Search results

  1. H

    HESLB: Sheria-mpya!

    jamani huyo si mwenyekiti,ni mtoa hoja anataka kubadili mada.kashamchamba mwenyekiti na sasa anataka kuamishia huku.NARUDIA HUYU SI MWENYEKITI,wana JF musipoteze muda.
  2. H

    HESLB: Sheria-mpya!

    Admin,naomba uifute hii topic,huyu jamaa anafanya sasa watu wote wa China tuonekane watoto.Nimeongea na mwenyekiti amesema hata jamii forum hajakanyaga so jamaa ametunga id kama ya mwenyekiti ili avute mass,ni utoto mtupu,jila huyu jamaa siku zake ni 40. tik tak tik...
  3. H

    HESLB: Sheria-mpya!

    Mkulima,Usipoteze muda kubishana na watoto wadogo,Mimi nilipotoa hoja kuwa huyu mtu watu waepukane naye kuna baadhi ya watu hawakufahamu ni nini lengo lake,wakadhani ni mtu anayekuja hapa kutafuta ushauri kumbe la ghasha amekuja kumaliza kinyongo chake,Ndio maana anaishia na kuregister mi ID...
  4. H

    Wale Minaki Mpo?

    Hehehehe,sijasoma Minaki ila nimekaa sana Kisarawe,maranyingi sana tulikuwa tunagongana na watoto wa MInake pale SBA,kaukumbi kadogo joto kali,jamaa walikuwa wanakula pori hadi kisarawe hawaogopi hata simba,jamani! Kitu nakumbuka nilipokuwa nasoma Shule ya msingi shule nilizokuwa nazizimia...
  5. H

    Waraka: Kanisa Katoliki laandaa waumini uchaguzi 2010

    Utaleta wapi maendeleo wakati mumeshikilia midini yenu,China,Japan,Korea wote wameendelea kwakuwa hakuna midini,angalia Sri Lanka,Nepal jinsi wanavyokufa kwa ajili ya midini hiyo. Dini(Ukoloni uliopita) na Demokrasia(Ukoloni wa kisasa) ndio chawi wa maendeleo yetu Africa,Unakumbuka Mchina...
  6. H

    Waraka: Kanisa Katoliki laandaa waumini uchaguzi 2010

    Niliwahi kulizungumzia hli tatizo la dini ila kuna watu waliniona huyu ni mpotea njia wa uchinani,Sasa munajionea.Africa kwa ujumla hizi dini ndio chanzo cha umasikii wetu kwa 70%,sio tu kwa kubaguana bali pia tumeletewa miutamaduni ambayo hatuendani nayo then tamaduni yetu ikaitwa uchawi.Kama...
  7. H

    Serikali ya Tanzania yaridhia utoaji mimba

    Ukisikia ukoloni ndio huu,maada ya kiswahili unaleta kingereza ili iwaje,na sisi tukileta kichina,na yule wa poland akileta kipolish tutafika,hii ndio kuwa brain washed na hatutoendelea kama hatutojua wapi tunatakiwa kutumia kingereza na wapi tunatakiwa kutumia lugha yetu ya taifa. Wadhungu...
  8. H

    Serikali ya Tanzania yaridhia utoaji mimba

    Tunachozungumzia ni mimba zisizo tarajiwa.kuna kipindi kinafika njia nyingine za uzazi wa mpango zinagoma au mambo ya kuzidiwa nguvu,hivyo hatua hiyo ikifikia kutoa mimba ni mwake,kumbuka kuwa hakuna mwanamke mwenye akili timamu akapenda kutoa mimba,hii ni kwa ajili ya afya zao,hivyo waruhusiwe...
  9. H

    Serikali ya Tanzania yaridhia utoaji mimba

    Naomba mtu anipe athari za kutoa mimba kama itafanyika kwa ufanisi,naona watu wote mumejikita katika kuua tu,watu wangapi wamekufa bwana,tatizo letu ni kuwa dini zetu zimetujengea mazingira ya kuogopa sana kufa,hivyo watu wengi tunaona kufa ni big deal,kufa is just like sleeping guys,sasa nini...
  10. H

    Serikali ya Tanzania yaridhia utoaji mimba

    Unapozungumzia mtoto ina maana ni stages ambazo ni Sperms->Pregnancy->Kiumbe na unapozungumzia njia za kupanga na uzazi unazungumzia Condoms,Abortion nk. Pia unapozungumzia kuua ina maana ni kitendo cha kuondoa uhai wa binadamu,je binadamu ni nani? Sasa mtu anayetumia condom naye anaondoa...
  11. H

