Search results

  1. F

    Wanaohitaji kujiunga na Freemason

    sasa huyu wewe unauhakika gani anawaibia watu! je? yeye hana haki yakuwa freemanson na kuwaunga wenzake. freemanson iko kila sehemu kama mitandao ya simu na mabank, ivyo kuna wale wanaojinga na xtrem ya 450 kwa siku, na kuna wanaojiunga unlimited ya mwezi. ivo kuna watu wenye nyazifa zao...
  2. F

    Haruna Moshi 'Boban' akifanya remix

    alafu ndo wanajifananisha na wakina xavi! hahaha....! huu sio mpira hapa bongo, ila hatuna jinsi tuendelee tu na ushabiki, jaribu kuvuta picha mtu kama roony anafanya hayo mbele ya fegurson! what next?
  3. F

    Wanaohitaji kujiunga na Freemason

    kwenda kwa waganga nayo ni imani kama ilivyo watu wengine kwenye imani zao, hawa masons nao kunaimani, je? wafungiwe vibali hawa wanaoanzisha nyumba za ibada ati wana waokoa watu hali ya kuwa ukitazama kwa undani sana ni wanazidi kuwatia watu umasikini kwa kuwachukulia hata icho kidogo walicho...
  4. F

    Wanaohitaji kujiunga na Freemason

    hata hili linahitaji serikali ndugu yangu?
  5. F

    Kanisa Katoliki LATOA MWONGOZO WA MAONI YA KATIBA

    ilo ni wewe! na mimi naamini udini umeanza kwa nyerere bila kificho na madhara yanaonekana sasa, kama nyerere asingeweka udini haya yote yasingejitokesa kwa vipindi vya awamu tofauti za viongozi tofauti! kama kweli angetuweka kwa usawa kwenye udini pindi icho haya leo yasingekuwepo.
  6. F

    Je? Ni kweli acb wameshawaita watu kazini kwa zile post 11 za tallers.

    take home iyo,au ndo inakatwa tena! mmmh! haya maisha ya kwenye mabank sasa, magumu! makampuni ya simu yanaafadhali aisee
  7. F

    Je? Ni kweli acb wameshawaita watu kazini kwa zile post 11 za tallers.

    na ku trust, mana after interview walisema watatujuza baada ya week, week ya pili sasa imepita, ivyo nakubaliana na wewe kuwa waliohitajika walishaitwa! je vipi hawa jamaa bank taller wao wanawalipa pesa ngapi? mana skuile walisema wanawachukua fresh wenye degree nzuri na watatoa package...
  8. F

    Je? Ni kweli acb wameshawaita watu kazini kwa zile post 11 za tallers.

    nilikuwa nataka kujua tu je? watuwameshapatikana au lah, ili nijue kuendelea na mambo mengine, haya ya uchaga mimi siyajui mkuu wangu. sio kama nikikosa hapo bank ndo namaisha yangu yameishia hapo hapana bali inaniongezea jitohada zaidi ili niweze kufanikiwa kwa namna moja ama nyingine
  9. F

    Kanisa Katoliki LATOA MWONGOZO WA MAONI YA KATIBA

    kweli nyani haoni kundule, kunya anye kuku akinya bata kaharisha, ndo sasa nazidi kuamini hii misemo. ki ukweli udini upo wazi wazi kwenye nchi hii ya tanzania, je? wangesema wale wa upande wa pili ingekuwa reactiona za watu kama si kusengenya na kejeli, na post ingewekwa humu jf ingekuwa...
  10. F

    Bachelor of Accountancy and Finance (BAF)

    kwa tanzania ya sasa soko lisilosumbua kwa ajira mtaani ni kujiajiri tu! yani hata kama iyo BAF yako umetoka nayo oxford u havard kwa tz yasasa unaweza ukaaa mtaani kama kawa tu, bila kumjua mtu yala kwako, mana hata watu wa sociology tu skuizi ni ma bankataller, mtu anasoma sociology na...
  11. F

    La Liga-Barcelona hai,Real Madrid hoi...

    barcelona wanajua sana mpira, getafe ni timu hatari sana kwa ile 1st ileven ya jana ya barcelona nilijua coliseum estadio wale barcelona watachezea kipigo kama walivyopigwa madrid, but kumbe yule tito vilanova nae anafalsafa zake nzuri tu na ametokea kumwamini sana adriano coreila kwa sasa...
  12. F

    Media Freedom: Uingereza yausifu uongozi wa Rais Kikwete

    vigeugeu tu! na hii ndo sura ya mtu nafiki, haijifichi, juzi kati walinnang'a rais,leo tena apewa shavu! i hate white people from usa and uk
  13. F

    Asante jf kwa kunipatia kazi. Unbelievable

    ukamshukuru na mungu wako pia, mana bila yeye haswaaa usingepata hiyo kitu....
  14. F

    nmepotelewa na kitoweo

    waingereza wangekuambia ni haki yake ya msingi kama wewe unavonyoa nywele baadhi ya sehemu zako za mwili, sasa hili na la kumdhalilisha mwanaume kuwa halali kuolewa na kulalwa na mwanaume mwenzake hususani ni hao waingereza je lipi linafaa kuwa mtu apewe mvua tatu? ninamashaka sana na akili ya...
  15. F

    nmepotelewa na kitoweo

    hahaha! kweli sio kila anaevaa koti jeupe daktari, kumbe wengine wauza butcher.
  16. F

    RC Tanga amdhalilisha mganga mkuu wa wilaya

    huko pia na mimi ni kwetu! tanga ukienda nenda kwa yako na kazi zako, usifanye jeuri kwa watu wa kule aisee, ni hatari sana wale watu na ni wazuri sana ukiishi nao kwa wema. MAKAMBA alikuwa mjeuri na kiburi sana pale alkipofika kwanza aliwapiga mkwara watu wa tanga kwa kuwaambia eti nyinyi watu...
  17. F

    Maskani ya CCM Z'bar yachomwa na watu wanaodhaniwa kuwa UAMSHO

    kumbe CCM wana makanisa pia! duh, haya. ila kama mtu unaakili timamu huwezi kukubaliana na habari hii unless uwe na interest zako hasa za kidini.
  18. F

    RC Tanga amdhalilisha mganga mkuu wa wilaya

    huyo RC nyie mwacheni tu, awaulize wenzake waliotangulia hapo tanga, hawajui watu wa tanga huyo, atanyambulika kama samaki siku moja ajishangae, ye anavyoona watu mjini tanga wako kimya kimya anajua atawachezea, amuulize makamba kilomkuta enzi zake, labda mganga mkuu aweke ubinadamu sana mbele...
  19. F

    wiki ya nenda kwa usalama

    ndiyo mwenye anaenda kuwafungisha watu virago! hahaha
  20. F

    nmepotelewa na kitoweo

    ki modo hicho, kipeleke kwa mustafa hasanali!
Back
Top Bottom