kazi kubwa na kupoteza muda mwingi kutafuta njia ya kumharibu mtu ufahamu ili asije akaelimika akaufahamu ukweli wote kumhusu...
  13. SENGANITU

    Dr. Wilbroad Slaa na Taifa Jumuishi; Elimu Ikiwa Ndiyo Kiini Cha Uhai wa Watu na Taifa Lao

    Ndugu umesema kweli inayogusa vionjo vya moyo na hisia zangu!
  14. SENGANITU

    Dr. Wilbroad Slaa na Taifa Jumuishi; Elimu Ikiwa Ndiyo Kiini Cha Uhai wa Watu na Taifa Lao

    Asante mkuu! Jambo la msingi ni kuongea ukweli! Nimependa anavyopangilia vipaumbele kwa msisitizo, anatoa mifano halisi, hamung'unyi maneno. Natamani sana kuiona Tanzania ikiwa na viongozi wenye upeo mzuri na uwazi kama Dr. Slaa ili watu wote wajisikie wako nchini mwao.
  15. SENGANITU

    Dr. Wilbroad Slaa na Taifa Jumuishi; Elimu Ikiwa Ndiyo Kiini Cha Uhai wa Watu na Taifa Lao

    Ilikuwa ni tarehe 09/10/2013 wakati wa kipindi cha AFRICA NOW. Pamoja na mambo mengine waliyojadili, Dr. Wilbroad Slaa aliulizwa swali na mtangazaji kuwa ni kipaumbele gani katika nchi ya Tanzania angekizingatia kama angekuwa ndiye rais wa nchi. Majibu ya Dr. Slaa yalikuwa; kipaumbele cha...
  16. SENGANITU

    Dr. Wilbroad Slaa na Taifa Jumuishi; Elimu Ikiwa Ndiyo Kiini Cha Uhai wa Watu na Taifa Lao

    Ilikuwa ni tarehe 09/10/2013 wakati wa kipindi cha AFRICA NOW. Pamoja na mambo mengine waliyojadili, Dr. Wilbroad Slaa aliulizwa swali na mtangazaji kuwa ni kipaumbele gani katika nchi ya Tanzania angekizingatia kama angekuwa ndiye rais wa nchi. Majibu ya Dr. Slaa yalikuwa; kipaumbele cha...
  17. SENGANITU

    Watu wenye mahitaji maalum wajengewe uwezo katika elimu

    You will reach very far in your life. You will come to learn advocacy for people with disabilities, how to intervene pwd and many others! How luck you are!
  18. SENGANITU

    Watu wenye mahitaji maalum wajengewe uwezo katika elimu

    Hongera sana kwa kuchagua kusomea hiyo elimu. Ni kama biology ambayo mtu anajisoma mwenyewe. Unakuwa sawa na daktari kiutaalam.
  19. SENGANITU

    Tunakulilia eeh afande mwamunyange....

    Jeshi sio kama siasa za fitina, wakiamu lazima wasimamie maamuzi yao. Si kwa shinikizo wala maandamano ndiyo vitawabadilisha bali kwa kufikisha barua ya ombi hilo mezani.
Back
Top Bottom