Search results

  1. M

    Madhara ya kusajili meli za wairan yaanza kuonekana(some bank block money transfer to Tanzania).....

    ....Mkuu fanya na wewe home work hiyo ya kutafuta...mie nilieleza story yangu na matokeo ya mwisho nimeyatoa kwamba nimefanikiwa kutuma katika bank Y....if you want to go further please let it be your assigment you have internet and everything....I have done with this since I have successful...
  2. M

    Madhara ya kusajili meli za wairan yaanza kuonekana(some bank block money transfer to Tanzania).....

    Acha kuongea pumba kama hauna cha kuandika angalia link Indonesia, Thailand and Pakistan join money laundering blacklist The FATF added Pakistan, Indonesia, and Thailand along with Ghana and Tanzania to its blacklist.The Financial Action Task Force has found that those five countries were...
  3. M

    Madhara ya kusajili meli za wairan yaanza kuonekana(some bank block money transfer to Tanzania).....

    Kwahiyo kuna bank ambazo zinafuatilia kwa hizo report zina-block tu transaction katika hizo countries ndio maana still unaweza fanya transaction katika benk nyingine
  4. M

    Madhara ya kusajili meli za wairan yaanza kuonekana(some bank block money transfer to Tanzania).....

    Indonesia, Thailand and Pakistan join money laundering blacklist The FATF added Pakistan, Indonesia, and Thailand along with Ghana and Tanzania to its blacklist.The Financial Action Task Force has found that those five countries were flaunting recommendations made to them toward fighting...
  5. M

    Madhara ya kusajili meli za wairan yaanza kuonekana(some bank block money transfer to Tanzania).....

    UPDATES: leo nimekwenda katika the same bank X nikajaribu kutuma kwa kutumia MoneyGram aliniambia hawezi jua kama wamebloc nayo au vipi ila nijaze form then nikapeleke. nilipopeleka form zangu akafanya process zote mpaka alipofika mwisho wakati wa kutuma ikakataa tena kwa hii bank X ndio...
  6. M

    Madhara ya kusajili meli za wairan yaanza kuonekana(some bank block money transfer to Tanzania).....

    Mkuu nitafanya utafiti tena naenda katika benki nyingine then nitakuja na jibu na nitawauliza sababu kwa nini hatuwezi tuna pesa.....siyo kwamba nasikiwa kwa kuwa yeye alicheki tu nchi ninayotuma ni Tanzania basi akasema siwezi tuma pesa Tanzania....sasa nitaenda different bank then nitaleta...
  7. M

    Madhara ya kusajili meli za wairan yaanza kuonekana(some bank block money transfer to Tanzania).....

    Unachosema ni kweli kabisa maana nilijaribu kutafuta option zingine kuna jamaa yangu kaniambia unaweza tumia hao wasomali sasa hapo risk kibao
  8. M

    Madhara ya kusajili meli za wairan yaanza kuonekana(some bank block money transfer to Tanzania).....

    yap ni kweli hiyo kitu mimi imenitokea personally yaani kwa kifupi imeshangaza sana na maana imebidi kuongea na yule Teller maana nimeshatuma zaidi ya mara kumi toka nije huku ughaibuni na kutumia benki hiyo hiyo mana nina akaunti hapo....sasa nilipokwenda this time nimeshangaa sana maana mpaka...
  9. M

    Madhara ya kusajili meli za wairan yaanza kuonekana(some bank block money transfer to Tanzania).....

    Kama mnakumbuka tulisajili meli za wairan....nimeona kitu kinatokea kuna baaadhi ya nchi sasa hauwezi kutuma pesa Tanzania..hii kitu imenitokea mimi hapa kama wiki moja iliyopita huku Ughaibu nilikwenda kutuma pesa bongo wakaniambia siwezi tuna pesa tanzania kwa kuwa wametu-block pamoja na...
Back
Top Bottom