Huyu mzee huwa anafanyaga mambo zake kimyakimya nyie mnazozana lakini kick zake akitokea huwa za moto sana . Viongozi wa nchi wapo tuwape ushirikiano mwacheni Edo afanye yake kkwanza.
ni sawa kwa mtazamo wako lakini unadhani cc ya chama cha mapinduzi itampisha mtu wa maamuzi ya papo kwa papo afu aje awafunge mafisadi.... ujasiri wa wa magufuli cdhani kama atapitishwa bt msimsahau upm .
na mnyika anasimamia kanuni kama spika, ni mtizamo wa huyo mstaafu , lakini una hoja ya msingi na wewe toa si kila kitu vijembe tu, jaman huku penye watu wenye busara wengine ni mambo ya utani tu wanacoment najiuliza simuende jukwaa la udaku au kwa watoto wenzio fb, TZ ni yetu tuijenge pamoja
JM kaongea vizuri sana ngawa kwa upande wangu tunahitaji viongozi wazalendo wa kutetea wanyonge' kasema chama chake lazima kipate mgombea atakayeendana na changamoto za karne ya 21 " tujiulize kwani ata ARI MPYA, NGUVU NA KASI MPYA pia zilikuja kwa sura nzuri sana lakini ndani ya miaka2 cabinet...
sema na wewe uko shalo kwan ata ka h/work ka unaelewa ishu c una2pia nikoteze ata outline moja, mbona una wivu kwan ata library c 2nasoma kazi za wa2, toa ushirikiano kwenye jamii mnakomaa na mambo za utan pekee yake.
ndugu zangu wanasheria unampa talaka kwa wale wenzangu wa dini ya kiislamu anapokea kwa kuweka masharti kuwa niendelee kumsomesha tena kwa maandishi ni sahh hiyo jaman , nipe msaada wako wa kisheria !
kwa maoni yangu naomba katiba ijayo ibara ya 7 na 11 zisiwepo kabisa au 2saidianekuzibadilisha kwa sababu hazitoi msingi wa kinacho maaninishwa , kwa kifupi katiba ya sasa haioneshi namna ya kuenforce elimu , hivo 2we makini vinginevo wadogo na watoto we2 wataendelea kujaza mistari ya hiphoip...
jamii ya kitanzania inatakiwakuelemishwa jinsi sheria zetu baadhi zinavyokinzana zenyewe, mfano katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania inampa mtanzania HAKI YA KUISHI ,ukirudi kwenye SHERIA YA MAKOSA YA JINAI kuna adhabu HUKUMU YA KIFO ilohalalishwa na kupoteza mana ya haki ya kuishi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.