Search results

  1. KIDUDU

    Yanga mbona tunapigwa vita kiasi hiki?

    Yaani mkionekana ni kama CCM, Tunajitahidi msishinde, msisahau mwigulu ni shabiki wenu
  2. KIDUDU

    Psychedelic Drugs & Consciousness

    Hahahahahaaaaa, yaani nimecheka hatari
  3. KIDUDU

    Profesa Kamuzora alikuwaje hadi akawa Katibu Tawala Kagera?

    Hivi kweli umesoma mzumbe halafu unaandika form six river? Seriously?
  4. KIDUDU

    Simulizi ya Kijasusi: Tutarudi Na Roho Zetu?

    Ile baadae si ndo saivi au?
  5. KIDUDU

    Metali kubwa ya kisiri yaibuka tena nchini India

    Ni kama ile aliyowahi kuimba Prof J kwenye zali la Mentali nadhani
  6. KIDUDU

    TANZIA Mohammed “Muddy Physics” wa Mchikichini afariki dunia

    Kwa sababu ya huyu mwamba niliielewa sana Mechanics, Mungu amlaze pema
  7. KIDUDU

    TANZIA Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC), Profesa Damian Gabagambi afariki dunia

    Chuma kimelala, Mwalimu wangu huyu tangu akiwa PhD holder, very candid and principled man has gone, basi bwana, May his good soul rest in eternal peace!
  8. KIDUDU

    Polisi Tabora iangaliwe

    Aloo, Tabora shida ni kubwa
  9. KIDUDU

    Polisi Tabora iangaliwe

    Yaani mpaka nimecheka, mimi ni mbuzi? JF yenyewe umejiunga 2017, leo unamuita binadamu mwenzio mbuzi? kwani ungeacha ku comment ungekufa?
  10. KIDUDU

    Polisi Tabora iangaliwe

    Wakuu salaaam. Nimepita Tabora nikakaa kama wiki moja na nusu. Nimekuta changamoto kubwa ya Polisi wale wanaotembea na pikipiki maarufu kama tigo, wanakamata pikipiki kila sehemu hata kama imepaki, yaani wanatafuta makosa kama huna kabisa watakuuliza barakoa ipo wapi. imekuwa ni kwero kubwa...
  11. KIDUDU

    Ipi faida ya Mzee Alli Hassan Mwinyi kuwepo Dodoma kama Baba wa Taifa aliyebakia?

    Huyu mzee afadhali angetangulia yeye
  12. KIDUDU

    Nina nguvu za ajabu mpaka najiogopa

    Sasa nena neno kuhusu Magufuli na Polisi wa Tanzania, yasipotokea ujue unaota tu ndoto za mchana
Back
Top Bottom