Sawa mkuu [emoji28]
Ingawa kuna mawakili wameokoka. Wao ukienda kukiri kwao umeua kwa kukusudia, wanazuga ratiba zao zimebana wanakuelekeza uende kwa Wakili mwingine. Kwasababu ukisema hutamtetea kwasababu ameua kwa kusudia na wewe umeokoka, wewe Wakili unakuwa umekosea kwa kukinzana na takwa...
Usishindwe mkuu [emoji28]
Unaweza kumtetea vizuri tu. Katiba inasema kila mtu ana haki ya kupata utetezi, no matter amefanya Kwa kukusudia au bila kukusudia.
Sasa kuna mambo mawili kwenye swali lako. Kuna yule amefanya kwa kukusudia kweli (murder), na anataka afanye confession (akiri)...
Brilliant observation mkuu, na nimeshaelezea hiki ulichosema kwenye comment yangu hapo mwanzoni.
Kwamba ni mwenye akili finyu tu atakayehitimisha kwamba kinywaji ni pombe pekee. Mimi situmii kabisa kilevi, na niliposema kinywaji nilimaanisha maji.
Sasa mtu anatoka huko ameshiba kande zake...
Msiwe vichwa maji.
Nikisema kesi sio vita namaanisha mapambano hayawezi kufikia hatua ya kufanyiana ubaya. That is what I mean. Anayefanya ubaya anakuwa ametafsiri vibaya maana ya kesi ni vita/mapambano.
Sisi huku tunashindana kwa Sheria na Mantiki, sio mtutu wa bunduki.
Na kama ulikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.