Search results

  1. E

    CCM: Kumpinga Mwenyekiti ni uhaini

    Zito alijaribu alitumia haki yake kikatatiba kugombea uenyekiti yaliyomkuta anajua mwenyewe, vyama vyetu hapa Tanzania hakuna demokrasia katika chaguzi za uongozi. Tazama hata mgogoro ya Kafulila na Mbatia, kafulila alipinga hoja za mwenyekiti matokeo yake sasa ni mbunge kupitia mahakama!
  2. E

    Zitto: Serikali isipowataja walioficha mabilioni nje, CHADEMA itawataja hadharani!

    Tujenge chama chetu cdm, vijana waliozaliwa baada ya uhuru ndio wanafaa kuongoza taifa letu kwa sasa. Tukumbuke hata Nyerere alianza kuongoza nchi hii akiwa na umri wa chini ya miaka 40.
  3. E

    Urais 2015 tusimlaumu Zitto: Nani anaujua Msimamo wa Dr. Slaa?

    Kwa msimamo wa baadhi ya wana cdm,wameshamteua mtu wao wa kugombea urais 2015 ambaye ni Dr. Slaa, ndani ya chadema hakuna demokrasia ya ushindani bali ni uteuzi. Kumbuka uchaguzi wa mwenyekiti mwaka 2009, Mbowe aliteuliwa, hakuchaguliwa na wanachama !
  4. E

    Wasiomjua Dr. Slaa soma mada hii, kabla ya uanasiasa na baada

    Nchi yetu kwa sasa tunahitaji kuwa na rais kijana aliyezaliwa baada ya uhuru, kijana ndiye mwenye uwezo kwa kuchukua maamuzi na kuaona matunda yake. Nchi zilizoendelea kama Uingereza na Marekani Maraisi wao wemchanguliwa kabla ya kufikisha miaka hamisini, Mfano Bill Clinton, Obama na David...
  5. E

    Pendekezo: John Heche amrithi Zitto Kabwe

    Kila kukicha Zito, Cdm tunaowabunge wengi ambao majukumu yao hayaeleweki ndani ya chama, wala kwenye M4C hawashiriki, mfano Mbunge wa Rombo, Mbunge wa Mpanda, Mbunge wa Mbozi, Mmbunge wa Karutu, Mbunge wa Ukerewe na jimbo jingine la mwanza mjini na wabunge wa vitu maalumu mfano dada yake ya Mh...
  6. E

    Zitto: Sitagombea ubunge 2015, Nitagombea Urais kupitia CHADEMA...

    Unfortunately they want to hear from Mbowe, Lema, Mnyika and Slaa only, these people they have invested on tribalism and regionalism. If was Lema or Mbowe who made a statement like ! no one could commented negatively. Let people who want to contest for presidential post through Chadema to be...
  7. E

    While Zitto is being attacked pls read here

    Watu hawatumii akili zao kwa chuki binafsi, udini, ukanda, siasa ndani ya cdm n.k. Tuangalie hoja za ZZK sio majungu
  8. E

    Lindi yetu na Sri Lanka

    Nchi nyingi za Asia na Mashariki ya mbali zinatumia mfumo wa serikali za majimbo, iwapo Tanzania tunataka kusongo mbele hatuna budi kuliweka jambo hili katika katiba. Mfumo wa majimbo unaweka wananchi karibu na viongozi wao na hivyo kupanga na kusimamia maendeleo kwa ukaribu zaidi. sisi mipango...
  9. E

    Lindi yetu na Sri Lanka

    Nchi nyingi za Asia na Mashariki ya mbali wanatumia mfumo wa serikali za majimbo, mfumo huu unawapa wananchi kuwa karibu zaidi na viongozi wao katika kupanga na kusimamia rasilimali za jimbo husika. kwa utaratibu huo maendeleo ya jimbo moja huleta impact kwa taifa. Vilevile mfumo wa...
  10. E

    Lindi yetu na Sri Lanka

  11. E

    Wanaume ebu semeni hisia zenu ktk hili

    Haitakiwa kuwa na wivu kwa kuwa mmesha achana, mwache awe huru na watu anaowapenda
  12. E

    While Zitto is being attacked pls read here

    Zitto needs support from all honest people, what he is standing for is for the benefit of the nation, he is not against the Minister but the policies
  13. E

    Ujenzi wa Barabara ya maziwa-External kwa kiwango cha lami waanza @JJMnyika

    Sisi wakazi wa mbezi tuonakuomba mbunge wetu Mh. Mnyika tupate pia barabara za lami, hakuna barabara la lami inayoingia kulia wa kushoto unapotoka ubungo mpaka unafika Kibaha. Eneo hilo umelisahau sana mheshimiwa
  14. E

    Ujenzi wa Barabara ya maziwa-External kwa kiwango cha lami waanza @JJMnyika

    Ukisafiri kutoka Ubungu hadi Kibaha hakuna barabara ya lami inayoingia kulia wala kushoto, eneo hilo lipo chini ya Mh. Mnyika, sisi wakazi wa Mbezi Msakuzi,Makabe, Msumi, Mpigi Magoe, Kiluvya n.k tunatembea kwenye tope kama sio walipa kodi wa nchi hii. Mh. Mnyika mbona hatuoni juhudi zako...
  15. E

    Mbaguzi Ismail Jussa Anapozidi kufunguka..

    Nakubaliana wewe, muungano huu ni gharama kwetu wa bara, Wanzibari ni ndugu zetu lakini Muungano huu ni laana kwetu
  16. E

    Flip flopping in Oil and Gas contracts

    well done Zito, you are a great thinker
  17. E

    Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    Watu wa Moshi na Arusha wanampenda Slaa kwa sababu ya kabila lake
  18. E

    Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    Watu wa Kilimanjaro na Arusha wanampenda slaa kwa sababu ya kabila lake
Back
Top Bottom