Search results

  1. O

    Diwani wa CHADEMA mji wa Tunduma ashikiliwa kwa zaidi ya saa 10

    Kutokana na yaliyojiri juzi mji mdogo wa Tunduma, polisi walimshikilia Diwani Frank Mwakajoka wa Chadema tangu saa 3 asubuhi. Ajabu ni kwamba yaliyotokea juzi ni mgogoro wa kuchinja kati ya Wakristo na waislamu. Diwani aliyekuwa na kikao shule ya sekondari mpakani aliambiwa kuhusu yaliyokuwa...
  2. O

    CV ya Issa Ponda

    Wacheni maneno Mingi isiyo na tija. Wekeni hapa CV ya Ponda hapa ili kuona kama MUFTI wenu kadanganya!
  3. O

    David Silinde ana mpango wa kuendelea na ubunge?

    Nimesoma na David Ernest Silinde mbunge wa mbozi magharibi na mdogo wangu ki-umri Hivi majuzi nimezungumza na mwananchi mmoja na akanieleza yafuatayo kuhusu Silinde. 1. Hahudhurii vikao vingi vya halmashauri ya wilaya 2. hahudhurii/amehudhuria kikao kimoja tu cha baraza la mamlaka ya mji mdogo...
Back
Top Bottom