Search results

  1. boyfriendy

    Barrick na Tanzania waunda Kampuni ya ubia iitwayo Twiga Minerals na Serikali itamiliki asilimia 16

    Hii faida itapatikanika kama tufikiriavyo? Isije jirudia ile ya kila wakati kutangaza hasara au faida kiduchu
  2. boyfriendy

    Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

    Hapa unaposema unatamani kulia ndio shida inapofufua shida nyingine maana binadamu hawezi tamani kulia hovyohovyo hasa kwa mtu mzima mpaka aseme anatamani kulia
  3. boyfriendy

    Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

    Yupo wapi kwani? Maana me sielewi kinachoendelea
  4. boyfriendy

    Takwimu za Deni la Taifa kwa sasa

    Napata hisia mbaya uyu raisi akimaliza muda wake yatatokea makesi mengi sana ya kudai fidia na kesi nyingi serikali itaangukia pua na itashindwa kulipa kwa yale madeni makubwa sana mwisho wa siku ni makubaliano katika mikataba fulani ata kama ni ya kinyonyaji lakini zitatumika rasilimali zetu...
  5. boyfriendy

    Azam Tv inapoteza mvuto

    Wanarekebisha mitambo
  6. boyfriendy

    Madaktari hasa wa Tanzania rudini maabara tena kuhusu ugonjwa wa U.T.I

    UTI ya bacteria infections ni chache sana tena sanaa..kuna baaz ya mitambo ya kupimia UTI mwisho wa kuona ni michubuko ktk njia ya mkojo sasa tatizo linaanzia je hiyo michubuko imesababishwa na bacteria au ni nini? Na madokta wengi wao wakishaona michubuko wanaandika UTI na wana assume ni...
  7. boyfriendy

    Meneja wa Tanesco kakosekana katika ziara ya rais Magufuli Songwe

    Unajua alikua wapi? Yaani jiulize mkoa upo hivi meneja wa kanda na hr wake, meneja wa mkoa na hr wake, meneja wa wilaya na hr wake, security officer wa mkoa...yaani hawa wote hawakuwepo yaani hapakuwepo mtu wa tanesco kabisa wote hawa walikua wapi. Labda meneja ana mwezi sasa hayupo nchini yupo...
  8. boyfriendy

    Angalia umri wako, upo sahihi, Umekosea, Unahitaji kujirekebisha?!!!

    Duh!! Ulichoandika kimenigusa direct kabisa tangu hapo mwanzo mpaka sasa nipo namalizia stage ya 30~35
  9. boyfriendy

    Hivi watu mnaoendaga kupima VVU kila wakati huwa mnatafuta nini?

    Ushasema wanaenda kupima ukimwi na wanaambiwa hawana lakini wanarudi tena kupima ukimwi, wewe nawe unauliza wanataka nini yaani umeshindwa ata hesabu hiyo ya + na - yaani hasi na chanya? Wanautafuta ukimwi ndio maana kila wakipima wakiambiwa hawana lazima warudi tena na tena Ngaunje
  10. boyfriendy

    Siendi Kanisani, Msikitini wala popote kusali! Mungu yupi ananibariki?

    Kujua tu kuwa unabarikiwa tayari una Mungu, unaweza ukahisi hauendi kaniwani/msikitini lakini kumbe unaenda kiimani kwa matendo yako hivyo endelea kujua kuwa unabarikiwa muda unafika utajumuika msikitini/kanisani kimwili Ngaunje
  11. boyfriendy

    Alichofanya Mkuu wa Mkoa wa Dar, Makonda kwa Pierre Mzee wa Liquid ni udhalilishaji na kinyume cha haki za binadamu

    Kwanza naomba kujua aliyeruhusu ulevi uuzwe nusu bei badala ya kuruhusu unga wa kupikia ugali uuzwe nusu bei ni nani? Je mahusiano yapoje kati ya aliyeamrisha ulev uuzwe nusu bei na alielewa kwa sababu ya ulevi wa nusu bei? Mtu wa hovyo anafananaje? Ngaunje
  12. boyfriendy

    Kati ya Jasusi na Commando, yupi ni mtu hatari sana anayepaswa kuogopwa?

    Komando yeyote anaweza fanya kazi zote za kijasusi lakini si kila jasusi ni komando na si kila jasusi anaweza fanyakazi za kikomando. Komando anaenda mbali sana yaani ukomchukua komando ukataka awe jasusi unachomuongezea ni ujanja na usiasa yaani awe flexible na jamii basi kwa sababu mbinu zote...
  13. boyfriendy

    Aisee Huu ni ukosefu mkubwa wa heshima kwa Rais wetu, sio uhuru wa maoni..!

    Ningekua na mamlaka ya kukukamata ningeanza na wewe maana umezidi kusambaza kitu ambacho unahisi ni kudhihaki Ngaunje
  14. boyfriendy

    Aisee Huu ni ukosefu mkubwa wa heshima kwa Rais wetu, sio uhuru wa maoni..!

    Samahani nimekutukana kimoyo moyo maana ni mpuuzi Ngaunje
  15. boyfriendy

    Spika Ndugai unataka Lissu afe?

    Duh! Ulishawahi kuajiriwa kwenye taasisi za uma au serikali kuu? Mtu akiumwa inakuaje anafutiwa mshahara au anafukuzwa kazi? Akipata ajali kazini inakuaje? Ngaunje
  16. boyfriendy

    Watoto siku zote wanajua hatari Angalio tukio hili

    Aya nadhani mmepata na majibu yenu Ngaunje
  17. boyfriendy

    Watoto siku zote wanajua hatari Angalio tukio hili

    Mmmh aisee Ngaunje
Back
Top Bottom