Search results

  1. I

    Ramani mpya ya Africa

    Mmhh hiyo ni ramani kwelo
  2. I

    Lema awasha moto Igunga

    Hao akina lema ni wanaharakati maana Kila mbunge ana eneo lake akaongee kwenye jimbo lake aache usanii wakati huu ni wa kuwatumikia Wananchi na sio wakati wa kufanya brabra umekwisha chadema acheni usanii fanyeni kazi.
  3. I

    Kikwete 'jino kwa jino' na Lowassa

    Kuhama mwenyekiti na katibu ni pigo kwa chama kwa maana hiyo Zito alikuwa anajitetea.
  4. I

    Kikwete 'jino kwa jino' na Lowassa

    Kakwambia nani
  5. I

    AU's dilemna and the Libyan crisis

    Inasikitisha bahati mbaya sana waafrika hatuna umoja mbaya zaidi tumekuwa waoga
  6. I

    Ushauri kwa wanaotaka kuagiza magari japan

    Ushauri wako ni mzuri lakini bado pamoja na kiswangilish chako waeleze watu wajue uwanja mwingine ni upi.
  7. I

    Lowassa ni msafi, Lakini kuna kitu hiki...

    Kuchukua form anaweza akachukuwa kwa kuwa ni wajibu wa Kila mwanachama lakini urais hawezi kupata.
  8. I

    Chadema yaliza watumishi halmashauri ya jiji mwanza!!

    Mnasema msiyo yajua madiwani hawana uwezo wa kuzuia marupurupu ya watendaji. Kwa kuwa hakuna hata documenty moja inayo sainiwa iwe ni diwani au meyer msizungumze habari za mitaani
  9. I

    Kitabu: Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes (1924-1968)

    Ni taarifa nzuri maana kwenye ukweli uongo hujitenga.
  10. I

    Kwanini tunakuwa na mapenzi na watu wasiotupenda?

    Michelle, Unapozungumza jizungumzie wewe binafsi maana unayoyazungumza siyo kwamba watu wote yanawakuta.
  11. I

    Lowassa au Mwandosya kuwa Rais wa Tanzania 2015?

    Kila mutu ana madhambi ya kikwete mengine na el mengine usiongee kwa kufurahisha jamvi Sasa hapa ujahidina unatoka wapi hapa
  12. I

    Kikwete: Hata Nyerere alishindwa ingawa tunamsifu sana

    We mjaruo usikurupuke na mambo usiyo yajua kipindi cha nyerere watu walipata shida sana walihamishwa kutoka katika vijijisikie vyao na kupelekwa katika maporight na wengine waliwa na wanyama wakali kama simba nk. Hata wakati anashika madaraka mwinyi alikuta wanainchi wanavaa viroba Sasa huo...
  13. I

    Slaa na Post ellection Traumatic Disorder

    Huyo dr. Aliyetimuliwa kanisani kama alishindwa kuwa mwaminifu kwa mungu unategemea atakuwa mtu wa kuaaminika Huyo ni tapeli wa Siasa chadema wanachoweza wao ni kucheza disco
  14. I

    JK apaa kwenda Paris leo...

    Siyo pumba ameongea mambo ya msingi sana lakini kwa kuwa wewe unaletanzania mambo ya ushabiki ndiyo Sababu unatoa hoja ambazo hazina nguvu
  15. I

    Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

    Utakuwa hujui maana halisi ukivaa kushoto ni TIGO
Back
Top Bottom