Search results

  1. SODOKA

    Taratibu za kupanga nyumba za NHC

    Magufuli inabdi atumbue mtu hapa kwenye kupata nyumba za NHC
  2. SODOKA

    Kwanza TV yafungiwa kwa miezi sita. Millard Ayo na Watetezi TV zapigwa faini

    Kumbe walitakiwa watofautisha Gwajiboy na huyu Gwajimwingine
  3. SODOKA

    Mfanyakazi CRDB afikishwa Mahakamani kwa kumuibia mteja zaidi ya Tsh milioni 100 na kuzitakatisha

    Milion 100 watu 3 ukigawa unapata kila mtu milion 33 yaan hela ndogo sana huyu dogo Babu kazingua sana
  4. SODOKA

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Natafuta nyimbo ya nakuhitaji ya HK angwisa
  5. SODOKA

    Nyimbo za Kisukuma

    Mwenye nyimbo zote za Ngw'ana Kanundo
  6. SODOKA

    TAMISEMI wanadai wamesitisha uhamisho mbona Wafanyakazi wanahama kwa kulipia kuanzia Tsh 700,000 mpaka 1,000,000?

    Mimi pia nateseka sana na uhamisho jamani serikali tuoneeni huruma tunalea familia mbili
  7. SODOKA

    NNA PRESHA AFU NIMEBETI

    Polee mkuu juve na man city wamekuponza
  8. SODOKA

    Kero tunazokutana nazo kwenye vibanda umiza

    Kuingia na radio inaboa kinyama ,,goli bado halijaingia mfano penalt ndo inaenda kupigwa utasikia jamaa mwenye redio anasema ""amekosa"" uwa nataman nimpasue mtu kichwa [emoji3][emoji3]
  9. SODOKA

    Jifunze Kinyakyusa hapa

    Mkuu maana yake nini hapa
  10. SODOKA

    Kiswahili cha neno density

    Weight ni uzito mkuu
  11. SODOKA

    Kiswahili cha neno density

    Tungamo ni MASS Density ni UJAZO NENE
  12. SODOKA

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Natafuta Mgumba sasa amezaa kama unao nitag
  13. SODOKA

    Msaada:Jikomboe secondary S4535 NOT FOUND

    Salaam alekyum wana JF. Nina tatizo kwenye kujaza form za bodi ya mkopo kila nikiingiza namba ya shule ya Jikomboe Secondary 4535 inasema NO SCHOOL FOUND WITH THIS NUMBER ,,nimejaribu kuwapigia help desk bodi ya mkopo lakin hawapatikan namba zao zote ,,nahitaji ushauri wenu wa JF niconfirm ivo...
  14. SODOKA

    Chumba Mbezi ya Kimara

    Natafuta chumba sebule self container au yenye choo cha nje lakini cha kujitegemea maeneo ya Mbezi mwisho yaan walking distance to Mbezi terminal lakn kama kipo cha njia ya Goba road nipo tayari kulipia na kuhamia kesho..Bajeti yangu ni elfu 80 hadi laki Moja Sent using Jamii Forums mobile app
  15. SODOKA

    Part 2: Ujasusi ndani ya Boeing

    Mwandishi anajaribu kutuaminisha uongo anajiexpand ili tubuild trust chek pale ameandika sept 11 alikuwa Sudan ili atuteke kifikra lakin ukijaribu kuisoma kiintellijensia hakuna kipya alichokiandika since part one anaandika vitu vinavyofikrika tu ,part one alijaribu kunishawishi lakin hii lakn...
Back
Top Bottom