Search results

  1. A

    Kamati Ya PAC: Nani zaidi Kati ya Zitto na Kubenea?

    Atakayepitishwa na wajumbe wenzake wengi wa kamati(ambao pia ndio wawakilishi wa wananchi) huyo yuko vizuri zaidi. Wote wanastaili na nawakubali sana.
  2. A

    Tahadhari kali kwa nyote mlio na magari binafsi; chunga sana na waambie wengine!

    Penda sana hii. Mwenzezi Mungu akuzidishie Synthesizer .
  3. A

    Mashine za EFD sasa kutolewa bure na Serikali!

    Naomba kuuliza, hivi baada ya kupewa Mashine ya EFD ishu ya makadirio ya kodi inakuwaje?
  4. A

    Mashine za EFD sasa kutolewa bure na Serikali!

    Naomba kuuliza, hivi baada ya kupewa Mashine ya EFD ishu ya makadirio ya kodi inakuwaje?
  5. A

    Ufafanuzi: Safari za nje za ofisi ya CAG

    Kumbuka sana kwamba Serikali haifanyi biashara.. Wanatumia tu pesa zitokanazo na kodi zetu.. Pamoja na misaada ya wahisani.
  6. A

    David Kafulila afungua kesi Mahakama kuu, kutetewa na Tundu Lissu

    Segerea ilikuwaje? Ccm hawana diwani hata mmoja wameshinda Ubunge!!!???
  7. A

    David Kafulila afungua kesi Mahakama kuu, kutetewa na Tundu Lissu

    Segerea ilikuwaje? Ccm hawana diwani hata mmoja wameshinda Ubunge!!!???
  8. A

    Mtaa MZIMA Wamagufulika

  9. A

    Waraka kwa Dr. Slaa

    Chukua like mkuu Tabby umefafanua vizuri. Tubadili mfumo mzima unaolea mafisadi kwa ujumla. Mambo mengine mbele kwa mbele.
  10. A

    Special thread: Kampeni za mgombea Urais wa CHADEMA/UKAWA nchi nzima kuelekea 25 Oktoba, 2015

    pamoja na maneno yote vijana tujiandae kupiga kura ili tuwe sehemu ya mabadiliko kuiondoa ccm madaraka na kuwaweka ukawa. Baada ya miaka mitano na wao tunawacheki.
  11. A

    Lubuva: Matokeo yabandikwe nje ya kituo husika!

    Tume izingatie ili kuondoa maneno.
  12. A

    Sitta Ataka Mdahalo na Lowassa Kuhusu RICHMOND; Asisitiza Kuwa Lowassa ni Fisadi!

    Lakini naye pia si yuko kundi la makapi na oil chafu. Alikuwa wapi siku zote? Watanzania tumeamua.
  13. A

    Yaliyojiri uzinduzi wa Kampeni za Chama cha ACT-Wazalendo - Agosti 30, 2015

    Hao jamaa wanaweza wasipate kiongozi hata 1 uchaguzi ujao.
  14. A

    Yaliyojiri uzinduzi wa Kampeni za Chama cha ACT-Wazalendo - Agosti 30, 2015

    Kwa ukawa umebadilika kuwa adui yao mkuu na sio CCM.
  15. A

    Lowassa Afunika Iringa

    Katumia 30 minutes(from 11.30 mpaka 12.00) .
  16. A

    Elections 2015 Dr. John Magufuli halisi usiyemjua na yule unayemjua kupitia CCM! Ni HATARI kwa Taifa!

    Watanzania tulitaka kujua nani hasa alikuwa nyuma ya Richmond na sasa tumejua ni mkuu wa nchi alizuia Lowasa kuu-vunja ule mkataba. Sasa unachotaka nini kingine? Ukichukulia Mhusika mwenyewe hajakanusha.Tumia akili.
  17. A

    Mbio za UKAWA kwenda Ikulu ni mbio za sakafuni

    Hakuna shida ya pesa kuna shida ya kuwatumikia watanzania kwa kupambana na umaskini unaowatesa.
  18. A

    Lowassa ameteka media huku Magufuli akiteka raia

    Kwa CCM kile kile bila shaka Magufuli hawezi kumsogelea hata kwa mbali matumaini ya maisha bora kwa kila mtanzania tuliyokuwa nayo kwa Jakaya Kikwete. Kwa mtu yeyote wa kileo mwenye upeo bila shaka atafikilia mabadiliko na si vinginevyo. Nayo ni kubadili mfumo mzima wa utawala kwa kupigia kura...
Back
Top Bottom