hATA YULE MTOTO ALAIYEKOJOLEA KUR ANI, thread zilifuatana.Ishu kubwa hapa ni kuona mtu mzima na elimu yake akiendesha siasa za matope bungeni na uraiani, Cha ajabu zaidi ni kila njama za mauaji anahusishwa pia.Hivyo ni lazima watu wamzungumzie.
ccm wakiona ummati hivi, ndio watakavyozidi kupanga mikakati ya HUJUMA NAWIZI WA KURA. ndio maana wanaipenda ile kauli tangu enzi za Mh L. Mrema juu ya wingi wa watu kwenye mikutano kuwa sio alama ya ushindi
Hapo kwenye red sio jambo dogo hilo, Lina nguvu kubwa yakubadilisha matokeo!
Wakati CDM inajijenga kwa kasi majukwaani,Tusisahau ccm nayo ilikuwa bize kuratibu mbinu chafu za uchaguzi.CDM bado inayo miezi 36 ya kuendelea kujijenga na kufanya marekebisho makubwa.Wajaribu kuutathmini matokeo haya...
ndio maana nchi nyingi pia hutumia machine maalumu au simu ku load airtime kwenye simu.Bora hiyo sheria ipitishwe TZ kuepusha na hilo janga hata kama ni fununu!
Huo ndio ubaya wa mabosi penda penda! Unaweza ukatoa K, na mambo yakawa supa kwasasa ila baadae yakawa mvurugano zaidi huko mbeleni .Fanya lile la ndani ya uwezo wako hutajilaumu.
Kina bibi titi, kawawa na wazee wa kiswahili wengine labda walikuwa na Phd?
Michango mingi ya wasomi wa leo haitakaa ionekane kwa serikali hii ya sasa iliyoko madarakani(dhaifu) na mfumo uliyopo (ufisadi,Ubinafsi na Kulindana).
HAPA MI NAONA KILA MTU ANAVUTIA CHUO ALICHOSOMA.
Mkiwa kama wasomi andaeni VIGEZO vya ubora wa chuo then mfanye TAFITI mtumie findings tupate chuo bora nchini.ugomvi utaisha.
Kwa bahati mbaya huwezi acha kusikia baadhi ya watoto wengi wa vigogo wanasifa mbaya sana kama Muuza/Mlamadawa ya kulevya, Shoga, Tasa, Ndondocha, kulakulala, mzinzi, mlevi au zero brain nk.Hivi hii husababishwa na vile wanavyoshika VITABU VYA MUNGU (Bible and Qur ani) na kuapishwa kutumikia...
Chinese Government are no longer entertaining this shit any more!
They only need like 300~ 600 billions as foreign exchange reserve which can meet the requirement for 3 months of International trade.Kwahivyo sidhani kama watahitaji kununua tena treasury bonds za wamarekani tena.Kwajeuri na...
Hii topic labda sijailewa, maana serikali ya CCM ndio yenye resource zote za kuleta maendelea, Hiyo nafasi ya wasomi individually kuonyesha michango yao itapatikana wapi? Ukizingatia ukiwa na kiherehere cha kuwakosoa wanakata mirija yako yote ya riziki zako, wakati mwingine wanaweza...
China is the Largest owner of US treasures.To the end of June 2011 china has Foreign exchange reserve US $ 3.2 Trillion, In July 2011 China had US treasures US $ 1.16 Trillion. hii ni kusema kwamba China US debt holding increased to US $ 7.3 billion.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.