Search results

  1. MGANGA WA KIENYEJI

    Nimemsikia Sheikh Ponda akisema kuwa hakubaliana na Wizara ya Katiba na Sheria kupeleka muswada wa umri wa ndoa kuwa miaka 18

    Hili suala linahitaji umakini sana. Kwanza nini lengo la hao wanaotaka kubadillisha Sheria hiyo ya ndoa ya Mwaka 1971. Kwa sasababu hizi taasisi za kijamii siku hizi zina malengo mengi sana, likiwemo la kueneza ushoga nchini mwetu. Sasa isije wakaja tena na sheria ya kutaka wanaume waowane wao...
  2. MGANGA WA KIENYEJI

    Nimemsikia Sheikh Ponda akisema kuwa hakubaliana na Wizara ya Katiba na Sheria kupeleka muswada wa umri wa ndoa kuwa miaka 18

    Wewe unafikiri kila Mwarabu ni Muislamu?. Maamuzi yoyote ya Serekali za Waarabu haya maanishi ni Msimamo wa Dini ya Kiisilamu.
  3. MGANGA WA KIENYEJI

    Serikali kupeleka muswada kuzuia ndoa chini ya miaka 18

    Hili suala linahitaji umakini sana. Kwanza nini lengo la hao wanaotaka kubadillisha Sheria hiyo ya ndoa ya Mwaka 1971. Kwa sasababu hizi taasisi za kijamii siku hizi zina malengo mengi sana, likiwemo la kueneza ushoga nchini mwetu. Sasa isije wakaja tena na sheria ya kutaka wanaume waowane...
  4. MGANGA WA KIENYEJI

    Kero hii ya abiria kushushwa kwenye mabasi ili wakaguliwe vitambulisho check point ya Vijinga, Wiliya ya Mkinga Mkoa wa Tanga itaisha lini?

    Mkuu Hii ndio maana yangu hasa lakini Hawa vijana wenye Dhamana wanajidai hawaelewi hapo, Nadhani kwa vile tupo kwenye uchaguzi tunafikishia taarifa Mh. Tundu Lissu na Mh. Benard Membe atutetee.
  5. MGANGA WA KIENYEJI

    Nawahurumia Watumishi wa Umma 2020-2025

    Je anapita pitaje kwani?
  6. MGANGA WA KIENYEJI

    Kero hii ya abiria kushushwa kwenye mabasi ili wakaguliwe vitambulisho check point ya Vijinga, Wiliya ya Mkinga Mkoa wa Tanga itaisha lini?

    Mkuu GIRITA nakushukuru sana kwa kunielewa. Tatizo sio kukagua, bali KERO haKa ni kushusha habiria kila siku iendayo kwa Mungu. Kwanini wasikagulie ndani ya Gari? Hicho ndio kinachotukera kutushusha wakati watu tuna stress zetu kibao halafu na wao wanatuongezea stress.
  7. MGANGA WA KIENYEJI

    Kero hii ya abiria kushushwa kwenye mabasi ili wakaguliwe vitambulisho check point ya Vijinga, Wiliya ya Mkinga Mkoa wa Tanga itaisha lini?

    Kinachokera Mkuu sio inspection. Kwaanini wasiingie ndani ya bus lazima watushushe kila siku. Hata hivi vi local Hiace.?
  8. MGANGA WA KIENYEJI

    Kero hii ya abiria kushushwa kwenye mabasi ili wakaguliwe vitambulisho check point ya Vijinga, Wiliya ya Mkinga Mkoa wa Tanga itaisha lini?

    Nadhani tusiige kila kitu. Kama Mabingwa wa kuiga mbona mbona hatuwaigi Kenya katika Janga la COVID 19.
  9. MGANGA WA KIENYEJI

    Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Nasikitishwa na wa Uzalendo wa TASNIA YA HABARI CHINI. Wana ripoti upande Mmoja zaidi. Tatizo nini?
  10. MGANGA WA KIENYEJI

    Uchaguzi 2020 Je, Vyombo vya Habari vitaanza kumpa "Coverage" kubwa Tundu Lissu, mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA?

    Hiyo ndio hali alisi kabisa kila ninapo angalia TVs na Ninapo soma Magazeti. Kwa kweli hii hali inasikitisha kwa Tasnia ya Habari nchini karne hii ya 21. NI AIBU!
  11. MGANGA WA KIENYEJI

    Nawahurumia Watumishi wa Umma 2020-2025

    Apite kwenda wapi? Hapo alipofika panatosha. Sio watumishi wa Umma peke yao. Kila mtu analia kivyake. UCHAGUZI HURU NA HAKI UNGETUWEKA HURU. Ila kila lenye Mwanzo linamwisho wake. Nakumbuka zama za Ukoloni ziliondolewa kwa Kuamua kuweka woga Pembeni.
  12. MGANGA WA KIENYEJI

    Kero hii ya abiria kushushwa kwenye mabasi ili wakaguliwe vitambulisho check point ya Vijinga, Wiliya ya Mkinga Mkoa wa Tanga itaisha lini?

    Mfano wako naukubali Mkuu. Lakini sio kila . Hapo maanake kuna watu hawafanyi kazi zao vizuri. Mara nyingi sana ambushi yoyote hutegemea na taarifa nzuri za kiinteligensia.
  13. MGANGA WA KIENYEJI

    Kero hii ya abiria kushushwa kwenye mabasi ili wakaguliwe vitambulisho check point ya Vijinga, Wiliya ya Mkinga Mkoa wa Tanga itaisha lini?

    Hivi kweli wewa ukiwa Mhamiaji Haramu au una biashara haramu utathubutu kupitia Check Points, hili mbona haliniingii akililini. Kwa ambao wana experience hii adha.
  14. MGANGA WA KIENYEJI

    Kero hii ya abiria kushushwa kwenye mabasi ili wakaguliwe vitambulisho check point ya Vijinga, Wiliya ya Mkinga Mkoa wa Tanga itaisha lini?

    Ndio ni mbele kidogo kutokea boda ya Horohoro , lakini njia za mapori zipo nyingi tu ambazo wahalifu wanaweza kuzitumia badala ya kulinda barabarani.
  15. MGANGA WA KIENYEJI

    Kero hii ya abiria kushushwa kwenye mabasi ili wakaguliwe vitambulisho check point ya Vijinga, Wiliya ya Mkinga Mkoa wa Tanga itaisha lini?

    Hii ni kero ya muda sasa katika Check Point ya Vijinga, Wilaya ya Mkinga, Mkoa wa Tanga, kwa abiria bila kujali vikongwe au wazawazito au wagonjwa wote kushuka chini wafikapo Check Point hiyo ili kukaguliwa vitambulisho vya kura au uraia. Kwa kweli mantiki yake haionikani kwani kwa mtu yoyote...
Back
Top Bottom