Search results

  1. S

    Mkasa wa Dr. Ulimboka: Inawezekana Kabisa Sio 'Inside Job'!, bali ni 'Smear Campaign'?!

    Hiii ndo ushahidi kua wabongo bado tupo mbali saana katika kutafakari mambo huyu jamaa hajui kabisa analo changia na madhara yake.Angalia madhara ya Rushwa ndogo ndogo kama kanga, Tshirt na sherehe kubwa ambazo kipindi hicho ziliitwa TAKRIMA na kubalikiwa na viongoz umezaa vingozi mafisadi coz...
  2. S

    wanaume wanao ni-approach hawafanani na mimi nisaidieni jamani!

    sugua bench kwanza ukizeeka vigezo vyako utapunguza
  3. S

    Haniridhishi jamani

    mawili ww una matatizo una joto saana mwenzio akiingia ashamaliza au akiingia kwako hamu yake inaisha ghafla au yy mwenyewe ana papara lakini pia wanaume wengi kwa kuanzia hawachukui dakika ila akirudia raundi unakoma nae so yawezekena ww huna mbinu za kumfanya mwenzio arudi tena unaishia...
  4. S

    Dhana duni ya 'Mfumo Kristo'

    Ok naungana na wale waliopendekeza tutoe hoja si kwa jazba na maneno makali ya kuvunja utanzania wetu mimi nina swali naomba mnijibu kama mnajua OIC haina faida kama mlivyoeleza mbona mlitumia nguvu kubwa akiwemo mzee Nyerere kupinga tusijiungeee? Mpaka sasa mzee malichela analo kua hakumshauri...
  5. S

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    yes kwa kiasi fulani tumeanza kwenda pamoja mengine yanahitaji kuelimshana tu mfano ni Rahisi kwa mkristo kujigeuza mwislaamu kwa muda (aka act kama alivyofanya Mzee wetu kwani kwa imani yenu haina shida ingawa kwa imani yetu tunamuita mtu huyo mnafiki na kwa imani yetu mtu huyo akifa bila...
  6. S

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    OK OK OK ndo maana nikashauri kua tuongelee namna ya kwenda mbele kama wa Tanzania lakini tukianza kuulizana yaliyotokea nyuma tutajenga jamii isiyo faa nasisitiza hali ya waislam waliyonayo ni ya kusababishiwa. walioanzisha harakati za kudai uhuru ni waislaam.wole wote ambao historia yao...
  7. S

    Kamanda Kamuhanda: Siwezi kujiuzulu

    kama sijakosea kwa Idara za usalama habari ya kujiuzulu au kug"atuka haipo kwa mujibu wa taratibu zao za kazi ila akipewa mission akaitekeleza vibaya anahukumiwa na mahakama so kamuhanda achunguzwe mission aliyopewa ilikua kuua? kama ilikua bahati mbaya anahunkumwa kwa uzembe nadhan (sins...
  8. S

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    WEWE kaka yangu sikiliza maana mojawapo ya uislamu ni kusalimu amri hii ina maana kua maisha yetu yooote tumeyasalimu kwa mungu wetu ina maana tangu kuzaliwa mpaka kufa kwetu lazima tuishi kama mungu anavyotaka ikiwemo kuhukumu namna mungu alivyo agiza hizo sharia za kanisa ulizo seama (canon...
  9. S

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    ok kaka ninachoweza kukushauri wewe na wa Tanzania kwa ujumla ni kua tujadili namna bora ya kuwafanya waislamu na wakristo kuishi pamoja kwa maelewano kwa sababu kilichopelekea hayo mlojadili kinaeleweka tangu enzi za Uhuru nyie mlilelewa mkaandaliwa mazingira sasa tukijazana kejeli na dharau...
  10. S

    Ripoti ya mauaji ya mwandishi Mwangosi

    ww ndugu yangu TBC hawawezi kuonyesha kipindi kama hiki hujui yaliyomkuta TIDO
Back
Top Bottom