Search results

  1. M

    Mbowe vs Chifupa + CHADEMA vs Family Business

    Nadhani kufail shule na kufail kibiashara si viashiria vya uwezo wa mtu kuongoza watu. Kwa taarifa yako most of the greatest men ( and women) were the school dropouts. Nafikiri tujaribu kuangalia uwezo wake wakuamua mambo na kusimamia sera za chama na mtazamo wake wa jumla juu ya hatma ya...
  2. M

    Ufisadi umetuweka pagumu Pinda

    Kuna kitu bado natafakari sikielewi vizuri. Toka lini mtu akamsifia mtu mwingine aliyemweka mahali pabaya na anamsifu aendee unautaratibu wa kumweka pabaya. Mhhhhhhh......?
  3. M

    The next US President

    I'm just interested to see OBAMA wins but whomever wins it will not be a great deal to me. I think its time to start thinking in our own way: - what will happen if MUGABE wins? - What will happen if Pemba stick to their stand? - Gosh, what will happen if DARUSO's (Dar es Salaam...
  4. M

    Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

    Ni ukweli usiopingika kwamba aina yoyote ya ubaguzi haikubaliki. Pia ni ubaguzi kumyima mtu nafasi eti sababu dini au kabila lake wapo wengi katika hiyo idara. ILA kinachofanyika ni hao wenye dini au makabila husika kupigiana "pande" na taarifa ya hizo nafasi kupeana kwenye vikao vyao. hivyo...
  5. M

    Haya ndiyo Maendeleo (Picha)

    Ningefurahi zaidi kama ningeona plate number nijue kama ni TZ au Vipi? Lakini shimo linaonyesha siyo bongo maana walau wakati wa mafuriko maji yangekuwa hayajaii. Na kama ni ki "assume" ni bongo, naona tatizo sio tofauti ya gari na barabara ila tofauti ya fikra sahihi na utekelezaji wake.
Back
Top Bottom