Search results

  1. S

    Anatafutwa mwalimu wa Computer Mafinga

    jamani nashukuru nimepata pm zetu na email zetu nitawajibu soon
  2. S

    Anatafutwa mwalimu wa Computer Mafinga

    nashukuru mkuu kwanza uwe umesomea unaijua vizuri then una uwezo wa kufundisha na watu waka kuelewa. it means unaweza kutransfer knowledge vizuri kutoka upande mmoja kwenda upande mwingine.
  3. S

    msaada please

    ndugu bado hujaelewaka unataka nini haswa
  4. S

    Anatafutwa mwalimu wa Computer Mafinga

    habari wanajamvini tunataka mwalimu wa kufundisha computer course mafinga kwenye chuo cha usecretary kimesajiliwa na veta. Kama uko tayali tuwasiliane kwa maelezo zaidi. Mshahara ni maeleweno kutokana na utendaji kazi wako. Please nafasi inahitajika kujazwa haraka if ur interested check on me...
  5. S

    Kupata mtu ambaye atakae kuwa mume wangu baadae

    duhuuuuuuuu retired sister kazi ipo
  6. S

    Ufisadi ujenzi soko la mwanjelwa jijini mbeyaa

    Habari wana jf naomba niwaletee kidogo huu ufisadi kwenye ujenzi soko la mwanjelwa jijini mbeya kwa wale wanao kumbuka kabla soko la Mwanjelwa kujengwa kuna soko liliungua na kuteketea kwa moto ambalo sasa halmashauri ya jiji ikaamua kujenga soko jipya. Katika ujenzi huo jiji likaamua kukopa...
  7. S

    Ufisadi ujenzi soko la mwanjelwa jijini mbeyaa

    Habari wana jf naomba niwaletee kidogo huu ufisadi kwenye ujenzi soko la mwanjelwa jijini mbeya kwa wale wanao kumbuka kabla soko la mwanjelwa kujengwa kuna soko liliungua na kuteketea kwa moto ambalo sasa halmashauri ya jiji ikaamua kujenga soko jipya. Katika ujenzi huo jiji likaamua...
  8. S

    Secretary anaomba mahali pa field jamani.

    ukishindwa kupata niambie kuna mtu atakusaidia kupata field kwanza inatakiwa lini? sehemu gani? kwa mda gani? jielezi vizuri coz jf ni zaidi ya msaada
  9. S

    Ushauri jaman, sijui nirudi kijijini

    pole sana dada Nayajua maisha ya kigheto gheto yalivyo kuwa magumu kama huna sehemu itakayo kufanya uweze kuendelee kuishi mjini. Swala la kwenda kijijini inategemeana mda mwingine unaweza kwenda kijijini ndo kwanza unakuwa umepoteza mwelekeo kabisa coz kuna vijiji vingine vinaweza kuwa hakuna...
  10. S

    Hi! Anybody ready for chating!

    hereeeeeeeeeeeeeeeee
  11. S

    Uongo uletao madhala kwenye jamii

    Tatizo sio Imani zetu, tatizo sio utamaduni wetu, LAKINI Tatizo ni mazoea tuliyoyajenga, tatizo ni mzoea tuliyoyaaendekeza kwa muda mrefu, mazoea ya kusema uongo, Mazoea ya KUDANGANYA. Karibu kila mtanzania awe mwenye dini au asiye na dini awe mtu mzima au mtoto awe mwenye akili timamu au...
  12. S

    Anahitajika accountant

    jamani hili zoezi limefungwa rasmi am sorry kwa wale niliowakwaza
  13. S

    Nahitaji mpenzi wa kiume

    omba moderator afute hii thread other wise utaumbuka kwa kukulupukia mambo
  14. S

    Nahitaji mpenzi wa kiume

    naoka huyu mtu anatatizo sio bure halafu anataka kucheza na akili za watu ukijua wote niwendawazimu kama wewe halafu ukiwa mwongo basi uwe nakumbukumbu kuna uvi aliweka hapa july kuna unatafuta ukatitilika kweli sifa unae mtaka sasa leo unajifanya unakuja kivingine unajua hapa facebook kwenye...
  15. S

    Anahitajika accountant

    habari wanajavini kuna kampuni ya ukandarasi wa umeme,majengo yenye ofisi zake Dar-es-salaam lakini inafanya kazi kila mkoa inatemeana na kazi ilipo patikana inahitaji Accountant mwenye vigezo vifuatavyo Awe na Degree au Diploma ya Accountant Awe anajua kutumia accounting Package kama Quick...
  16. S

    Mifuko ya Jamii PSPF,PPF,GEPF na LAPF IPI NZURI

    nataka kujua the most pensionable firm kwenye hii mifuko na faida za wanachama kwa ujumla
  17. S

    Mifuko ya Jamii PSPF,PPF,GEPF na LAPF IPI NZURI

    hata kama wafanyabiashara kuna mmoja ambae ana unafuu kuliko mwingine kwenye market
  18. S

    Mifuko ya Jamii PSPF,PPF,GEPF na LAPF IPI NZURI

    inakuwaje fao la kujitoa ikiwa SSRA wamegoma hapo vipi mkuu na vipi kuhusu mifuko mingine rate zao zikoje kwa mwanachama
  19. S

    Mifuko ya Jamii PSPF,PPF,GEPF na LAPF IPI NZURI

    naongelea mfuko ambao una mfumo mzuri wa kimaslai na faida zingine ambayo mwanachama anapata kwa kuwa kwenye huo mfuko
  20. S

    Mifuko ya Jamii PSPF,PPF,GEPF na LAPF IPI NZURI

    jamani wanajavini naomba kujua ni mfuko gani kati ya hiyo ni mzuri mwenye uzoefu katika hili please
Back
Top Bottom