Wakati Maalim Seif akiwa kama Waziri Kiongozi alipokwenda Kutibiwa Nchi za Nje alipata msaada na akawapatia wananchi wake Mchele na Sukari na Lipumba alinyanyua Uchumi wa Nchi moja barani Afrika na pia alikua mshauri wa Mwinyi sasa huyo Slaa amefanya nini au ame******************
Mwakilishi mpya wa Jimbo la Bububu, Hussein Ibrahim Makungu, jana aliapishwa huku Mawaziri wa Chama cha Wananchi (CUF) na wajumbe wake wakisusia tukio hilo kwa kutoka nje ya ukumbi wa Baraza la Wawakilishi (BLW) Chukwani Zanzibar.
Makungu aliapishwa mbele ya Spika wa Baraza hilo, Pandu Ameir...
Wakuuu Naikubali hiyo picha ya mataaa mna mara mwisho ilitengenzwa pindi Kikwete alipokwenda kuweka jiwe la msingi la daraja na siku iliyofuata iliharibika tena.....Inamaana kuwa hizi taa akipita Kiongozi wa Nchi ndio zafanya kazi...wakuu hapo kila siku ajali na ndio mana kwa sisi wakaazi wa...
RAIS Jakaya Kikwete amekutana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon na kujadili pamoja na mambo mengine, mgogoro wa mpaka wa Ziwa Nyasa kati ya Tanzania na Malawi.
Taarifa iliyotolewa na Ikulu jana, imeeleza kuwa viongozi hao walikutana jijini New York, Marekani ambapo Katibu Mkuu...
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe ameiandikia barua Ofisi ya Bunge kuitaarifu nia yake ya kuwasilisha hoja binafsi katika Mkutano wa 11 wa Bunge kuliomba liazimie Serikali iwasiliane na taasisi za kimataifa, hasa benki kusaidia kurejeshwa nchini fedha zote haramu ambazo zimefichwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.