    Serikali ya Tanzania yaridhia utoaji mimba

    Mkubwa una uhakika kama kutoa mimba ni nje ya maadili ya kiafrica? pia,una uhakika kwamba hizo dini ni maadili ya kiafrica?? Utoaji wa mimba sio tatizo ila tatizo ni jinsi gani ya kuhakikisha nani ni muhusika katika kutoa hizo mimba,hapa nina maanisha madaktari,sio hata Manesi wapewe ruhusa ya...
  12. H

    Mjikumbushe Mzumbe High School

    Mkuu kama mimi ningepata hayo ma D basi nadhani Tanzania nzima ni wachache mno ambao wangepata hata F kama si -F,mimi ni mwana mzumbe mmojawapo na mkeleketwa mmoja,ila huwa napenda kusema ukweli pale kwenye ukweli,sasa kama kila shule italeta tujikumbushe si JF yote itajaa Tujikumbushe??(Nadhani...
  13. H

    Mjikumbushe Mzumbe High School

    Munaboa,ili mrabi mimi ni member mzuri wa mzumbe lakini siwaungi mkono kwa maana hakuna cha maana munachotukumbusha,hata Afande sele alisema mwimbo gani munatajataja majina munachoongea hakina maana,kama munataka mambo ya maana fanyeni mavituzi ili ije siku watu wakisikia then waseme hawa ndio...
  14. H

    WaSouth Africa wafunge virago-Mbiu

    Jamani muda sasa umefika tuoneshe uzalendo,Baada ya mwenge wa Olimpic kupata shuruba kuwa Ufaransa na UK wachina walirespond kwa kuandamana nchi nzima na kuwekea mgomo miradi yote ya Ufaransa na Uingereza,nakumbuka ilikuwa ukiingia Carrefour wachina wanakutwanga ingawa polisi walikuwa...
  15. H

    Ufisadi watafuna Tanzania Daima,wahariri hoi,nini hatima??

    Lunyungu next time kaa chini kabla ya kuandika na usome kwa nini nimemgusa mwanakijiji? MImi nilikuwa ni mpenzi mzuri wa TD na kulikuwa na habari nyingi za huyo Mwanakijiji ndio maana nilitumia Ushahidi wa Kimazingira. Sasa nazidi kupata picha jinsi gani watu wanavyoumia na...
  16. H

    Ufisadi watafuna Tanzania Daima,wahariri hoi,nini hatima??

    Mkuu nashukuru kwa mtazamo wako. Nadhani hapa wewe umekerwa na hiyo wahariri hoi.Kimsingi tunapozungumzia Tanzania Daima tunazungumzia Gazei zima kwa ujumla uanzia wahariri,waandishi wa habari nk.Kwanini nimesema wahariri hoi? Ni kwa maana wao ndio wenye kazi ya kuhakikisha kuwa Effective news...
  17. H

    Ufisadi watafuna Tanzania Daima,wahariri hoi,nini hatima??

    Jamani Hii JF ni ya watz wote si mtu fulani.pia mutu yeyote anaruhusiwa kuchangia awezavyo, Kwa ushahidi wa kimazingira tunajua jinsi gani Mwanakijiji ulivyo na masilahi na watu wa Tanzania Daima ndio maana hii habari inamuuma sasa sijui huyo mwingine nae kinamuwasha nini. Nilipoandika...
  18. H

    Ufisadi watafuna Tanzania Daima,wahariri hoi,nini hatima??

    hao! jamani jioneeni maoni ya watanznaia juu ya gazeti hili. MHUSIKA WA GAZETI HILI. SASA HAIELEWI NI GAZETI LA TAREHE IPI AU MEI MOSI HAMKUTOA GAZETI. NI GAZETI LENYE WAANDISHI WENYE KUSAHIHISHA JAMII. LAZIMA KWANZA MJISAHIHISHE. KUCHELEWA KWA GAZETI HILI NI UZEMBE, KUKOSA MASHINE MUHIMU...
  19. H

    Ufisadi watafuna Tanzania Daima,wahariri hoi,nini hatima??

    Ndugu wana jf mimi na kama wana jf wengine tuishio nje ya nchi ni mara nyingi sana tunategemea haya magazeti yanayopatikana online katika kupata news na mambo yanayojiri nyumbani,na katika yote kuna hili gazeti la Tanzania daima ambalo lina sehemu ya maoni na makala kadhaa,sasa nina hoja...
  20. H

    Thanks God for Giving us Kikwete

    I still send praise to the Most High kwa sababu...Kupitia kwenye utawala wa huyu JK tumeweza kushuhudia wakongwe wenye majigambo na misifa wakianguka!!!
Back
Top Bottom