Search results

  1. N

    Kwa sasa chama cha siasa ambacho kimepoteza mvuto kabisa ni CHADEMA, haipo tena kwenye mioyo ya watu

    Tathmini inaonesha Tanzania inaongoza kuwa a nguvu kazi dhaifu na raia wajinga kusini mwa jangwa la sahara. Quality of Human capital index. Hata Malawi wanatuzidi. Source. Mimi mwenyewe
  2. N

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ni aina ya binadamu ambao ukiwa nao lazima ufuate anachotaka, usipotaka utasumbuka

    Hiyo lugha ya "wamdhibiti" inaonesha jinsi watz tulivyo watu wa hovyo. Uchaguzi gani watu wanaona sawa kudhibitiana kwa kutumia dola na vyombo kama tume maslahi ya walio msdarakani ?
  3. N

    Kwanini GDP ya Kenya ni zaidi Mara 2 ya Tanzania?

    Source????? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. N

    Lissu, kukuchangia hela halafu unapiga picha unatumbua minyama siyo sawa

    Ile namba Tanzania imeshika kwenye happiness ni halali....Huu ndio ushahidi..mtu analeta uzi anaonekana hanafuraha mgonjwa anapokula vizuri. Ni hasira au wivu? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. N

    Kweli watu wamejitoa kumchangia Lissu

    Ref: FTO1903150811XXXXXXXX You have successfully sent TZS 150000 from AC 01522XXXXXXX to 01J2043045300-TUNDU ANTIPHAS LISSU. 15-03-2019 08:11:09 HATUKATISHWI TAMAA NA WASHIRIKINA KAMA NYIE...! Sent using Jamii Forums mobile app
  6. N

    CHADEMA MJITAHIDI KUJIZUIA KUWASEMA VIBAYA WANAOKIHAMA CHAMA CHENU

    Kwa sababu kuna faida nyingi kuwa na subira kuheshimu maamuzi binafsi ya watu. Hiki ndicho kupindi kugumu kabisa kuwahi kutokea kwa opposition na si watu wote wana ngozi ngumu sawa na wengine kuhimili masaibu hayo. Wengine wanafuta easy way ya usalama binafsi, familia zao na mali zao. Ni hayo...
  7. N

    Tundu Lissu is just another greedy and unpatriotic Politician to sit on J-Smith lap

    ANOTHER ROUND OF NONSENSE BUT IN ENGLISH (FROM ENGLISH LITERATE IDIOT) THIS TIME! Sent using Jamii Forums mobile app
  8. N

    Umbali wa Ubelgiji hadi Marekani na Ubelgiji hadi Tanzania

    Mtu unayeweza kuamrisha arudi nyumbani ni kale kabinti kako ka primary school. Sababu hata huyo akikua akafika form six akisema anaenda tuition baada ya kutoka shule inabidi wewe utafute sababu za msingi kumzuia. Akifika chuo.ndio kabisaa anaweza kukuambia naenda club kabisa na ukabaki kimya...
  9. N

    Dereva wa Lissu: Siku ya shambulio hakukuwa na ulinzi wowote, eneo lile linalindwa na askari wenye bunduki siku zote

    Sawa Lakini umehisi kumbwa mbwa! Sent using Jamii Forums mobile app
  10. N

    What is so special in Tz mpaka USA aingilie na yamefanyika zaid Rwanda, Zimbabwe, Burundi, Uganda

    Okay. Kwahiyo unashauri wapinzani wafanyeje? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. N

    Spika Ndugai: Tundu Lissu amelipwa jumla ya Tsh.250m ikijumuisha stahiki zake Tsh.207m na Tsh.43m ya michango wabunge

    Ni suala la kutafakari sana hasa Mgogo alikuwa na nia gani alipotumia ukumbi wa Bunge kutangaza kitu ambacho alijua si cha ajabu. Mshahara wa mtu ni habari? Sina maelezo zaidi ila nami nimeona nuanzishe tu thread. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. N

    Hiki ndicho CCM hawataki kusema kuhusu mafano ya wafanyakazi!!

    Uko sahihi kwa sehemu kubwa. Ila niongeze hili: Kwa upande wa mwajiri michango kwa mifuko hiyo inakuwa accounted kama cost of labor yaani wanapogiga hesabu ya gharama za mishahara 20% yote ni part of the salary. So ni sahihi kusema kuwa 20% yote ni mali ya mfanyakazi. Mifuko ni castodian tu...
  13. N

    Ni nani alitaka kumuua Tundu Lissu?

    Deep down kila mtu mwenye akili timamu anajua ni nani wanahusika. Hata wauaji wenyewe wajijua.
  14. N

    Ansbert Ngurumo aonya maamuzi ya Rais na kutoshaurika

    Uchochezi....! Jiandae ...
  15. N

    Mh sumaye pesa zote ulizotuibia ulizipeleka wap

    Hapa yale macho makali yanayotafuta wachochezi hayataona kitu kama kuna mtu ana kesi ya kujibu kweli?... Aaagh...! Nilisahau kumbe hii ni Tanzania. Wengine kama malaika na wengina kama mashetani......!
  16. N

    Barua fupi ya wazi Kwa Mh. Magufuli

    Pascal is right. Watanzania tumezoea kudanganyana hadi tunapenda viongozi waseme uongo.
  17. N

    Lucci Laciano: Mwanamuziki wa Jamaica aliyejichora tatoo ya Rais Magufuli (PICHA)

    Na hilo ndio hasa linaweza kuwa tatizo. Sifa kujulikana sana inafaa kuendane na matendo na mafanikio ya kiuchumi na kiuongozi. Tusije geuka world's laughing stock
  18. N

    Lissu: Mtazamo juu ya Katiba mpya

    Hivi huyu anayeitwa hekima kwanza ni miongoni kwa wale vijana waliotumwa na Ole Sendeka? Mjadala hapa ni katiba ya nchi ile ya Zambarau sio ya vyama !
  19. N

    Njama za mbunge Msukuma kuhusu Magwangala zafichuka

    Asingeongea maneno yenye chembechembe za ukweli leo tungee asubuhi Star TV usinge leta taarifa hii na uzi huu usingekuwepo. Au ndio wale vijana wa chama aliosema Ole Sendeka? Msukuma alipomshambulia Lowasa it was okay. Leo kuiambia ukweli tena kidogo serikali yake amegeukwa na anaokekana mbaya...
Back
Top Bottom