Search results

  1. B

    Takwimu za umasikini: Katika kila watu 100, Dar 5 masikini, Kigoma 48, Geita 43 masikini!

    Wawekee Source hii hapa: http://www.nbs.go.tz/nbs/takwimu/na/Kitabu_Cha_Hali_Ya_Uchumi_wa_Taifa_katika_mwaka2016.pdf
  2. B

    Jua Kuhusu Vitu unavyoweza kusoma Chuo Kikuu kutokana na ufaulu wako

    Hio ndio changamoto ambayo TCU waliweza kuitatua kwa kiasi kikubwa, Tusubiri vilio vya wanafunzi kukosa vyuo..
  3. B

    Jua Kuhusu Vitu unavyoweza kusoma Chuo Kikuu kutokana na ufaulu wako

    Hapo juu mbona kama tutakuwa tumerudi kwenye mfumo ule wa zamani ambapo mtu mwenye ufaulu mzuri anapata kila chuo na kuzuia nafasi kwa wengine, au nini kitatokea?
  4. B

    Mkurugenzi Mtendaji Metropolitan Insuarance mnaboa sana

    Hizi ni chuki zako binafsi, Kama ungekuwa unahitaji majibu nenda ofisini kwao
  5. B

    Ushauri wenu ni wa muhimu kwangu

    One arm will be bigger than the other..
  6. B

    Wanawake hupenda wanaume wapole kwa sababu hii

    Mkuu Himidini, Naomba pia ufanye research; kwa nini ni rahisi kwa wanawake japo sio wote kumpenda/kuvutiwa na mwanaume "Muhuni"??
  7. B

    Nahitaji Samsung Galaxy S1!!

    SAMSUNG GALAXY S1 Iwe kwenye hali nzuri, budget yangu ni TZS 200,000/= for any interested seller, send a PM(sms).
  8. B

    Ushauri wa kazi ya kufanya

    acha mambo yakishoga wew perry.sio lazima kuchangia kila post
  9. B

    Tuzo yangu ya nobel kwa wanaume wahongaji/mibuzi ya ukweli!

    Well said, well noted.. kiranga wewe ni jembe hapa JF
  10. B

    Tuzo yangu ya nobel kwa wanaume wahongaji/mibuzi ya ukweli!

    sio watu wote hapa wapo Tanzania, kuna wengine ndio wameamka..
  11. B

    Tuzo yangu ya nobel kwa wanaume wahongaji/mibuzi ya ukweli!

    Ninacho mkubali Kiranga yeye haangalii nani kasema nini, yeye anaangalia umesema/umeeandika nini, hapa watu wanaleta ushabiki na urafiki tu lakini asilimia kubwa tu haiwezi kukubali hili swala lako la uhongwaji ndio maana ni rahisi mtu kuku ingiza kwenye ilo group la watoto wa ohio kama msemavyo.
  12. B

    Tuzo yangu ya nobel kwa wanaume wahongaji/mibuzi ya ukweli!

    mbona unayo furaha sana binti au kuna jamaa kakuonga??
  13. B

    Tuzo yangu ya nobel kwa wanaume wahongaji/mibuzi ya ukweli!

    lakini kiukweli unazo dalili zote za dada poa.. unabisha??
  14. B

    Tuzo yangu ya nobel kwa wanaume wahongaji/mibuzi ya ukweli!

    Mbona ujamtaja Kiranga? au na yeye ni junior?
  15. B

    Mwanaume Mwenye Pesa Ndo Mpango Mzimaaaa!!!!!!!!!!!

    zion, hii imeshajadiliwa sana hapa JF kama sikosei gfsonwn na swonhite walipiga lecture ya kiutuuzima hapa. usipoteze mda kurudia kuna watu hapa wanatafuta attention tu
  16. B

    Mwanaume Mwenye Pesa Ndo Mpango Mzimaaaa!!!!!!!!!!!

    i like this, uyo ciello atakua ameiskip hii post na hata kama kaisoma atakua amejifanya ajaelewa..lol
  17. B

    Mwanaume Mwenye Pesa Ndo Mpango Mzimaaaa!!!!!!!!!!!

    ngoja nikuache naona na wewe umeshakua spoiled na mtoto wa mjini lara.. kuna siku ulimwaga mapweinti nikajua you are the woman kumbe maneno ya plastic tu! yaani unaonekana kabisa wewe ni wa level fulani lakini unataka kujiupgrade.. mchana mwena
Back
Top Bottom