Search results

  1. stanleymmary

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Kiongozi nahitaji sana kuwa mmoja kati ya hao 150 walio baki
  2. stanleymmary

    Nimeathirika kisaikojia nimefikisha miaka 42 sasa bado nashindwa kuoa. Kila napowaza naghairi

    Nakushauri oa tu ili na wewe wakupigie mkeo maana tabia yako si nzuri jino kwa jino
  3. stanleymmary

    Hofu inayowatesa vijana

    Ni kweli kabisa mkuu huwezi kufanikiwa katika bila kuwa na uthubutu.
  4. stanleymmary

    Ikitokea CHADEMA wakatangaza kuahirisha UKUTA kesho, je watatoa sababu gani? Na je wataeleweka?

    kwa nini wasieleweke baadhi yetu tutawaelewa sana
  5. stanleymmary

    Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Safi sawa anahitaji support kubwa kutoka kwa wananchi
  6. stanleymmary

    Dr. Magufuli na usanii wa Hospitali kuu ya Taifa Muhimbili

    Tunahitaji kumpa sapoti kubwa Rais na si kupinha kila kitu bwana, isitoshe Rais kufanya maamuzi magumu anajenga maadui wengi sana wananchi tumpe sapoti kubwa
  7. stanleymmary

    Endapo Lowassa anautaka urais, basi leo 29 Agosti afanye hivi!!

    Kweli kabisa anahitaji atoe speech nzuri maana si mzuri sana wa kuongea kama wenzake
  8. stanleymmary

    Hotuba ya Mhe. Mbowe ina ubora kuzidi hotuba zote tangu mwaka 1995!

    Kwa kweli hata mimi nimeipenda sana hotuba ya mbowe pamoja na mbatia hawa jamaa wapo vizuri sana
  9. stanleymmary

    Je! Umehitimu chuo na huna ajira?

    safi sana nimeipenda sana good idea mi.niyakuja tembelea ofisi yako maana nipo karibu na hapo kwa ushauri zaidi bali mo nimesha feri baadhi ya vigezo.mana nimesha pata ajira bali nitakuja kutoa ushauri pia
  10. stanleymmary

    Naomba msaada jinsi ya ku-install Application kwenye samsung GT 5303

    Very simple nenda kwenye setting then open Application then got to manage applications after that you need to find play store then open it after that clear cashe of play store then it will work.
  11. stanleymmary

    msaada kwenye FIFA 13 PC GAME

    Graphic ya pc yako ni ndogo
  12. stanleymmary

    M-Pesa ni Gharama Sana ! , Soma Hii Muhimu

    Tusipende kulalamika dawa ni kujitoa tu ndo wapate akili, tukilalamika huku tunazidi kutumia haisaidii
  13. stanleymmary

    Kwa first year na wanachuo wote

    bro unaakiri sana vijana wasikuhizi hawafikirii mbali wanapenda ushabiki ambao hauta wasaidia
  14. stanleymmary

    Mbowe ana hekima sana!

    Nawaomba sana viongozi wa cdm wazidi kufafanua kuhusu hili swala kwa wananchi mana ccm wanalipotosha sana. Mungu ibariki tz pamoja na Tanzania.
  15. stanleymmary

    Mjane wa Daudi Mwangosi akanusha vikali habari za Dr Slaa kutelekeza ahadi yake kwa familia hiyo

    Nayashangaa sana magazeti ya namna hii, waandishi wa habar wengine wanaonekana hawana maadili kbs mna aibisha nchi yetu na taifa kwa ujumla pole sana mama.
  16. stanleymmary

    Gazeti la mwananchi la leo....

    Hawa wananchi wanaitaji semina ya nguvu maana wanaonekana hawapo serious na nchi yao.
Back
Top Bottom