Napenda kutoa malalamiko yangu kwa wahusika kama watapata kufikishiwa.
Meli ya Sea Star kutoka Unguja kupitia Pemba mpaka Tanga ina kunguni sijapata kuona.
Nilikata tiketi ya VIP kuna makochi mazuri ila kunguni wanatupa shida sana abiria tunawasiwasi tunapeleka zawadi ya kunguni manyumbani...
Hakuna dawa ya kuwaondoa popo moja kwa moja kiongozi watarudi tu.ILa lakufanya tafuta fundi aingie juu ya dari azibe kwa zege sehemu zote penye uwazi ukiwa juu ya dari utaona uwazi katika tofari na bati hiyo ndio dawa.Utakaa kwa raha mustarehe.
Jaribu kwenda katika setting,kisha nenda katika Application.Ikifunguka tafuta Messege.Ikifunguka panda juu katika Storage bonyeza hapo.Itakuja Clear data ukibonyeza itafuta kila kitu katika messege baadae utaseti upya messege.
Tatizo kubwa linalonikeza VODACOM,meseji za Tatumzuka,Instamoja,supa5,na nyingine nyingi.Ninapowasha simu zinakuja kama mvua mpaka nimelazimika kutoa sauti katika meseji.Nipeni ufumbuzi wa kublock meseji kama hizo.
Ninaomba mwenye mawasiliano au kunifahamisha ofisi za Ali Express hapa tanzaniaau Agent wa Ali Express wauzaji wa bidhaa kwa njia ya mtandao anifahamishe.Niliagiza bidhaa yangu inaonyesha imeishafika tanzania tatizo haijanifikia wiki sasa kwa hiyo nataka niwasiliane nao.Nitashukuru sana nikipata...
Angalia cable za plug mkuu na weka plug nzuri NGK ziko vizuri,kingine badili nozeli zote nne utasahau hayo matatizo ya ulaji wa mafuta na misi.sababu gari inaweza kuwa na misi kwa mbali kutokana labda cable ina leakage,
Amani kweni wanajamii forums.Naomba nisaidie please.Kila nikitaka kudownload game katika laptop inaniandikia (The program can't start because MSVCP100.DLL is missing from your computer.Try reinstalling the program to fix this problem).PC yangu ni HP window 7
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.